Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ingawa uzi hauna mahusiano na hii issue, Ngoja nikujuze kwa kifupi tu. Kuna hii kitu Gender na Sex. Hizi term mbili n very complicated na majibu yake kila mtu ana yake yategemea na kile nilichokuuliza kua nini kinakutambulisha kua jinsia ni mbili.....
Kuna mwanamke na mwanaume mengine yote ni Ujanja ujanja wa baadhi ya binadamu kuhalalisha upumbavu. HAYO MAMBO YA ANA HORMON ZA KIKE ILA NI MWANAUME NI UJANJA WA KUHALALISHA USHETANI.

Unless kuna hitilafu ya kimaumbile mtu akazaliwa na jinsia mbili, ambayo itahitaji operation kurekebisha. Hii inatokea hata mtu anazaliwa na mikono mitatu, vidole vilivyozidi au kupungua n.k na anafanyiwa operation. Hata wanyama inawatokea, ila hii ya ni mwanaume ila ni mwanamke kihisia ni UONGOO. Huwezi ikuta hata kwa mabata yale mandege yanayokula maji machafu, utaikuta tu kwa binadamu wenye hamu ya upumbavu.
 
!!!ANOTHER 🇬🇧 MERCENARY CAPTURED!!!
Andrew Hill is a mercenary from the UK
He served in the British ground forces, fought in Afghanistan.He is a trained military instructor with combat experience.
Let's all of us wish him luck when he will rebuild🛣️🏥🏫(for free of course)
 
Charges being read to🇬🇧 mercenary Shawn Pinner by a representative of the DPR.
Under the laws of DPR the maximum penalty is de@th.

We hope his future as construction worker is not jeopardised.

And this is not Iraq,Syria or Afghansitan to fight against,RUSSIA CAN FIRE BACK
 
IMG_20220503_063614.jpg
 
View attachment 2209039
[emoji298]️ The Polish army is ready to send troops to Western Ukraine[emoji780]

At the disposal of the Main Intelligence Directorate of Ukraine was a document with an order from the General Commander of the Polish Armed Forces, General Jaroslaw Mikax, to inform the entire staff of the readiness to take control of the strategic facilities of two regions - Lviv and Volyn.

The authenticity of the document has not been confirmed.
Polish anatafuta kila namna aingie vitani
 
Polish anatafuta kila namna aingie vitani
Unajua huko Ukraine kuna mambo makuu matatu.
1. Ni issue ya Ukraine kujiunga NATO hii imesababishwa na mambo mawili.
2. Upande wa Black Sea imegundulika reserve kubwa sana ya mafuta na gas. Na vikevile maeneo ya east of Ukraine Poltava kuna reserve kubwa sana ya Oil.
Upande wa Magharibi mkoa uliokaribu na Lviv nao upo na Reserve kubwa ya mafuta na gas. Sasa Poland ameona kwakuwa upande wa Mashariki anauchukua Urusi yeye anataka kuchukua magharibi na anauhakika ataweza kuanza kuchima mafuta na gas. Na hiyo itamtosheleza kwa matumizi yake. Sasa hii kete inategemea na mpango wa Urusi.

Hatua ya kwanza Urusi alihakiksha anaichukua Crimea na kuwa na uhakika wa black sea yenye reserve kubwa ya mafuta na gas. Hatua ya pili ni kuchukua eneo la mashariki ambalo pia lipo na reserve ya mafuta na gas. Hii itamhakikishia kuwa ulaya inaendelea kuwa tegemezi wa Urusi.

Mistake waliyoifanya wa magharibi ni kushindwa kula na Urusi walitaka wamwingize Ukraine NATO ili wale wao tu na waachane na Mrusi. Bahati mbaya sasa mrusi kaamua kula pekee yake.

3. Unyanyaswaji wa warusi ndani ya ukraine. Hiyo ni sababu nyingine.

LAKINI: Poland kuingia Ukraine, ataingia tu na atapata support kutoka NATO. Lengo lake ni upande wa magharibi. Ndio maana kaamua kukacha malipo ya Ruble ana buy time ili yeye awe mmoja wa wachimba mafuta ndani ya Ukraine.

NGOJA TUONE NGOMA ITAKUWAJE.
 
“18 thousand people from 20 countries are taking part in the largest military exercises on the territory of 9 European states. The maneuvers will go on for almost a month, until the end of May ": The first stage of Poland's capture of western Ukraine of the Defender Europe 2022 and Swift Response 2022 exercises has begun.
 
Investigative Committee of the Russian Federation opened criminal cases against 75 foreign mercenaries

Earlier, the department noted that the Armed Forces of Ukraine are actively recruiting mercenaries in Western countries. This is done through diplomatic missions.

At the moment, there is irrefutable evidence of the participation in the hostilities of citizens of Great Britain, the USA, Canada, Georgia and other countries.
 
Marekani imepoteza hadhi yake ya u-Polisi wa Dunia iliyojipa kwa miongo kadhaa...leo hii kweli Marekani imekuwa ni ya kulalamika na kulialia tu twitter kuwa eti Russia yataka kuimega mikoa ya mashariki ya Ukraine (mikoa ya Donetsk, Luhansk na Kherson)?!

Ipo wapi ile Marekani tuliyoizoea ya kuingia mzigoni kwenye mataifa dhaifu kama Iraq, Libya na kwingineko kwa tuhuma tu pengine za nchi husika kumiliki silaha za maangamizi, au kukandamiza/kuonea watu wake?!

Sasa kama Marekani status yake ya sasa hivi ni kulialia twitter na kubweka tu pasi na actions tulizozizoea toka kwa polisi huyu wa Dunia, kuna tofauti gani sasa kati ya Marekani na Tanzania?!

Halafu Zelensky si anashinda vita vya Ukraine huko twitter, sasa inakuwaje tena Putin anayeshindwa vita amnyang'anye mikoa hiyo mitatu mshindi wa vita (Zelensky)?!

SmartSelect_20220503-073100_Chrome.jpg
SmartSelect_20220503-073121_Chrome.jpg
 
Unajua huko Ukraine kuna mambo makuu matatu.
1. Ni issue ya Ukraine kujiunga NATO hii imesababishwa na mambo mawili.
2. Upande wa Black Sea imegundulika reserve kubwa sana ya mafuta na gas. Na vikevile maeneo ya east of Ukraine Poltava kuna reserve kubwa sana ya Oil.
Upande wa Magharibi mkoa uliokaribu na Lviv nao upo na Reserve kubwa ya mafuta na gas. Sasa Poland ameona kwakuwa upande wa Mashariki anauchukua Urusi yeye anataka kuchukua magharibi na anauhakika ataweza kuanza kuchima mafuta na gas. Na hiyo itamtosheleza kwa matumizi yake. Sasa hii kete inategemea na mpango wa Urusi.

Hatua ya kwanza Urusi alihakiksha anaichukua Crimea na kuwa na uhakika wa black sea yenye reserve kubwa ya mafuta na gas. Hatua ya pili ni kuchukua eneo la mashariki ambalo pia lipo na reserve ya mafuta na gas. Hii itamhakikishia kuwa ulaya inaendelea kuwa tegemezi wa Urusi.

Mistake waliyoifanya wa magharibi ni kushindwa kula na Urusi walitaka wamwingize Ukraine NATO ili wale wao tu na waachane na Mrusi. Bahati mbaya sasa mrusi kaamua kula pekee yake.

3. Unyanyaswaji wa warusi ndani ya ukraine. Hiyo ni sababu nyingine.

LAKINI: Poland kuingia Ukraine, ataingia tu na atapata support kutoka NATO. Lengo lake ni upande wa magharibi. Ndio maana kaamua kukacha malipo ya Ruble ana buy time ili yeye awe mmoja wa wachimba mafuta ndani ya Ukraine.

NGOJA TUONE NGOMA ITAKUWAJE.
Inamaanisha Poland ataimega Ukraine acha tuone maana ni kama ana support ya NATO kwenye hili
 
Umeandika utoto sana. UPUPU.
 
🔥🔥🔥 American Hummer became a trophy of the 9th regiment of soldiers of the DPR
The ninth regiment of the DPR is working in the Zaporozhye direction, where it went after the assault on Mariupol. The captured Hummer was received by the DPR fighters after the capture of the Ilyich plant. Earlier, the United States handed over the car to the Nazis from Azov🔥🔥🔥

VIDEO NI NDEFU
 
Umeandika utoto sana. UPUPU.
Halafu ninaandika na ushahidi ninao kabisa. Ushahidi huu hapa:-
IMG_20220503_080934_941.jpg
IMG_20220503_080938_083.jpg

IMG_20220502_214635_197.jpg

OSINT Monitor: “An order from the Polish General Staff has been released on social media, which apparently shows that several Polish airborne units were put on high alert near the Polish-Ukrainian border so that they could advance into the Lviv and Volyn regions of Western Ukraine to capture targets.
This 'order' is largely unverified, but looks genuine."

Ha! And who there a couple of days ago said that the Russians are lying about the fact that Poland has serious appetites for Volyn and Galicia?
 
[emoji1250] Turkish drone manufacturer Bayraktar suffers substantial reputational losses due to Ukraine conflict; its prospects for new contracts are rather uncertain.

[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi drones zimefeli sana mbele ya Russia zinatunguliwa kama mahembe. Hizo drones wazipeleke Haiti huko lakini sio mbele ya Russia tunq subiri hizo hotwizaaaa[emoji28]
 
Back
Top Bottom