lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
😂😂😂🤣🤣Mtu Kuviamini vyombo vya habari vya kule WEST inatakiwa kwnza ujitoe akili
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂🤣🤣Mtu Kuviamini vyombo vya habari vya kule WEST inatakiwa kwnza ujitoe akili
Sent using Jamii Forums mobile app
hio gar naikubal sana hio.Niva chuma hichoMarekani imepoteza hadhi yake ya u-Polisi wa Dunia iliyojipa kwa miongo kadhaa...leo hii kweli Marekani imekuwa ni ya kulalamika na kulialia tu twitter kuwa eti Russia yataka kuimega mikoa ya mashariki ya Ukraine (mikoa ya Donetsk, Luhansk na Kherson)?!
Ipo wapi ile Marekani tuliyoizoea ya kuingia mzigoni kwenye mataifa dhaifu kama Iraq, Libya na kwingineko kwa tuhuma tu pengine za nchi husika kumiliki silaha za maangamizi, au kukandamiza/kuonea watu wake?!
Sasa kama Marekani status yake ya sasa hivi ni kulialia twitter na kubweka tu pasi na actions tulizozizoea toka kwa polisi huyu wa Dunia, kuna tofauti gani sasa kati ya Marekani na Tanzania?!
Halafu Zelensky si anashinda vita vya Ukraine huko twitter, sasa inakuwaje tena Putin anayeshindwa vita amnyang'anye mikoa hiyo mitatu mshindi wa vita (Zelensky)?!
View attachment 2209402View attachment 2209403
Kwa Africa kuna Algeria, Nigeria na Mozambique. Ngoja tuone wanatakaje. Watakuja kunyang'anya ua itakuwaje. Maana tayari huko Mozambique chokochoko za ugaidi zinaendelea.
Wanaanzisha vita ili wachukue bure.
Yah nakukumbuka Bro, na alipoingia Western walikuwa wanadai walau huyu bora hana itikadi kama za Putin.[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah...you have made me a day....huyu jamaa ni Mrusi halisi...you remember aliwahi kuwa Rais wa Russia na walikuwa wanabadilishana na Putin..
Nimesahau kukujibu kwenye hizo nchi with Rothschild Central Bank... Zipo kama 11 wengine wanadai 9 jomba nakumbuka nimezipost mara kwa mara mwanzo mwa huu uzi nilipoingia...
Na wote wanaodai kwa Idadi hiyo ni kwa data za mwaka 2000..
Mfano Libya ilikuepo kwenye List ila baada ya Uvamizi wa 2011 ikaingizwa kwenye list. Afghanistan vile vile.
Hivi inakuwaje pro NATO hawayaoni haya!!!?Wanaanzisha migogoro af wanakuja wanajifanya wanaleta amani... ilhali wanaiba, na kabla ya kuondoka wanampachika wanaemtaka kukamilisha mambo yao. Waende na huko Ukraine basi [emoji23]
Nyongeza kidogo, Pale Equatorial Guinea ambayo ni nchi ya hovyo sana barani Afrika, Teodoro Obiang anatawala kimabavu mno. Na ndie the second-longest consecutively serving current non-royal national leader in the world baada ya Cameroon's Paul Biya. Piga hesab toka 1979 hadi leo, ni miaka 43 ka sikosei.
Wananchi wa wa EG wana maisha ya hovyo ajab, ila familia ya bwana mkubwa wanafanya anasa kupindukia na wametawanya mali zao kwenye mataifa hayo hasa France na US...
Mwanae ambae hivi sasa ni makamu wake na yasemekana ana mpango wa kumrithisha URAISI huko Instagram anajulikana kama "Insta Play boy"...
EG wana utajiri wa mafuta na ukifatilia ni nani anayechimba hayo mafuta utakuta ni "United State" kupitia ExxonMobil, Marathon Oil, Kosmos Energy na Noble Energy that's why huezi sikia hiyo nchi ikitajwa tajwa hovyo coz teari iko ndani ya Interest za Mmarekani...
Sasa wajiuliza if truly US ni muumini wa democracy wanayoidai kuitetea kwa nguvu zote hapo Equatorial Guinea wanakovuna mafuta kuna nini?
Utarudi pale pale, kwao the real meaning of Democracy ni kutii matakwa and not otherwise...
Nawasilisha kwa jina la United "Shit" of Ameee... Kwa hisani ya No Action Talk Only.
Kwa Tanzania nadhani bado. Kiwango cha gas yetu ni ndogo. Haipo hata kwenye top 50.Ongeza Tanzania kwenye orodha ya nchi zenye gas.Ndiyo maana zimeanza kauli za kufast track mradi wa LNG Lindi.
Na inasemekana katika mojawapo ya Boat Shoigu na Vasily Gerasimov walikuwemo ...🤣🤣😂😂🤣😂nawasaidien propagandaBoat mbili za Jeshi la Urusi zilizoko"Black Sea' zalipuliwa na UKRAINE:
![]()
Ukraine releases video of 2 Russian ships allegedly being destroyed in Black Sea
Ukraine’s military has released a video Monday purportedly showing two Russian patrol boats being blown up in the Black Sea.www.foxnews.com
Saf kabsa kazi iendeleee in Madame voiceOdessa kazi inaanza kupamba moto
View attachment 2208900
TL anaunga mkono uchafu huo.Wanaotumia nao wanakuwa mafala tu. Katika kila tatizo kuna kundi huwa linaibuka kama fursa. Kama yale ambayo yaliibuka kumtetea Tundulisu, kwani TL ni shoga?. Hata humu kuna yanayojifanya yanapinga ila ndo yale yale.
Unajua Usione tunapinga kulipuliwa Ukraine, kuna watanzania wana ndugu na marafiki huko, kuna kusoma huko na kuacha uzao huko. Sasa ndo kila anayetakia mema Ukraine ahusishwe na ushoga?
Anatia kinyaa kwa sababu ubongo umejaa na unanuka ushoga.Lazima atie kinyaa kwasababu anasema ukweli unaoumiza wenye hayo matendo
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Ukraine = Ushoga.Anatia kinyaa kwa sababu ubongo umejaa na unanuka ushoga.
Mtu anayepinga ushoga anajitenga nao, hauwi sehemu ya maisha yake kwa kuuzingumza kwenye kila jambo, Anaukwepa, na ikitokea akauzungumza anaulaani na kamwe hawezi kuwa na details za kutosha za wapi ushoga unapatikana maana si sehemu ya maisha yake, Ubongo wake hauna hizo kumbukumbu.