Ni kweli kuna wanaoandika kwa kufuata allegiance ya walikosomea lakini vile vile kuna wanaoandika kufuata ukweli halisi. Kama huyu ambaye ni mrusi wa damu aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Urusi kwenyewe anasema Putin kafanya makosa, kuna haki gani kuwaamini warusi wa Manzese eti kwa sababu tu walisoma Urusi?
Kwa hiyo unataka tukuamini wewe ambaye pengine ni Mmarekani au Mwingereza wa Mbagala?!😁😂 Ndugu yangu usiwadharau wenzio kiasi hicho kwa kuwaita ni Warusi wa Manzese...wewe mwenzetu unayeunga mkono unyama na ushenzi wa NATO na Marekani unataka kujifanya kuwa ni Mmarekani au Mwingereza halisi?! No no no yusifike huko aisee ...
Ukweli utaendelea kubaki kuwa Marekani ni taifa la kinyama na la kishetani kabisa....unajua maovu ya USA?? Ngoja nikuorodheshee machache..
Marekani ni taifa pekee duniani ambalo limewahi kutumia silaha za nyuklia kwa kudondosha mabomu kwenye miji mwili huko Japan ukiwemo mji wa Hiroshima na kuua maelfu kwa maelfu ya watu inawezekana zaidi ya raia (siyo Askari) 200,000 kwa mkupuo...ila mpaka Sasa madhara ya mabomu hayo bado yapo mpaka Sasa kwa watu kuzaliwa wengineo bila viungo na magonjwa ya saratani...
Marekani ndilo linaloongoza duniani kwa kuwa na maelfu kwa maelfu ya Tani ya silaha za sumu...na ni taifa lilioua maelfu ya watu kwenye Vita vya Vietnam kwa kutumia silaha za sumu yakiwemo mabomu ya napalm...Marekani limeua maelfu kwa maelfu ya watu huko Irak na kumuondoa Rais wake Saddam Hussein na kumnyonga kwa kutumia vibaraka wa Irak...Marekani katika kubomoa majengo, madaraja na kuua watu huko Irak, Libya na Serbia inaita eti ni collateral damage....Marekani imeua watu kwa maelfu huko Libya na kumuua Ghadafi...Marekani imeua watu kwa maelfu huko Serbia na kumuua Rais wake Milosevic...
Marekani imeua watu kwa maelfu huko Syria lakini nchi hiyo ikaokolewa na Russia...Marekani imeua watu kwa maelfu huko Afghanistani ambako iimendesha mauaji kwa karibu miaka 20 hadi hivi majuzi iliposhindwa Vita na kuoncoka huko mkuku...
Marekani ndilo taifa lililofanya genocide ya kutisha huko Marekani kwenyewe kwa kuwaua wahindi wekundu (watu wa asili wa Marekani) zaidi ya milioni 20. Hivi Sasa wahindi wekundu waliobaki huko USA wanaishi kwenye maeneo yaliyotengwa Kama wanyama kwenye zoo...
Marekani ndilo taifa linaloongoza kwa ushoga kinyume na uumbaji wa Mungu...USA Ina Sera na sheria za ushoga likitaka watu duniani kote waoane mwanaume kwa mwanaume au mwanamke na mwanamke...yaani eti jogoo afanye mapenzi na jogoo mwenzake...huo ndio ushetani tunaosema....stupid Americans...Yaani Marekani ni taifa la kishenzi kabisa...hovyo kabisa...eti hizo ndizo Western values....
Watu wengi hawafahamu ushenzi wa Marekani kwa sababu linamiliki vyombo vikubwa vya habari Kama CNN Fox News, ABC na kadhalika...