Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Putin piga Gaykrania hao
Nalog off Z
Nalog off Z
Hao ni Askari waliokuwa wamejificha chini ya kiwanda Jana wakati wanatoka na kujisalimishaHawa wa nchi gan mkuu
Hakuna chochote watu wasingekua wanalia na uchumi hukoLengo la UKRAINE sio kuteka eneo lolote la Urusi Bali ni kujilinda dhidi ya uduanzi wa Urusi, super power no.2 huku hakuna chochote 🤔
West na media zao ni washenzi kwa maana halisi ya neno ushenzi...they are uncivilized...bullish...arogant...murderers...exploiters, propagandists, selfish and thieves...they don't care for world peace...what they care is to serve their own interests...Yale majamaa ya Azov yamesalimu amri au kusurrender pale Mariupol...lakini media za west zinasema eti wanakuwa evacuated...very stupid indeed...Hii OP imewavua nguo zote kabisa Western.
Sikuwahi kujua Iko siku kutakua na uongo wa kiwango hiki.
Ama kweli Putin kapindua meza kibabe
Hola hola, nakupa mwendelezo ulipoishia George.Putin: Dogo, hivi unajua nikitoka madarakani nafikiria kukupasia kijiti wewe?
Medvedev: Ahahaaaah, ebu acha utani wewe mzee!