Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

TL anaunga mkono uchafu huo.
Na kuwa na ndugu huko hakuhalalishi ujinga anaoufanya Zele. Mwisho atakuja kukubaliana na matakwa ya Russia baada ya nchi kugeuka magofu.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Embu tuachane na ushoga.

Zele sidhani kama yeye ndo mastarmind, hii kwa sasa ni vita ya NATO na URUSI.
 
Ukraine = Ushoga.
Na Mlokoz=Ukraine sababu ya:
images - 2022-05-03T090516.979.jpeg

Kuna Ukraine halafu kuna Ukraine ya Mlokoz kwenye imagination zake.
 
IMG_20220503_114813_100.jpg


The Pope is ready to travel to Moscow to meet with Putin to resolve the conflict in Ukraine.

❗️Pope Francis admitted that NATO is playing a negative role in the escalation of the Ukrainian crisis

Pope: “Orban, when I met him, told me that the Russians have a plan that everything will end on May 9th. I hope this is so that we also understand the speed of escalation these days. Because now it's not just Donbass, it's Crimea, it's Odessa, it robs Ukraine of the Black Sea port, that's all. I am pessimistic, but we must do everything possible to stop the war."

Category "Vatican gossip"🤦
 
Hivi inakuwaje pro NATO hawayaoni haya!!!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Watayaonaje sasa ilhali tunaoyaona na kuwaambia wanatuita Vichaa na Uncivilized kisa hatukubaliani na matakwa ya Master wao...

Watayaonaje ilhali kwao zile ARV na Vyandarua kwao vina maana sana kuliko Rasilimali zinazosombwa mchana usiku kila siku kupelekwa kwao kujenga nchi hizo na kuachwa masikini kila uchao...

Ukiwa na chuki dhidi ya kitu flani huezi fanya rational judgement dhidi yake, vile vile ukiwa na mahaba dhidi ya kitu flani huezi fanya maamuzi ya kueleweka dhidi yake.

Kwenye kundi la kwanza mtu atajikita katika kutafta kasoro tu abadan kwasabab ya ile chuki aliyonayo ndani. Na kwenye kundi la pili mtu atajitahidi kupamba hata yale maudhi au kasoro azionazo ilimradi zimfurahishe yote kwasabab ya mahaba aliyonayo ndani.

Dunia ya Sasa inafahamika na kueleweka kwa walio na fikra huru tu. Vingevyo ni kugeuza ubongo au nguvu zako kua rasilimali ya wenye uhitaji nayo most wakiwa Politicians na baadhi ya Matajiri "Wanyonyaji"
 
Putin aondoe majeshi yake kwenye ardhi ya Ukraine, alipie gharama zote za vita, afikishwe kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita yeye pamoja na wapambe wake kisha Russia iweke sahihi kwamba kamwe hatavamia tena nchi nyingine.
Endeleeni kuota
Sasa aondoeje wakat mnayaondoa wenyewe UKRAINE kwaushirikiano na NATO
Mana kila siku munampa hasara PUT IN munawaua majeshi ya RUSSIA munapiga mpaka ndani ya RUSSIA munashambulia misafara yao halaf mnamtakaje aondoke wakati munampiga
Kwakua munampiga ataondoka mwenyewe kaeni kwakutulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Russia miaka kumi baadae Mmarekani akaenda nae mwezini baada ya kuwarubuni wahandisi wa Russia.
Mpaka leo hii nchi zote duniani zikitaka kwenda anga za mbali zinakodi engine za Urusi.
Marekani alitunguliwa usiku Iraq kisa wairaq wanavaa miwani inayoonesha usiku kuwa mchana waliuziwa na Urusi.
Urusi anapigana vita ya kumuonesha adui yake kwamba yeye si lolote si chochote kwenye uwanja wa mapambano.
Ushajiuliza kwa nn NATO hawaingii vitani nae?
Rais wa Ukraine na BBC ndo wamekua wasemaji wa Urusi dah poleni sana.
Western wanawivu sana kama mwanamke mwenye mimba.
WaRussia baada ya kwenda mwezini, wa US nao wakataka kuulipua mwezi kwa mabomu, utasema watu hao?
 
Kuna habari huko nimeiona inasema ikiwa odessa nayo itapitiwa na RUSSIA jamaa wakapigwa block uwanda huo wabahari itabidi mapato yooote ya nafaka na vitu vyengine yatakua ya RUSSIA hvyo UKRAINE itabakia kama MOROGORO
RUSSIA malengo yake yanaenda vyema sana asee sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila tuache ushabiki aisee,ushabiki tuweke pembeni,
Ukweli lazima tuseme.
Ukweli Russia amewavuruga pakubwa sana west.hebu fikiria wanaanza na mipango Yao,akija Urusi na mpango wake ambao hawakuwa wakiutarajia anawavuruga vibaya sana.
Hebu fikiria Hapa
1-Kuna USA peke yake,huyu ana Nia ovu peke yake dhidi ya Urusi katika mzozo huu.

2-kuna EU kama EU umoja huu Sasa hivi Kila mmoja anaongea lake.
Wengine wanataka gesi kwa rubo na wengine hawataki gesi kwa rubo.
3- Kuna NATO hapa Kuna baridi Kali sana.umoja huu kazi yake sio uchumi,lkn sasa hivi wamejiingiza kwenye vikwazo vya uchumi badala ya vita.hiki ni kichekesho Cha Karne kwa lugha nyingine wamepoteza lengo lao na mwelekeo.wamechanganyikiwa

4- UN Hawa hapa ndio lilikua eneo lake.
Lakini tayari hawajulukani wako wapi.
Mkuu wa UN ameoneshwa dharau ya mwaka,kaenda Moscow,katoka Moscow kaenda Kyiev huko kapelekewa salamu ya kombora kutoka Moscow.

5- Kuna vi nchi vipambe vya USA na EU kama Japan na Australia na vingine vingi TU Kila siku vinasema Kila siku vinakuja na mambo tofauti mara vinaweka vikwazo mara vinaondoa .


Kwa kifupi Urusi kawavuruga sana.
Urusi sio Iraq,Libya, Zimbabwe, Afghanistan wala Syria.
 
[emoji91][emoji91][emoji91]It is rumored that 500 Ukrainian prisoners will parade in the Great Red Square in Moscow for the grand parade on May 9[emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii itakua poa sana hii tena watembezwe huku wanakula stiki hao magaidi wakinazi shenzi kabisa
Wafungwe kama watumwa wasipate hata kujikuna yaani[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya vita vya 'siku 3'Ukraine kupoteza muelekeo ,hatimaye Urusi imevamia taifa teule kwa maneno/tuhuma za kuuudhi eti Hitler ni Myahudi kauli ambayo imezua mtafaruku wa kishindo kati ya Urusi na taifa teule.

Israel on Monday lashed out at Russia over “unforgivable” comments by its foreign minister about Nazism and antisemitism - including claims that Adolf Hitler was Jewish. Israel, which summoned the Russian ambassador in response, said the remarks blamed Jews for their own murder in the Holocaust.
It was a steep decline in the ties between the two countries at a time when Israel has sought to stake out a cautious position between Russia and Ukraine and remain in Russia's good stead for its security needs in the Middle East.

Asked in an interview with an Italian news channel about Russian claims that it invaded Ukraine to “denazify” the country, Sergey Lavrov said that Ukraine could still have Nazi elements even if some figures, including the country's president, were Jewish.
 
Western hawaishi kutushangaza

[emoji95] During the two months of the Ukrainian conflict, Russia exported energy resources worth 63 billion euros.... View attachment 2209064Kwenye hizi data mnamwona US vizuri? [emoji23][emoji23][emoji23] Ndani ya hii miezi miwili kanunua Oil and Gaa nyingi kuliko India aliyekua anamzuia eti asinunue kwa Russia vinginevyo atamwekea vikwazo...

Huyo huyo US tukumbuke ndio wa kwaaanza kabisa kutangaza marufuku ya Russia Oil and Gas Import nchini kwake ila nyuma ya pazia sasa [emoji23][emoji23][emoji23]


Hivi kuna taifa la kinafiki kushinda US kwenye hii sayari?????
Hakuna MKUU hakuna majamaa MAUMBWA sana yale[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russian Armed Forces with high-precision Onyx missiles destroyed hangars with bayraktars at a military airfield near Odessa

▪️They attacked the logistics center through which the delivery of foreign weapons was carried out. Warehouses with missile weapons and ammunition from the United States and European countries were also destroyed.

▪️Aviation hit 69 strongholds, areas of concentration of manpower and military equipment of the Armed Forces of Ukraine.

▪️Missile forces destroyed the launcher of the S-300 air defense system, artillery - 54 artillery firing positions of the Armed Forces of Ukraine, 38 strongholds.

▪️Air defense destroyed six Ukrainian drones overnight.

▪️In total, since the beginning of the special operation, 146 aircraft, 112 helicopters, 696 drones, 286 air defense systems, 2,783 tanks, 316 MLRS, 1,255 field artillery pieces and mortars, as well as 2,590 units of special military vehicles have been destroyed.
Kwenye habari kama hizi Mimi Huwa napenda kipengele hiki TU.

They attacked the logistics center through which the delivery of foreign weapons was carried out. Warehouses with missile weapons and ammunition from the United States and European countries were also destroyed.
 
Umesahau kuwa RT imefungiwa station yake kule UK?
Wanatudanganya tu hawa jamaa, wanafiki sana hawa jamaa, juz wanatwambia Russia kashindwa Ukrain, leo wanatwambia Russia inataka kuivamia Moldova, hiv mkuu hili linawezekanaje ikiwa nchi moja tu imeshindikana, itawezaje nchi ya pili?
Nchi zote jirani na Russia kiwewe cha nini kama ni taifa lililoshindwa? Na taarifa zote hiz zimetolewa na viongozi wakubwa wakiingereza.
 
Kwa Africa kuna Algeria, Nigeria na Mozambique. Ngoja tuone wanatakaje. Watakuja kunyang'anya ua itakuwaje. Maana tayari huko Mozambique chokochoko za ugaidi zinaendelea.

Wanaanzisha vita ili wachukue bure.
Nchi za afrika nazo zishaanza kuamuka kutoka usingizini juu ya unyonyaji wa western countries,

Ndo maana nchi za Afrika magharibi zipo kwenye operation kali sana za kufanya revolution ya neo colonization kwa kuwafurusha madarakani mamluki wa Westerners, tena mfaransa ndo kashikwa pabaya sana na wajeda wa nchi hizo, hapumui ashaanza kuwa underdog tu.

Ukija Algeria [emoji1026] hawa huwambii kitu kuhusu urusi na juzi kati wameanza mikakati ya pamoja ya kupambana na ugaidi, na tayari vikosi vya urusi na Algeria vipo standby kwajili ya kuwafurusha vibaraka wa ulaya waliojificha kwa mgongo wa waasi. Hivo basi EU hawawezi kusogeza hata pua Algeria.

Kiufupi, Mataifa mengi ya afrika yamechoshwa na propaganda za mabeberu, Russia ndo wanaiona kama mkombozi wa kupambana na hao watesi wao waliogawana bara la Afrika kama mishikaki ya kimasai pale Berlin ujeruman.

Rais wa zimbambwe tayari ashaanza kujifunza techniques za mrusi namna ya kudeal na vikwazo vya mabeberu, kidogo kidogo tu hao ulaya watajikuta wamekuwa underdog hapa duniani maana tayari tushajua uchumi wao wanapotegemea.

Kama jiwe angekuwepo nahisi angekuwa ashatoa kauli za kibabe sana juu ya ukombozi wa afrika dhidi ya mabeberu na angekuwa ashaongea na putin ili tu kuwakela watu wa magharibi.

Ungesikia akiunguruma kutoka magogoni:
"Waziri wa madini nakuagiza, kuanzia leo kama mtu hana Shilingi ya Tanzania hakuna kumuuzia almasi na tanzanite, sisi ni dona kantiri hatuwezi kupangiwa pesa za kuuzia rasilimali zetu na mabeberu kama vyakwao wanatuuzia kwa dollar basi nawao wanunue vyakwetu wa Tsh." Jiwe the great JPM's voice.
 
Kama mnavyojua hakuna Jambo ambalo linatokea tu from nowhere

Mlipuko wa Belgorod ilikuwa planned ni silaha au milipuko zenye sniffing chemicals ambazo zimefanya wafanyakazi wa sehemu husika kuhara Damu! Kuvumba ngozi na pia kutapika damu ni siku ya Tatu sasa, Na silaha Na zana kadhaa za Vita kuteketea ..eneo lililoathiriwa ni makazi ya wanajeshi na wataalamu wa sayansi za silaha ndani ya karakana hiyo ni mambo ambayo watu wanayaona Kama mzaha Lakin ni pigo la ndani Kwa urusi kwakuwa Belgorod siyo karakana tu ya silaha bali karakana muhimu sana Kwa Urusi juu ya utengenezaji wa submarine Nadhani mnajua mradi wa kutengeneza submarine kubwa ambao unaitwa K-329 Belgorod Kwa kirusi inaandikwa ("Белгород") ni design ilotengenezwa na Ku I modify design ya the Oscar II class ya NATO (NATO designation) Ni mradi wa submarine ya nuclear wa Urusi . Mwaka 1992 ndo project hii iliplaniwa Yaan Miaka 30 iliyopita July 1992 kama Project 949A cruise missile submarine (NATO designation Oscar II class), baadae ikabadilishwa baada ya kuona haijaendana na mategemeo wala haijafikia viwango vya kukabaliliana na maadui NATO

Ili badilishwa na kurekebisha mapungufu yake mwaka ili uwezo kuoperate Kama Unnamed underground submarine 2012. Kutokana na Rushwa na matumizi yasiyo sahihi Kwa mradi huu ulikwama sana na uendelezwaji wake ukawa wa kudhoofu ila mradi ukakamilika si Kwa Kiwango kilichotazamiwa
Nilisema hapa kuwa Urusi Rushwa ni kama kawaida 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿


ila Wizara yao inayohusu Tafiti na mambo ya silaha ikaona hii Suala liendelee hivo mwaka 2018 March 1 Vladmir Putin alikazia kwamba lazima tuendeleze Mpango huo na tuwe na Unique Submarine ambayo itakuwa na uwezo wa Ku operate kuliko za washindani wetu Yaan The K-329 Belgorod, along with the Status-6 Oceanic Multipurpose System ilikamilika na kuwa tested baada ya Mwaka mmoja marekebisho yakionekana kuzaa matunda Na imejaribiwa mara 12 kwenye Bahari na imakaguliwa na Mkaguzi wa masuala ya karakana Segiekov na ilitegemewa kutumika kwenye Jeshi la maji Mwaka huu July Lakin mlipuko ukaathiri maendeleo husika Kwa kushambuliwa eneo ambalo ni ghala Lao la kutunza silaha na zana za kivita, taarifa za ndani zinasema imeharibiwa pia

Mwaka 2021 Marekani waliamzisha utaratibu wa Siri wa kuchunguza suala hili Na mwenendo wake , Siri kadhaa zilijulikana Na utafiti ulifanywa Na mwandishi hapa


Ni Mapigo yanayoiathiri Urusi ikabaki inaugulia maumivu Kimya Kimya ….

Mwonekano wa Belgorod Submarine kwa Picha Ya Spying Camera ..


8B694545-1612-4FD8-82A3-4D952F742843.jpeg
7B257F47-063B-4C0E-8232-D141ED04531E.jpeg


Britanicca
 
[emoji1063][emoji779]️Canadian General Trevor Cadieu was arrested while trying to escape from the territory of the Azovstal plant, Telegram channels report (no official information yet).

Perhaps he was the head of biolab No. 1, in which specialists worked with deadly viruses. According to unconfirmed information, Cadieu was taken to Moscow.

According to the data on the Web, he does not have the best track record. We quote: "In 1997, he participated in the hostilities in Bosnia as a rear-wheel drive cockerel."

And in 2021, a former colleague of Cadieu accused him of sexual harassment. At that time, he was just appointed to the post of commander of the Canadian Ground Forces, but because of the scandal, the inauguration was canceled. Cadio denied all accusations and later resigned from the position. On April 5, 2022, he retired from military service.
Huyu General mamluki wa Canada ameshapelekwa Moscow akapakwe mafuta na Sergei Shoigu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]
15176409497_702e9702d0_b.jpg
 
Back
Top Bottom