Russia aongeza ushirikiano na nchi za kidikteta kama zenyewe🤔Russia will increase the composition of diplomatic missions in Africa and Asia and reformat the Central Office of the Foreign Ministry after the expulsion of Russian diplomats by the West, Lavrov said.
View attachment 2229139
Hahahaha ww jamaa una akili fupi kama kimba
Russia aongeza ushirikiano na nchi za kidikteta kama zenyewe[emoji848]
😂😂😂😂Kimba tenaHahahaha ww jamaa una akili fupi kama kimba
[emoji23][emoji23] ngoja tuwatoe povu na uzi wao,si unajua huwa wakitikiswa kidogo tu wanajaa pumziKumekucha.
Nasoma Comments za waukraine maana Uzi ni wa warusi huu.
Sasa si bora nukta ina maanisha ni mwisho nainukii, ila kimba yaan maana yake you are worthless / useless / end product ambayo ni matokeo ya mchakatooo fulani 😆😆😆😆Bora kimba Ni mbolea ..... We unaakili fupi Kama nukta.
Wewe unahitaji sasa kwenda kwa psychotherapist,hii vita na kuvurunda kwa Russia haitokuacha salama kisaikolojia [emoji23][emoji23]Piga kichapo kitakatifu hao Nato mpaka waandike kwenye historia yao [emoji23][emoji23]
Pigaaaaaaa pigaaaaa
[emoji854][emoji854]Hakuna kubadilishana wafungwa Ukraine wanajifariji tu yaani Putin atoe amri hata inzi asitoroke mle kiwandani then leo Nini Kwanza hakuna Askari Russia aliyekamatwa