Kwa kuwa ni fake Wala haikeri kabisaIlivyo ndefu ikipostiwa kila mara itakuwa inakera.
Kwa kuwa ni fake Wala haikeri kabisaIlivyo ndefu ikipostiwa kila mara itakuwa inakera.
😂😂😂Sasa akipunguza atawezaje ku-cover bills hapa mjini?
Duh....Bado muda siyo mrefu huyo mbwia unga Zele atakuwa historia...habari zilizopo Russia imeanza kuelekeza makombora yake kwa decision makers wa Ukraine...tusubiri kidogo tutaona au kusikia mengiUkraine huwabomoa kimya kimya, kati ya matukio makubwa ni kuwa juzi wamezamisha meli nyingine mbili huko Black sea na kuua General mmoja. Habari ndiyo hiyo mpaka Putin anapata kiwewe.
View attachment 2210341
😂🤣Mkuu nakuheshimu sana ila huku unakoelekea unapoteza kila kitu. Inamaana wewe huoni nini kinaendelea ukraine mpaka sasa umeshindwa juaa???.
Umeshapiga safari nini??
Rudi darasani br, Rudi kwenye vyanzo mkuu.U
Unasema transnitria ni sehemu ya Moldova ahaaaa ni state ambayo ni independent, special na ndomaana kwenye masuala ya uhamiaji wanajutegemea japo wote walikuwa USSR
So understand that
Most Transnistrians have Moldovan citizenship, but many also have Russian, Romanian, or Ukrainian citizenship. The main ethnic groups are Russians, Moldovans/Romanians, and Ukrainians.
Wounded mbona Ni ya Jana tu man. Ingia Google muulizie gerasmov. Watakwambia kwa mujibu wa souce za kyv mshua kadedi. Kumbe yupo anadundaHuyo jamaa Gerasmov aliponea chupuchupu, hakuuwawa, ikabidi akimbie mara moja kurudi Moscow. Ukraine ilisema aikuwa wounded, haikusema kauwawa. Aliyeuwawa ni Maj. Gen. Andrei Simonov. Mtafute
View attachment 2210242
Hahahaha 😂🤣😂🤣Huyu baba ni muongo sijapata kuona, last month alisema urusi imeishiwa bidhaa ndani ya supermarkets zao, na alidai yeye yupo Moscow anaona hali halisi. Kumbe ni "kanyaboya" yupo hapa hapa mwembe mdogo kigamboni.
HahahaHahahaha 😂🤣😂🤣
Mkuu tuwekee ukweli wako basi tufanye comparison
Hata pope ni mwanasiasa maana ni kiongozi wa taifa la Vatican. Labda kama mule kuna rais mwingine alafu Yeye anashughulikia Dini tu.Anamuogopa Nani? Naona anataka kuwa politically correct muda wote wakati yeye si mwanasiaasa mwambieni achague upande.
RUSSIA sio ZIMBABWEAlipoanza special operation pale Ukraine, west walikuja na measures ambazo walidhani zilikua kali sana kiasi ambacho Russia angeomba poo. Walimbana na vikwazo zaidi ya 5000, na ikumbukwe hata North Korea hajawahi kuwekewa vikwazo vya namna ile. Waliandika kwenye majarida yao, pia walitangaza kwenye media zao kua, Russia atarudi nyuma miaka 100.
Vikwazo vilishindwa kufanya kazi badala yake vikaanza kuwasumbua wao waliowekewa, na Russia akakazia uzi hapo hapo kwa kulazimisha manunuzi ya ges kwa rubles.
West hawakukubali kushindwa, this time around wakaanza kupeleka silaha, mercenaries na msaada wa intelligence pale Ukraine, matokeo yake wote tumeyaona sitaki kurudia.
Baada ya kuona Ukraine anapoteza majimbo, mercenaries wanakamatwa, vikwazo havifanyi kazi, sasa wanataka vita iishe... yaani Russia arudi nyumbani. Kwanza wanemtuma katibu mkuu wa UN, kashindwa. Sasa wanapanga kumtuma Papa wa kanisa katoliki.
Mwanzo, papa na UN walichunia mgogoro wakidhani Russia atapigwa, wamechungulia na kuona mbali, sasa wanabadili mbinu. Waswahili wanasema "usiku wa deni haukawii".
Mpaka sasa naweza kusema operation imetimiza asilimia 85, mji kama mariupol umeshapiga kura kujiunga na nchi za luhansk na Donetsk ambazo kwa sasa ni nchi huru. Sijui ni lini taasisi mfu ya UN itawapitisha, lakini so far ni nchi huru. Sasa chukua mariupol donbase plus cremea na odesa utakuja kuona karibu nusu ya ukraiane imegawanyika
Mpaka sasa Ukraine imepoteza udhibiti wa bandari, hivyo ni landlocked country kama Zambia. Hawataweza kusafirisha ngano wala kupokea mizigo kupitia bandari. Watalazimika kulipa kodi kwa nchi ya luhansk & Donetsk. Sasa Zelensky sijui atamlaumu nani? Kweli unga sio mzuri.
Aya sasa tuje kwa wahisani... hapa natamani kucheka na kulia kwa wakati mmoja. Kwa data za wiki iliyopita, urusi alikua anaongeza mauzo ya gesi maradufu barani ulaya. Yaani waliomuwekea vikwazo wananunua sana gesi kuliko ilivyokua kawaida, je ni unafiki? Hapana, ni ujinga bangi uchwara za Zelensky.
Kwa sasa nchi ya urusi itakua busy na jinsi ya ku deal na Sweden na Finland juu ya kujiunga Nato, nna uhakika watakuja na jibu ambalo litakua kitendawili kizito kwa ulaya. Tusiwe watabiri sana ngoja tuone.
Namalizia kwa kujiuliza ikiwa Nato wote wanasumbuliwa na Russia, itakuaje China, Russia , North Korea na iran wakitengeneza NATO yao?
The irreplaceable
nilikwambia huwezi kuukimbia huu uzi ijapokua UKRAINE mnashinda huko field ila UZI kwako ukawa mithili ya shubiliMbona umeongea kwa uchungu hivi.
Amekufa Mara 2 March 8 na March 11 lakini juzi kajeruhiwa.Huyo jamaa Gerasmov aliponea chupuchupu, hakuuwawa, ikabidi akimbie mara moja kurudi Moscow. Ukraine ilisema aikuwa wounded, haikusema kauwawa. Aliyeuwawa ni Maj. Gen. Andrei Simonov. Mtafute
View attachment 2210242
hata hujasoma umekimbilia kukomenti tu, hapa sio Facebook. Ikitajwa Russia kuna watu wanakasirika kama sukuma gangWe jamaa habari zako za kitapeli sijui unazitoa wapi na unapata faida gani mtu mzima kuwa unaongea mambo ya uongo uongo?
Hakikahata hujasoma umekimbilia kukomenti tu, hapa sio Facebook. Ikitajwa Russia kuna watu wanakasirika kama sukuma gang
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji4][emoji4]
hehe sawa MKUUUrusi kwa sasa malengo yake yamehamia huko Ukraine mashariki (Putin alibadili gia angani), ila hata huko akikaa vibaya ataangukia pua.
dudus Frank Wanjiru
Mwamaleki
Bwana Utam
Paula Paul
wa kupuliza
T14 Armata
STRUGGLE MAN
lee van cliff
Je wewe binti ushatakaswa?Sio waarabu ni maarabu hutaki meza wembe.
Mapadri kazi yao ni kufanya utakaso sio kusugua