hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Sijakuelewa.Pale mtu anapoishiwa point panic mode inakuwa activated automatically[emoji3][emoji3]
Sijakuelewa.Pale mtu anapoishiwa point panic mode inakuwa activated automatically[emoji3][emoji3]
wewe sio wakuuliza maswali kama haya MKUUMwanzoni tulikuwa tunapima Op kwa objective za demilitarization, de-nazify na suala zima la Ukraine kuwa neutral, yaani asiegemee NATO .
Sasa hizi objective zimebadilika? Kama hapana yupo % ngapi kuzitimiza? Kama zimebadilika objective zake mpya ni zipi?
Kama objective hazijulikani hata akisitisha vita sasa hivi akasema tumefanikiwa hatutaweza kukubali au kupinga maana hatuna kipimio yaani objectives.
Sasa kila nikisoma hoja humu nipate majibu naona yale mambo ya wale mabwana wenye jambo lao ndo yamejaa sioni hoja zinazopelekea kutoa majibu.
Kuwa makini na majina ya warusi. Kuna Vitaliy Gerasnov na Valery Gerasnov, siyo mtu mmoja huyo.Amekufa Mara 2 March 8 na March 11 lakini juzi kajeruhiwa.
Miujiza hiiView attachment 2210560View attachment 2210563
Nimekujibu hapo juu. Tofautisha hao Gerasnov wawili: Mmoja ni Vitally aliyepewa one way ticket na mwingine huyu Vallery aliyeponea chupuchupu.Wounded mbona Ni ya Jana tu man. Ingia Google muulizie gerasmov. Watakwambia kwa mujibu wa souce za kyv mshua kadedi. Kumbe yupo anadunda
Unajua huko Ukraine kuna mambo makuu matatu.
1. Ni issue ya Ukraine kujiunga NATO hii imesababishwa na mambo mawili.
2. Upande wa Black Sea imegundulika reserve kubwa sana ya mafuta na gas. Na vikevile maeneo ya east of Ukraine Poltava kuna reserve kubwa sana ya Oil.
Upande wa Magharibi mkoa uliokaribu na Lviv nao upo na Reserve kubwa ya mafuta na gas. Sasa Poland ameona kwakuwa upande wa Mashariki anauchukua Urusi yeye anataka kuchukua magharibi na anauhakika ataweza kuanza kuchima mafuta na gas. Na hiyo itamtosheleza kwa matumizi yake. Sasa hii kete inategemea na mpango wa Urusi.
Hatua ya kwanza Urusi alihakiksha anaichukua Crimea na kuwa na uhakika wa black sea yenye reserve kubwa ya mafuta na gas. Hatua ya pili ni kuchukua eneo la mashariki ambalo pia lipo na reserve ya mafuta na gas. Hii itamhakikishia kuwa ulaya inaendelea kuwa tegemezi wa Urusi.
Mistake waliyoifanya wa magharibi ni kushindwa kula na Urusi walitaka wamwingize Ukraine NATO ili wale wao tu na waachane na Mrusi. Bahati mbaya sasa mrusi kaamua kula pekee yake.
3. Unyanyaswaji wa warusi ndani ya ukraine. Hiyo ni sababu nyingine.
LAKINI: Poland kuingia Ukraine, ataingia tu na atapata support kutoka NATO. Lengo lake ni upande wa magharibi. Ndio maana kaamua kukacha malipo ya Ruble ana buy time ili yeye awe mmoja wa wachimba mafuta ndani ya Ukraine.
NGOJA TUONE NGOMA ITAKUWAJE.
Putin haungwi mkono na nchi yake , nimeshangaa sana Putin kushindwa kulijua hili mapemaPutin amegundua majasusi wa zamani wa FSB (KGB) wa Urusi wana Mpango wa Kumgeuka Putin na kumaliza vita Ukraine ,hii inatokana na makosa mbali mbali waliyofanya Urusi kwenye hatua za kijeshi dhidi ya Ukraine na hasara kubwa waliyopata.
Shinikizo hilo ni kutokana na warusi wenyewe hapa kuona wenzao nandugu zaidi ya 24,000 kufa vitani ,, hakuna vita ya karibuni imewahi uwa watu hivi
![]()
Kremlin coup rumours growing in Moscow: Disgruntled generals join FSB looking to oust Putin and end Ukraine war
Rumours are swirling in Moscow that a number of former generals and KGB officials are preparing to oust Russia’s president Vladimir Putin and plan to end the war in Ukraine, which is increasingly seen across Russia as a strategic mistake and, above all, an economic disaster.The top of Putin’s...www.cityam.com
Britanicca
KabisaPutin haungwi mkono na nchi yake , nimeshangaa sana Putin kushindwa kulijua hili mapema
Mzee mgaya anasemaje kuhusu hili johnthebaptistPutin haungwi mkono na nchi yake , nimeshangaa sana Putin kushindwa kulijua hili mapema
Ninafanya utafiti taratibu Kwa watu hapa Ruskie bila wao kujua, kati ya warusi 10 basi 6 hawakubaliani na vita hii maana wameingiwa na wasiwasi Mwenyewe nakaa na waswas hapa kikiwaka nshaandaa Nauli naenda zangu ****Mzee mgaya anasemaje kuhusu hili johnthebaptist
Hawa tunaokutana nao mitandaoni ni bots?Ninafanya utafiti taratibu Kwa watu hapa Ruskie bila wao kujua, kati ya warusi 10 basi 6 hawakubaliani na vita hii maana wameingiwa na wasiwasi Mwenyewe nakaa na waswas hapa kikiwaka nshaandaa Nauli naenda zangu ****
Britanicca
Mtandaoni watu wana account 10 mmojaHawa tunaokutana nao mitandaoni ni bots?
Na Russia kazuia zaoHela za Russia kibau zimezuiliwa nchi za magharibi hivyo zitumiwe kuikarabati Ukraine. That's all.
..... Iliyokuwa kwenye ardhi yake; kwa nini usimalizie sentensi hiyo?Acha ubabaishaji. Umeandika hivi:-
" na Ukraine ikachukua mitambo yote ya Nyuklia"
Mbona unapinga comment yako mwenyewe!?
Wewe king'ang'anizi kweli. Mimi naleta fresh news wewe unaleta documentary. Pumzika mwana huu mziki huuwezi.