Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Urusi ilianguka yenyewe, na itaanguka tena. Hawa hapa walioinagusha urusi siyo watu wa West:Hakuna kitu kama hicho....hiyo ni Western perspectives...We know why USSR collapsed...The aim of the West and particularly USA has always been to make sure unipolar world where USA is the dominant force is the order of the day...In destroying USSR the West thought mission accomplished....But Russia is back and the West would like this great country to collapse...But in today's Russia there are diehard Patriots who are against Western values and they have prepared for almost 20 years to confront the West hence the present crisis...
Kiukweli West Sasa wanalo...Wameshikwa pabaya kwa lugha ya kihuni...
Urusi hawawezi kuishika pabaya west kwa kushambulia Ukraine, kama walikuwa na ubavu wangeshambulia angalau Latvia ambayo iko chini ya NATO waone cha mtema kuni. Hata huko Ukraine wanahanganishwa kila siku tunasikia jenerali au kanali anauwawa; juzi tu kuna jenerali mwingine kauwawa na mwingine kaponea chupuchupu. Jeshi lenyewe utadhani jeshi la wayunani wanaopigana vita ya kizamani sana ya kurusha cannon hovyo kubomoa majumba na kuua raia.
Majigambo ni mabaya sana; miaka yote tulikuwa tunaamini kuwa jeshi la urusi ni kali sana, lakini kwa majigambo walipojiingiza kuishambulia Ukraine wamaumbuliwa na kuonekana kuwa ni jeshi dhaifu sana. Special military operation imegeuka kuwa vita ya kutishia matumizi ya Nyuklia. Sasa hivi Putin ahana pa kutolea aibu ya kubanwa na Ukraine, anatafauta kitu chochote cha kusema ni ushindi.