Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa mmoja kishumundu ndani ndani anayajua mambo ambayo Westerners hawayajui! What a genius!
 
Bora umesema kwamba ni mtizamo wako
 
Kwamba Russia anaweza kuteketeza nchi zote za ulaya bila yeye kupigwa! Aaah [emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706]

Tofauti yako na wale watu wanakaaga kwenye kahawa ni wewe umeweka ka English kidogo ila wote ni wale wale[emoji16]

Mbona wanaisaidia Ukraine kila siku kwanini asipige nchi hata moja?

Kama ulivyosema kwamba baada ya hii op ndio umegundua nguvu ya Russia basi subiri siku USA akipigana na mrusi ndio utajua ambayo haujagundua kwa USA na wenzake simple
 
Uchambuzi mzuri kabisa
 

Hawa EU ndomana nasema wakiendelea na huu ujinga US ataendelea washika MATACORE
 

Mbona yeye ameongeza supply ya oil kutoka Russia??. US ni wanafiki sana hawa watu ni mashetani kabisa.
 

Kuna dada nilimwambia humu ndani UN ipo kwa nchi maskini na zisizo na nguvu ila kwa nchi kama Russia lazma wawe wapole. Tumeshuhudia secretary wa UN alivokuwa anatetemeka wakt anaongea na Putin[emoji38][emoji38][emoji38]
 

Endelea kujifariji miji inachukuliwa huko.
 
Kumbe ilikuwa ni vita dhidi ya Ukraine vs Jeshi binafsi... Leo ndio nimemfahamu,,, sijui itakuwaje JWTZ wa Russia wakiinfizwa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ukimwaga mboga namwaga ugali

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna dada nilimwambia humu ndani UN ipo kwa nchi maskini na zisizo na nguvu ila kwa nchi kama Russia lazma wawe wapole. Tumeshuhudia secretary wa UN alivokuwa anatetemeka wakt anaongea na Putin[emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani aende mwenyewe halafu atetemeke!!!...Acha hizo. Kwamba Putin alikua hahudhurii mikutano ya UN awe mgeni kwa katibu mkuu!!!,,,,,,,,,,
 
Kumbe ilikuwa ni vita dhidi ya Ukraine vs Jeshi binafsi... Leo ndio nimemfahamu,,, sijui itakuwaje JWTZ wa Russia wakiinfizwa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wagner group wapo a million+
Wapiganaji wa kundi hilo wanatokea Russia, Iran, Yemen, Libya na Syria. Hilo ni jeshi binafsi la Putin na Oligarchs wenzake.
Ni kama ya Makamouni ya Kijeshi ya US ambayo huwa ysnasjiriwa na makampuni hayo na kupelekwa kupigana vita na mission mbalimbali ugenini.

Tofauti iliyopo, yale makampuni ya kijeshi ya US ni makampuni binafsi yaliyosajiliwa kisheria, wakati Wagner ni Jeshi/kundi binafsi (Siyo kampuni) ambalo halina usajiri popote pale hata huko Russia na hutumia bajeti ya nchi, pesa za Putin na michango ya other Oligarch ambao hutumia kundi hili kwa shughuli mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…