jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
10000000%Tunatakiwa tulaani alichofanya USA na tulaani anachofanya Russia. Sio tunabariki anachofanya Russia kwa sababu USA anafanya na haambiwi kitu.
I agree with u 100%Mwambie rais wa Ukraine aache comedy. Atiingiza nchi yake kwenye matatizo.
Makubaliano yalikiwepo miaka na miaka yeye anayavunja kirahisi tu. Russia will not withdraw troops in Ukraine, maana Ukraine kwa sasa haaminiki.
Umesisitiza kabisa 😃10000000%
Baada ya kuona Africa hakuna negative response kwa wajamaa wenzetu wa kirusi,Sasa anaanza kutupaka matope!!!. Wao so wanawazuia nduguzetu ili wafie eneo la Vita ili waafrica tumchukie urusi. Ila walichokosea hawakuwanyang'anya simu ma nigga.yani wewe ni fala sana, kama unamchukia Putin kwa kuwasikiliza wamarekani lazima uwe na akili kama zako
libya,iran afghanstan, saiv wanamtuhumu urusi ili waonekane ni watu .
saivi jamaaa anasema makachelo wametumwa ili wamuue hasa watu weusi wakati ni kweli kwamba wanawazuia wasiondoke kwa kuwabagua kama weusi.
hlf anawachafua kwa kusema wametumwa.
wewe nimekuuliza nini mtoto wa baba?Nimekuuliza unayanajua makubaliano kuhusu NATO we mtoto wa mama!?
Alafu ndo mnasema jamaa ni masikini Sana?
Lifahamu Kombora la balistiki la Russia liitwalo ISKANDER, lililoshambulia na kuusambaratisha uwanja wa ndege wa Ukraine (Zhytomyr Airport)
View attachment 2133876
Unahadhi ya kujibiwa na mimi wewe mchele mchele!?wewe nimekuuliza nini mtoto wa baba?
Lazima kutakuwa na new agreements. Na lazima Ukraine azi sign haraka iwezekanavyo.I agree with u 100%
ila kwa sasa inatosha, mwamba katoa somo kwa Ukrine limeesomeka.
sasa Ukrine itakaa mezani kwa adabu zote.
hivi sas mazungumzo yameanza huko border.
Sio Mara ya kwanza Putin anataka kumumua alishafanya majaribio mengi na yamefailRaisi anapokuwa anaishi kama digidigi...
Khee we vipi?? Kwenu pale Kibera sio Duniani??? Wakenya hizi akili za kijinga huwa mnatoaga wapi??Hao watatu ndio dunia, ukitengwa na EU, UK, USA na Canada, umeisha.
Nilisoma sehemu Urusi amesitisha safari za kwenye sayari za nje maana imeshindikana.
Nani kamuelewa huyu Masanja mwigizaji wa Ukraine ( Ze Comedian Zelensky), wao wanadai wameua askari wa Russia zaidi ya 4,000 halafu wakati huo huo anadai Russia kafanya mauaji makubwa ya genocide nchini Ukraine
Wanaokataza waafrika kuingia nchi kwao ni poland na Wala sio Ukraine inaonekana unalishwa matango poriBaada ya kuona Africa hakuna negative response kwa wajamaa wenzetu wa kirusi,Sasa anaanza kutupaka matope!!!. Wao so wanawazuia nduguzetu ili wafie eneo la Vita ili waafrica tumchukie urusi. Ila walichokosea hawakuwanyang'anya simu ma nigga.
Tumeshajua Nini kinafanyika. Na saivi tunamalizia mazoezi ya mwisho ili tunyanyuke na Y8 yetu na dreamliner kwenda kuwachukua watanganyinka wenzetu hapohapo kivu/Kiev. Ila wasijetu kulalamika kuwa Tanzania tumewavamia sisi tunaenda kufanya rescue mission ya ndugu zetu. Wakati dreamliner inasubiri abiria waletwe Ankara hapo vijana wa 92 a.k.a Maroon Commandos na Marine special forces watakua wanatua kwa dharula Katika viwanja vilivyo tekwa na Russia jirani na kiev na karkiv. Alafu gemu itaiehia hapo.
Ila Ukraine wamekosea sana kuzuia watu kuescap Hawa ambao bado wapo Kiev sawa, tunaweza kuelewa kuwa kipaumbele Ni raia wao. ila hao waliopo border!!,sijui wanawazuia Nini?.
Yaaani nimewachukia bure hao pimbiz wa Ukraine. Putin aamrishe tu kamanda ya makombola imalize Vita.
Kweli Sasa huyu ni wewe, heshima kwako mkuu.Ndio mimi yule yule tatizo kuna pro-Russians huwa wanaamini mimi ni mwenzao kisa nimejiita jina la kifaru chao. Mimi sipendi kutetea upande, kama ulizoea kwingine kama Syria naitetea Urusi sio kwamba nawashabikia. Inategemea wamefanya nini, na kwa hili la Ukraine wala sina upande ingawa kwa sasa nimeanza kutamani either mazungumzo yamalize vita au Kyiv ianguke.
Nahisi dalili mbaya za Westerns kutaka wabaki wao tu dunia hii tutateseka kiusalama. It seems wanataka vita iendelee, Russia atumie nguvu nyingi aue raia zaidi. Mpaka sasa Russia ameua raia wachache, Ukraine yule Zelensky namtilia wasiwasi Wayahudi sio watu wa kuwaamini sana. Putin alipokuwa anawaita neo-Nazi wapiganaji wa Ukraine kuna ukweli wa mbali, ile vita ya Donbass kuanzia 2014 neo-Nazis walikuwa na batallion yao inapigana kwa ubora kabisa. Tangu Zelensky aombe wageni wakaisaidie Ukraine walioenda wengi ni extremist groups na mashabiki wa Nazi wapo. Surprisingly, Zelensky mwenyewe Myahudi.
Palestina na Yemen wakifanya hikihiki kilichofanywa na Ukraine wanaitwa terrorists. USA akifanya hiki kilichofanywa na Russia, anaitwa global police sijui democracy. Ninachopendelea ni strong Russia, hawa wazungu kwanini wanatumia nguvu sana ashindwe wanataka akishindwa na akafeli uchumi wakose upinzani kisha watufanye nini. Imagine kusingekuwa na Iran pale Middle East jinsi ambavyo Israel ingekuwa inawafanya Waarabu. Kunatakiwa kuwepo balance of power
Gentlemen.war is not a good way to make decision.
dialogue ndio njia pekee ya kupata suluhu.
I urgue Russia to withdraw his troops from Ukrine.....inatosha sana. somo limeeleweka.
Mzee huna uhalali wa ku comment kwenye hii thread. Nenda kwenu Kenya kawaambie waache kubaka mbuziUrusi uwezo anao wa kutupa haya makombora kwa mbali na kusambaratisha, ila mwisho wa siku atahitaji kuingia mtaani, na hapo ndio amesubiriwa wapigane mlango kwa mlango.
Mkuu kwa sasa kila nikisoma comment zako nabaki kucheka tu,asante sana kwakuwa mchangamshaji wa Thread hii.kwa kijemeni "Korea Kaskazini inainanga Marekani kwa kujiwekea 'ubabe wa kijeshi' dhidi ya mahitaji ya himaya ya kiulinzi ya Mosco".
Korea anamuunga mkono Russia na kuwatadhalisha inzi wa USA kuwa anaweza akatia chumvi kwenye kidonda
Unaweza ukakuta huyu jamaa na yeye anafamilia. Dah! Wanawake wanavumiliaga vitu vingi sana.Khee we vipi?? Kwenu pale Kibera sio Duniani??? Wakenya hizi akili za kijinga huwa mnatoaga wapi??