Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Mnashindwa kuelewa jambo dogo kama hilo niwazi kwamba RUSSIA anaelewa kua VIKWAZO hawezi kuondolewaHela zao gani anazo Russia, acha kudanganya watu bwana. Huoni leo Russia analazimisha vikwazo kuondolewa iwe ni sehemu ya mazungumzo yao na Ukraine.
Nikadhani hili ni jukwaa huru mtu ana haki ya kuchangia mada yoyote ile,kumbe siku hizi kuna viranja humu wanaamrisha wengine ni wapi pa kuchangia na wapi hapana [emoji3]Duuhh Mkuu jikite kushabikia mambo ya Chadema na CCM , Haya ya geopolitics sio saizi yako
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
@britanicca endelea kushusha mada za kutosha,tunajua wewe upo Russia,kuna watu hapa wanamakasiriko na threads zako.Hivi uyu itakuwa analipwa kwa hizi porojo zake ee?
Tatizo lako wewe unataka kusikia habari nzuri za Urusi tu. Unataka kusikia habari za kuwa Urusi anaipiga Ukraine kweli kweli au Urusi ana silaha bora kiasi kwamba silaha za Ukraine hazifui dafu. Unataka kusikia wanajeshi wa Ukraine 20000 wamekufa ila wanajeshi 25000 wa Urusi wamekufa hutaki kabisa kusikia. Na huo wala siyo mtazamo mzuri.Hivi uyu itakuwa analipwa kwa hizi porojo zake ee?
Vikwazo haviwezi kuondolewa nani anakwambia kuna kuondoa vikwazo na wanapoteza muda bure kuongea na Ukraine kuhusu vikwazo kwani vikwazo havijawekwa na Ukraine.Mnashindwa kuelewa jambo dogo kama hilo niwazi kwamba RUSSIA anaelewa kua VIKWAZO hawezi kuondolewa
Anaeka sharti kama hilo sababu hana shida yakuongea na mtu anataka dozee dozee iendelee
Na ikitokea VIKWAZO vikaondolewa tayar RUSSIA anakua kaupiga mwingi naanaionesha DUNIA kitu
Kaeni kwakutulia vijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi unaleta taarifa za jana. Nilishazileta hapa.A Chinese Foreign Ministry spokesman tweeted a map of NATO's eastward expansion with the sarcastic caption, "The promise not to expand NATO 'one inch eastward' actually looks like this."
Previously, the Chinese minister trolled the US with a cartoon about coercion to take sides. “It actually means… take (my) side!” he signed the post.
View attachment 2210899
We jamaa ovyo Sana.Putin amegundua majasusi wa zamani wa FSB (KGB) wa Urusi wana Mpango wa Kumgeuka Putin na kumaliza vita Ukraine ,hii inatokana na makosa mbali mbali waliyofanya Urusi kwenye hatua za kijeshi dhidi ya Ukraine na hasara kubwa waliyopata.
Shinikizo hilo ni kutokana na warusi wenyewe hapa kuona wenzao nandugu zaidi ya 24,000 kufa vitani ,, hakuna vita ya karibuni imewahi uwa watu hivi
Kremlin coup rumours growing in Moscow: Disgruntled generals join FSB looking to oust Putin and end Ukraine war
Rumours are swirling in Moscow that a number of former generals and KGB officials are preparing to oust Russia’s president Vladimir Putin and plan to end the war in Ukraine, which is increasingly seen across Russia as a strategic mistake and, above all, an economic disaster.The top of Putin’s...www.cityam.com
Britanicca
Na ndiyo udhaifu wa Pro Putin wote hapa,wanapenda kusikia tu kile masikio yao nataka kusikia,wakiletewa kitu tofauti unawaona wanafura kwa hasiraTatizo lako wewe unataka kusikia habari nzuri za Urusi tu. Unataka kusikia habari za kuwa Urusi anaipiga Ukraine kweli kweli au Urusi ana silaha bora kiasi kwamba silaha za Ukraine hazifui dafu. Unataka kusikia wanajeshi wa Ukraine 20000 wamekufa ila wanajeshi 25000 wa Urusi wamekufa hutaki kabisa kusikia. Na huo wala siyo mtazamo mzuri.