Ingawa uzi hauna mahusiano na hii issue, Ngoja nikujuze kwa kifupi tu. Kuna hii kitu Gender na Sex. Hizi term mbili n very complicated na majibu yake kila mtu ana yake yategemea na kile nilichokuuliza kua nini kinakutambulisha kua jinsia ni mbili...
Ukitumia kigezo cha vile vilivyopo katikati ya Miguu miwili kwa wanyama unaweza sema jinsia (Sex) zipo 2 kua ya kiume na kike...
Sasa nje ya vigezo hivo kuna wanawake wana jinsia ya kiume. Ana breast, umbo, sura, sauti na mengineyo ya kike kasoro sex part zake ndio za kiume... Wanawaita Shemale, that's why nikakuuliza unatumia kigezo kipi kutambua na kudeclare kua jinsia zipo mbili...
Na hiyo juu ni katika Jinsia upande wa "Sex"... Ila ukiizungumzia Jinsia in term of gender inakuwa no longer "what it's between legs"... Hapa utakutana na kila aina ya sampuli...
Mfano to mention but few, kuna Agender, Bigender, Androgynous, Cisgender, Cross dresser, Transman, Gender fluid, Genderqueer, Transwoman, Pangender, Transfeminine, Transgender, Transmasculine, na Natal gender....
[emoji23][emoji23][emoji23] Nakumbuka huyu judge wa US aliyetangazwa kua Judge wa kwanza mweusi ndani ya Supreme Court alishindwa kujibu "Mwanamke ni nini" akadai ye sio "Biologist" kueza sema mwanamke ni nini...
Anyway kwa kua sio mahala pake hizi story tuishie apo apo tu.