Huoni kwamba na wewe pia proganda zime kuja hadi kuona ni sahihi RUSSIA kuivamia Ukraine ni sahihi?Hakuna kitu Marekani na Wamagharibi wenzie watafanya zaidi ya vikwazo vya kiuchumi na propaganda tu.
Hivi Russia anafaidika nini kuvichukua vi nchi vidogo vidogo kama hivi?Hii vita haina maana. Ni upumbavu wa watu wachache wanaoamini kuwa wana nguvu na kutaka historia zao zibaki vitabuni kwa kumwaga damu za binadamu wenzao waitwao wanajeshi na raia.
Rabda china Iran watatrade nn tukiachan na silaha?Urusi walisema Watatrade na China, North Korea na Iran.
Harufu ya udiniHaahah USA na rafiki zake walivamia Libya ulikaa kimya, walivamia Sirya ulikaa kimya, walivamia Iraq ulikaa kimya, walivamia Afghanistan ulikaa kimya. Sasahivi hilo povu linatoka wapi?
Halafu kihistoria hao ni ndugu kabisa. Yaani ni vita vya wenyewe kwa wenyewe.Hivi Russia anafaidika nini kuvichukua vi nchi vidogo vidogo kama hivi?
Kwanini asingewashawishi kwa amani kama kuna maslahi pande zote ili waridhiane na sio kutumia nguvu?
Matakwa ya dunia hubadilika mkuu kutokana na wakati.Inashangaza,wakati Ukraine ni sehemu ya Soviet Union.
Hadi kufika 2050 USSR itakuwa tayari imerejea, wenzetu wana vision na mission za mbali sana.
Marekan amechochea nn?zaidi anasidia hadi wewe unapata taarifa.View attachment 2129237
Marekani ni hatari! Anachochea vita, then anasema ANAWAOMBEA watu wa Ukraine!
Unajua Ukraine imekuwa armed heavily in last few years na last few weeks kuna weapons zimetua Kiev za kutosha.Vita haipiganwi kwenye ardhi ya Urusi, ila Ukraine. Hapo nani ana hasara?
Ndio maana ninaona Putini ni fala tu, hana sababu ya kuua ili achukue ndg zake bali angewaonyesha upendo na uhusiano mwema hatimaye waongee kuhusu kuunganaHalafu kihistoria hao ni ndugu kabisa. Yaani ni vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Anayeshabikia vita ni fala tu mkuu.Yaani inasikitisha kuona watanzania wanashabikia hii vita. Hivi mnajua maana ya vita kweli? Mnadhani watakaoathirika ni hao tu, na sisi tutakuwa salama?
Ni kweli, lakini inawezekana by 2050 USSR ikawa hewani ili kupunguza Ushawishi wa USA barani Ulaya.Matakwa ya dunia hubadilika mkuu kutokana na wakati.
Hii ya kurejesha USSR ni maono ya Putin, hayujui rais ajaye atakuwa na maono gani kwani 2050 Putin hawezi fika akiwa rais
That will mark their end. πWhat if Ukraine wana secret nuclear warhead wakaamua kufanya suicide wakapiga Moscow??... π π
Nimefuatilia kwa ukaribu hili sakata. Za kuambiwa nimechanganya na zangu.Huoni kwamba na wewe pia proganda zime kuja hadi kuona ni sahihi RUSSIA kuivamia Ukraine ni sahihi?
Nakubaliana na weweAnayeshabikia vita ni fala tu mkuu.
Hivi ni vivulqna vya kijiweni