LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hakuna kitu Marekani na Wamagharibi wenzie watafanya zaidi ya vikwazo vya kiuchumi na propaganda tu.
Huoni kwamba na wewe pia proganda zime kuja hadi kuona ni sahihi RUSSIA kuivamia Ukraine ni sahihi?
 
Hii vita haina maana. Ni upumbavu wa watu wachache wanaoamini kuwa wana nguvu na kutaka historia zao zibaki vitabuni kwa kumwaga damu za binadamu wenzao waitwao wanajeshi na raia.
Hivi Russia anafaidika nini kuvichukua vi nchi vidogo vidogo kama hivi?
Kwanini asingewashawishi kwa amani kama kuna maslahi pande zote ili waridhiane na sio kutumia nguvu?
 
Haahah USA na rafiki zake walivamia Libya ulikaa kimya, walivamia Sirya ulikaa kimya, walivamia Iraq ulikaa kimya, walivamia Afghanistan ulikaa kimya. Sasahivi hilo povu linatoka wapi?
Harufu ya udini
 
Inashangaza,wakati Ukraine ni sehemu ya Soviet Union.
Hadi kufika 2050 USSR itakuwa tayari imerejea, wenzetu wana vision na mission za mbali sana.
Matakwa ya dunia hubadilika mkuu kutokana na wakati.
Hii ya kurejesha USSR ni maono ya Putin, hayujui rais ajaye atakuwa na maono gani kwani 2050 Putin hawezi fika akiwa rais
 
Vita haipiganwi kwenye ardhi ya Urusi, ila Ukraine. Hapo nani ana hasara?
Unajua Ukraine imekuwa armed heavily in last few years na last few weeks kuna weapons zimetua Kiev za kutosha.

So usitarajie hawatarusha vitu Russia.

Nikirudi kwenye point yangu, wauzaji silaha ndio watafaidika. Watu watakufa na wengine kupata vilema. Ila sio wananchi wa Urusi wala Ukraine watafaidika na hii vita. Ni military industrial complex
 
Matakwa ya dunia hubadilika mkuu kutokana na wakati.
Hii ya kurejesha USSR ni maono ya Putin, hayujui rais ajaye atakuwa na maono gani kwani 2050 Putin hawezi fika akiwa rais
Ni kweli, lakini inawezekana by 2050 USSR ikawa hewani ili kupunguza Ushawishi wa USA barani Ulaya.
 
Huoni kwamba na wewe pia proganda zime kuja hadi kuona ni sahihi RUSSIA kuivamia Ukraine ni sahihi?
Nimefuatilia kwa ukaribu hili sakata. Za kuambiwa nimechanganya na zangu.
 
Back
Top Bottom