Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwaka 2018 niliingia Transnitria nikaa siku 2 Mwonekano wao ni slava yaan wana Ngozi nyeupe Sana Na wana nywele Nyeusi si kama za Warusi zina u uweupe fulani , miaka hiyo kulikuwa kuna zoezi linaendelea kuhamasisha kufunguka zaidi kimataifa na kujipanua zaidi kidunia.

Zoezi lilihusishwa Pia kupata passport za mataifa ya Romania, Moldova na Ukraine, nimeona Putin anaanza kushinikiza wakazi wa kule kuungana Naye kimtizamo kuweza kuwawapiga Moldova na Ukraine Jambo ambalo ni risk kwa Urusi maana wengi wana uraia pacha na passport za Moldova na Ukraine maana ndo walichagua Sana kwa asilimia kubwa 88 % walijiunga Moldova na Ukraine..

Huyu Mzee Putin naona ameanza sasa kapoteza meuelekeo

Russia ni wazuri lakini ile domination ya mtu mmoja over everything ndiyo inawadhoofisha. Hata Marekani leo hii, wakiongozwa kwa style ya Russia, ni lazima watayumba, watadhoofu na kubaki historia.

Cha kujifunza ni kwamba, ni muhimu sana kuwa na strong Institutions kuliko kuacha mtu mmoja ndiye awe kila kutu katika nchi. Wale wa Katiba Mpya bongo mtapata point hapa.

View attachment 2209569

Britanicca 03:05:2022—10:32
Hao jamaa warembo sana.
 
Ni rahis kama unaishi huku ila si vema kuoa warusi ni wapenda ngono sana ndo maana wengi walilia kufungwa na Instagram na pornhub Lakin siyo Uber wala benk [emoji23]

Ila ukiwa huku interaction ni kubwa kupata mtu wa mataifa unayotaka, japo nimeona m Swedish ila napenda kukushauri Oa bongo

Britanicca
Dah,unanitamanisha nije huko aisee...
 
Amealikwa na nani Ukraine.
Kiburi cha mbwia unga Zelensky ndicho kimemualika huyo Russia....Au unasemaje mwenzetu....yeye Zelensky amekazana kubwia unga tu na ambao unamfanya aamini kuwa askari wake wanashinda vita kumbe ni kinyume chake....a very stupid president....Askari wake wanakufa kwa maelfu lakini yeye anadhani wanashinda vita... hivi sasa askari wake huko Eastern Ukraine wameshazungukwa na Warusi na hawana pa kutokea...NATO haina ubavu wa kupambana na Russia...USA nayo mpaka awe na washirtika ndipo apambane na Russia...Uingereza ni makelele tu yaliyobaki baada ya kupoteza makoloni yote anadhani kwa makelele yake yatamfanya atambulike umuhimu wake duniani....Russia inaweza kuifuta Uingereza kwa dakika moja tu kwa makombora mawili au matatu...stupid west...
 
Huyu General mamluki wa Canada ameshapelekwa Moscow akapakwe mafuta na Sergei Shoigu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]View attachment 2209609

Acha hiyo bwana ...Shoigu na warusi kwa ujumla hawana tabia hiyo chafu ya kupaka mafuta ...hiyo ni tabia ya evil empires za ulaya ya west, USA, Canada na Australia...Yaani Mungu ameumba mume na mke...wao wanataka kutengua maamuzi ya Mungu...eti wanaume waoane na wanawake nao waoane...huu ni ushenzi...wazungu ni washenzi kabisa...
 
Ndugu zangu tunavosema Ukraine ana hali mbaya muwe mnaelewa acheni propaganda papa hyu maji yamefika shingoni bila shaka atakua katumwa. Kumbukeni Putin alikua hapokei sim zake.

Mkiona hawa viongozi wakubwa wa dunia wanahangaika jiongezeni
IMG_2822.jpg
 
Kupata mke huko ni rahisi?
Mtu mweupe sio sawa na mwarabu they're so clean alafu hawana habari za u-dominant wa mwanaume kama Africa na waarabu walivyo.

Vyombo utaosha naye ataosha, kupika utapika naye atapika na vyote ambavyo wewe unaona huwezi kufanya ukiwa na mke utavifanya.
Hadi hapa umeshakosa mke kaoe kwa maarabu
 
Mtu mweupe sio sawa na mwarabu they're so clean alafu hawana habari za u-dominant wa mwanaume kama Africa na waarabu walivyo.

Vyombo utaosha naye ataosha, kupika utapika naye atapika na vyote ambavyo wewe unaona huwezi kufanya ukiwa na mke utavifanya.
Hadi hapa umeshakosa mke kaoe kwa maarabu
Hahaha
 
Mtu mweupe sio sawa na mwarabu they're so clean alafu hawana habari za u-dominant wa mwanaume kama Africa na waarabu walivyo.

Vyombo utaosha naye ataosha, kupika utapika naye atapika na vyote ambavyo wewe unaona huwezi kufanya ukiwa na mke utavifanya.
Hadi hapa umeshakosa mke kaoe kwa maarabu


Vyote hivyo nitafanya kwani kwa mujibu wa mafundisho ya Uisilamu kazi ya mke ni kulea watoto tu, kupika, kufua, kufanya usafi nk ni kazi ya mume kifupi ni kwamba kazi ya mume ni kuhudumia familia na kazi ya mke ni kulea watoto.

Ni mazingira tu ndio yamefanya mke naye awe akimsaidia mume katika maishi, kufua nk--- msaada umegeuzwa kuwa wajibu.
 
Back
Top Bottom