Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro US: US hakushindwa Afghanistan, US ni Military Superpower in the World.

Matt Gaetz-US Congressman:
View attachment 2228712

A humble Pro Russia: US ni level ya Somalia

Pro US: US hakushindwa Afghanistan, US ni Military Superpower in the World.

Matt Gaetz-US Congressman:
View attachment 2228712

A humble Pro Russia: US ni level ya Somalia 😂.
Cc Frank Wanjiru
Wewe masikini boss wako naye masikini.
Ng'ombe mmoja Maksai anauzwa kati ya laki 5 hadi sita nusu kwenye minada ya kanda ya kati kwenda kanda ya ziwa wewe unashindwa kununua?
Ng'ombe wa Furaha baba,ana raha yake Kula na wenzako Tena nyama choma na supu.
 
Pale kuna makubaliano yaliyokwisha fikiwa kati ya Urusi na Ukraine kwa kuratibiwa na UN.
Kutakuwa na kubadilishana hao askari na mateka wa askari wa Urusi walioko mikononi mwa Ukraine

Hao magaidi tu hamna chakubadilishana hapo
 
Watu wengi hawaangalii hivi vikwazo vya uchumi alivyowekewa Putin , wanaangalia tuu amerusha makombora wapi . Asilimia kubwa ya matajiri wa Russia wamepata hasara kubwa sana . Hela nyingi zilizoshikwa nje ndio zinanunua silaha zinarudi Ukraine. Nadhani maisha ya Putin na washirika wake wanajuta kuivamia Ukraine . Putin anapiga vita viwili vikuu . Uchumi na vita vya makombora.
Sogea karibu na dunia,vikwazo walivyomwekea Urusi ndo ananeemeka!
 
The day Ukraine defeated an entire Russian battalion
15431509_fswzdlux0aabtsr_jpeg_jpegf68a9b4e90a93c38d0485b1a06811e47.jpeg
 
Haikubaliki kama kweli ukraine inapewa misaada na USA na UK ya silaha halafu silaha hizo zinapiga miji ya Urusi basi Urusi anapigana vita ya haki.

Ana haki ya kuipiga Ukraine yote na kuiteka nzima nzima kwasababu tayari rafiki wa adui yako ni adui yako pia. Imagine ingekuwaje kama Russia anatoa misaada kwa Cuba au Venezuela ili vinchi hivi viipige miji ya Hawaii, Nebraska, Iowa, Atlanta, Alabama, Michigani Milwaukee nk je USA angekubali?

Nahalalisha kusema hii ni vita ya haki kwa Urusi.
Wewe ni mwehu kabisa vita ya haki kwani aliyeanza kumvamia mwenzake ni nani ni nani aliyeanza kumvamia mwenzie
 
Watu wengi hawaangalii hivi vikwazo vya uchumi alivyowekewa Putin , wanaangalia tuu amerusha makombora wapi . Asilimia kubwa ya matajiri wa Russia wamepata hasara kubwa sana . Hela nyingi zilizoshikwa nje ndio zinanunua silaha zinarudi Ukraine. Nadhani maisha ya Putin na washirika wake wanajuta kuivamia Ukraine . Putin anapiga vita viwili vikuu . Uchumi na vita vya makombora.
Ushakunywa uji unakuja kujamba uku hivi vikwazo ni kama msumeno inakata mbele na nyuma waulize west wanavyo jamba jamba kila siku vikao alafu urusi wala husikii akilia waliisi urusi ataumia kuliko wao Ila imekuwa tofautii uswis kashatoa vikwazo vya pesa alivyoweka Kwa makampuni na warusi saivi urusi inangojea mwezi wa 11 Tu kelele zote izi zitaisha

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
WABONGO KWA UBISHI NYUZI IMEFIKA PAGE HADI YA 2000 BADO VITA INAENDELEA URUSI BADO HAJAICHUKUA UKRAIN TU😀
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom