Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

"I drew a parallel with Germany. It had to suffer two major defeats to completely transform itself, its consciousness and attitude,"

"(Defeat in Ukraine) will be the second for the Russians. The first one was the collapse of the Soviet Union, the defeat of one generation. And the second is defeat in this war. And I'm sure that after that they will start the same processes as in Germany, when they come to the conclusion that it's no longer possible to resolve an issue by force."

Expert.
 
I agree with this expert, historically, war has never solved most problems, as he said German under Hitler tried, failed and had to change itself, America is a good student on this, the only person who has refused to accept the lesson is Russia, now they have an opportunity.
 
Caucasians don't do that sh*ts eti alee mtoto kazi afanye saa ngapi na hayo mambo ya uislamu ndio maana nikakwambia kaoea maarabu ya Yemen si yamejaa Kariakoo.

Kazi ya kulea mtoto/watoto sio ya mke kwa wazungu ni kazi ya kijakazi hadi hapa huwezi kuwa na Mzungu.
Unamjua muigizaji anaitwa Clouds 112 if I'm not mistaken, ni muislamu na amemuoa mzungu wa Scandinavia na anaishi naye kule hana hizo mambo zako zakitumwa

Kwani waisilamu wote wana practice Islamic ??

Unajua maana ya kulea na kutunza mtoto?? (Kulea= upbringing) (kutunza = baby sitting), kulea mtoto ni mainly kazi ya mama, unaweza kutunza mtoto kwa kumtafuta baby sitter hilo halijakatazwa.

Understand???
 
Caucasians don't do that sh*ts eti alee mtoto kazi afanye saa ngapi na hayo mambo ya uislamu ndio maana nikakwambia kaoea maarabu ya Yemen si yamejaa Kariakoo.

Kazi ya kulea mtoto/watoto sio ya mke kwa wazungu ni kazi ya kijakazi hadi hapa huwezi kuwa na Mzungu.
Unamjua muigizaji anaitwa Clouds 112 if I'm not mistaken, ni muislamu na amemuoa mzungu wa Scandinavia na anaishi naye kule hana hizo mambo zako zakitumwa
Uzi unahusu nchi we kafiri unaamisha magoli kuleta mambo ya warabu.

Hivi hao mapadri uko makanisani hawawasugui vizuru mpaka mnakuwa mnawashwawashwa sana?
 
Putin inaaminika alifanya botox au njia kama hiyo hasa plastic surgery usoni kubadili muonekano. Tafuta picha alizopiga miaka ya 2000 mwanzoni akiwa Rais na lifestyle nzuri tu linganisha na picha za baada ya 2008 anaonekana tofauti badala uso uzeeke uliongezeka ujana. Hiyo operation haina uhusiano na maradhi, kusemekana ana Parkinson's au colon cancer hakuhusiani nayo.

Afya yake nilianza kuishangaa binafsi mwaka mpya wa 2021. Always huwa natazama speech zake za mwaka mpya na baadhi ya hotuba muhimu
 
Inasemekana kutokana na matatizo hayo ya kiafya, shoigu alimuintroduce kwa mganga wa kienyeji ambaye huwa anamtibu kwa kumuosha kwa damu ya mnyama anaitwa "antler", japo tiba hii inasemekana kukubalika sana huko rusia.

mahusiano ya huyu shoigu na putin yawezekana (kwa mtazamo wangu) yakawa yanakaribia kufanana na yale ya bashite na mwendazake, huyu shoigu anaakili za kienyeji sana, vifalu vya urusi vilivyoshindwa kuiteka kiev inasemekana vilikuwa vimezungushiwa ma -mbao kama kinga dhidi ya mizinga, yaani style fulani hivi kama ya majimaji war. matokeo yake wote tunayajua.
 
Back
Top Bottom