Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Transinistria embu toa taarifa sahihi kuusu hii nchi Acha propaganda maana jesh la Rusia lipo apo toka 92 inatoa ulinzia baada ya vita na Moldova, wananchi wake wengi wanazungumza kirusi na siyo kuwa Rusia aliweka figisu kwenye ili Jimbo Bali ni Ukrein ililipua mnara wa miaka mingi WA mawasiliano ya redio baada ya kuona mapigano ya Odessa wanazidiwa ili kuingiza nchi nyingine kwenye mgogoro, Rusia ina wanajeshi 1500 kwenye ilo Jimbo miaka mingi
Ata mimi kwa ufatiliaji wangu mdogo uliyoandika ni sahihi
 
Kanyoosha maelezo. Haya sasa Bulgaria na poland washaanza kupata joto ya jiwe...
View attachment 2209621

We do not care what they think of us in the East or in the West, the main thing is the energy supply of the country

This was stated by Hungarian Foreign Minister Peter Szijjarto at the talks in Kazakhstan. He stressed that his country's waiver of anti-Russian sanctions on oil and gas is not a political decision. This is due to the interests of energy security.

Szijjarto noted that 65 percent of the oil needed by Hungary comes from Russia and there is no other alternative.

"We don't care what they think of us in the East or the West, one thing is important for us - we want to guarantee Hungary's energy supply. This cannot be under threat. Nobody can expect the Hungarian people to pay the price of the conflict in Ukraine," - added the head of the Foreign Ministry.
 
Vyote hivyo nitafanya kwani kwa mujibu wa mafundisho ya Uisilamu kazi ya mke ni kulea watoto tu, kupika, kufua, kufanya usafi nk ni kazi ya mume kifupi ni kwamba kazi ya mume ni kuhudumia familia na kazi ya mke ni kulea watoto.

Ni mazingira tu ndio yamefanya mke naye awe akimsaidia mume katika maishi, kufua nk--- msaada umegeuzwa kuwa wajibu.
Caucasians don't do that sh*ts eti alee mtoto kazi afanye saa ngapi na hayo mambo ya uislamu ndio maana nikakwambia kaoea maarabu ya Yemen si yamejaa Kariakoo.

Kazi ya kulea mtoto/watoto sio ya mke kwa wazungu ni kazi ya kijakazi hadi hapa huwezi kuwa na Mzungu.
Unamjua muigizaji anaitwa Clouds 112 if I'm not mistaken, ni muislamu na amemuoa mzungu wa Scandinavia na anaishi naye kule hana hizo mambo zako zakitumwa
 
Nimeona sehemu imeandikwa

Vladimir Putin had surgery while battling cancer and Parkinson’s disease, source claims

65312427-1186-4A71-9C06-F39731D01AE6.jpeg


Swala la afya ya Putin lilianza kuzua mzozo way back 2016. Kuna kipindi alidhoofu sana , lakini ghafla muonekano wake ndani ya siku 10 tu ukawa tifauti. Watu wakawa wanasema akifanyiwa syrgery ya uso iki aendelee kuonekanana mvuto.
Ukweli ni kuwa, kipindi kile hakufanyiwa surgery yoyote ile, ila alichofanyuwa ni procedure iitwayo filler wanaujaza uso wake na somevtussues kama vike wanawake wanavyojaziwa makalioni.
Filler ndiyo kitu Putin amekuwa akifanyiwa. Afya inainekana kuzidi kuzorota, hasa kipindi hiki kitu kilichopelekea safari hii kufanyiwa operation ambayo ina kila dalili ya kutoisha vizuri.

Kwa mtizamo wa kiundani navyoyaona mambo mimi Putin anaweza asitoboe miaka mingine miwili hafiki December 2024


Britanicca 03:05:2022———- 13:34
 
The Armed Forces of Ukraine have regained control over the settlements of Verkhnia Rohanka, Ruska Lozova, Slobidske, and Prylesne in Kharkiv region
15352559_img20220501123235_jpegeb4f779e85b46a22edd8fd22c525f808.jpeg
 
Tuacheni Utani jamaa, urussi inaenda kua kama North Korea, kutengwa na dunia nzima.

Russian clubs have been banned by UEFA from participating in the Champions League and all other European competitions next season, European football's governing body announced on Monday.



"Russia will have no affiliated clubs participating in UEFA club competitions in the 2022/23 season," it said in a statement.



Russian clubs and national teams were suspended "until further notice" by UEFA in February in the wake of the country's invasion of Ukraine.



The Russian team's exclusion from the Women's European Championship to take place in England in July was also confirmed Monday.



Portugal, who had lost to Russia in a qualifying play-off, will take their place in Group C alongside 2019 World Cup runners-up Netherlands, Sweden and Switzerland.



In addition, UEFA declared Russia's bid to host either the 2028 or 2032 European Championship "not eligible".
 
⚡️Russia accuses Israel of supporting “neo-Nazis”.

In an ironic twist of propaganda, Russia’s Foreign Ministry accused Israel of supporting “neo-Nazis” in Ukraine a day after Russian Foreign Minister Sergey Lavrov claimed Adolf Hitler had Jewish descent.
 
⚡️Zelensky: 'Russia has forgotten all the lessons of World War II. Or maybe they never studied those lessons.'

Zelensky in his nightly address referenced Russian FM Sergiy Lavrov who alleged Hitler had “Jewish blood” and that the “most ardent anti-Semites are Jews themselves.”
 
Acha hiyo bwana ...Shoigu na warusi kwa ujumla hawana tabia hiyo chafu ya kupaka mafuta ...hiyo ni tabia ya evil empires za ulaya ya west, USA, Canada na Australia...Yaani Mungu ameumba mume na mke...wao wanataka kutengua maamuzi ya Mungu...eti wanaume waoane na wanawake nao waoane...huu ni ushenzi...wazungu ni washenzi kabisa...
Mafuta ya upako au ulijua mafuta ya nini
 
NATO haigopi kupigana vita na urusi ila baadhi ya nchi wanachama wanao unda hilo jeshi la NATO ndo hawataki kabisa kusikia vita na mrusi kwa masilahi ya uchimi na maisha yao ya baadae, nchi kama ujeruman, Hungary na zingine zinaulewa vizuri moto wa wasoviet enzi za vita ya pili ya dunia. Na pia nchi kama ufaransa na UK wanahofia kupotezwa kabisa kwenye ulimwengu wa dunia kama nukes zikianza kutua kwenye ardhi zao.

Usione nchi kama poland anatikisa makalio tu na kuishia kupiga kelele akiwa nchini kwake huku jirani yake akipigwa hypersonic missile tena km kadhaa tu karibu yake, anajua akiwasha moto na urusi kwa umbali huo alipo anaweza akafutwa kwenye ulimwengu huu ndani ya wiki moja tu halafu NATO wenzake wakaamuacha kwa kuhofia madhara hayo hayo kutokea nchini mwao.

Na hii operation ikiendelea, huko mbele tunashuhudia mgawanyiko wa nchi zinazounda EU na NATO katika kuingia vitani na Mrusi. Tunashaanza kuona huo mgawanyiko kwenge gas embargo, kuna baadhi za nchi za EU hazitak kabisa kusikia huo upuuzi wa kususia mafuta na gas ya mrusi na zipo zingine zipo tayari. Hivo hivo wakianza kutoa majeshi kwajili ya Vita na Urusi kuna nchi wanachama wa NATO hawatataka kabisa kutoa majeshi yake kwajili ya NATO kupigana na Mrusi ili wasionekane military enemies kwa Urusi na waepuke mziki wa nuclear bombs.

Siku huwezi ukajua panapovuja kama mvua haijaanza kunyesha.
ACHA MVUA YA RUSSIA IENDELEE KUNYESHA ILI TUJUE PANAPO VUJA HUKO EU NA USA.
👋👋👋👋
 
RUSSIA anawapelekesha sana hawa wapuuzi wapuuzi
Yaani jamaa walijua wakimpiga vikwazo atakua failled state kama ZIMBABWE lakini wapi
Ndio waelewe hapa wa NATO yakwamba RUSSIA nidubwasha fulani hv lisilo lakawaida kuna mataifa zaidi ya 40 yameungana kwapamoja kupambana na RUSSIA kwenye angle mbali mbali KISIASA KIJESHI KIUCHUMI na KIPROPAGANDA lakini chakushangaza wooote wanakula pigo moja la KO wanapotea
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂👋👋👋Urusi💪💪💪
 
Back
Top Bottom