Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
Screenshot_20220517-185904.jpg
Screenshot_20220517-185924.jpg
Screenshot_20220517-185936.jpg
Screenshot_20220517-185950.jpg
 
Hiyo video ya kwanza inanipa mashaka

Imeonekana kuwa camera iliyokuwa inatumika ku tape hiyo video ilikuwa ni ya maaskari wa ukraine

Lakini baada ya bomu kupigwa limeonekana wingu zito mfano wa moshi ikitafsiri kuwa wamesambaratika vibaya

Lakini camera iliyokua inachukua hilo tukio imeweza ku survive

Na wanajeshi walivalia vest lakini haikuweza kuwasaidia ila camera ambayo sijajua imetengenezwa kwa mfumo gani kuweza kuhimili bomu zito kama hilo mpaka iweze ku survive shambulizi
 
Baada ya majeshi ya Urusi kuamua kutowaingilia kwenye mahandaki yao ila kuwazuia wasitoke, hatimaye baada ya kuona wameishiwa na silaha na chakula serikali yao imewaamru wasalimu amri. Hapo wametoka kama wafungwa wa kivita. Wagonjwa wamepelekwa kutibiwea.

Subiri waje wale kama Urusi mbabe ingie ndani ya hicho kiwanda[emoji23][emoji1787][emoji1787], hii mijamaa haitaki kusikia habari kama hizi
 
Subiri waje wale kama Urusi mbabe ingie ndani ya hicho kiwanda[emoji23][emoji1787][emoji1787], hii mijamaa haitaki kusikia habari kama hizi
Hakuna sababu ya kuingia huko!! Urusi ndio waliohusika kujenga ngome ya ajabu chini ya kiwanda hicho. Wanajua mtu akiwa huko huwezi kumwingilia ukabaki salama!! Kinachofanyika ni kuwazuia wasitoke mwisho wa siku wameishiwa na chakula! watakaokaidi kusalimu amri watajifia humo! Huyo ngome iliyojengwa wakati wa USSR inauwezo wa kuhimili hata bomu la nyuklia!! Huko urusi ngome za hivyo ni nyingi sana!
 
Hakuna sababu ya kuingia huko!! Urusi ndio waliohusika kujenga ngome ya ajabu chini ya kiwanda hicho. Wanajua mtu akiwa huko huwezi kumwingilia ukabaki salama!! Kinachofanyika ni kuwazuia wasitoke mwisho wa siku wameishiwa na chakula! watakaokaidi kusalimu amri watajifia humo! Huyo ngome iliyojengwa wakati wa USSR inauwezo wa kuhimili hata bomu la nyuklia!! Huko urusi ngome za hivyo ni nyingi sana!
Yeah majeshi ya Urusi yaliamrishwa yasiingie yawaache wapuuzi hawa wajifie humo
 

WATCH: Ukrainian fighters at Azovstal surrender to Russia​

Moscow says 265 members of the nationalist Azov Battalion and Ukrainian troops have already laid down their arms
WATCH: Ukrainian fighters at Azovstal surrender to Russia

Credit: Russia’s Ministry of Defense
A video of members of the nationalist Azov Battalion and Ukrainian troops surrendering to Russian forces after being holed up for weeks at the Azovstal steel plant in Mariupol has been released by the Russian Defense Ministry.
 
Wakati wao wanafanya testing, Russia yeye anayo mengi tu na ameshayatumia sana Kwenye battlefield
Na sio kutumia tuu,bali hata kuyazuia anaweza. Sasa huyo baba wa ushoga akimaliza majaribio,aanze utafiti wa kujikinga huenda ikamchukua miaka mingi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
There someone here alizungumzia hili swala mchana kuhusu ushiriki wa Turkey hapo Azovstal, now the Ukrainian Channel is also reporting the same thing.

⚡️⚡️⚡️#Inside
Our source in the OP said that the main curator / guarantor of the evacuation of soldiers from Azovstal is Turkey, which has managed to build communication between Kyiv and the Kremlin.
 
nimegundua muda huu baba yangu naye ni team putin, muda ametoka kumpigia simu rafiki yake baada ya kumaliza kusikiliza dw. "wale panya 240 wote wamejisalimisha na 50 kati yao wamefanyiwa vipimo vya x ray, ultrasound, ct scan na vyenginevyo hapo hapo kiwandani. wengine wamekutwa na minyoo". Halafu akawa anacheka
 
Haikubaliki kama kweli ukraine inapewa misaada na USA na UK ya silaha halafu silaha hizo zinapiga miji ya Urusi basi Urusi anapigana vita ya haki.

Ana haki ya kuipiga Ukraine yote na kuiteka nzima nzima kwasababu tayari rafiki wa adui yako ni adui yako pia. Imagine ingekuwaje kama Russia anatoa misaada kwa Cuba au Venezuela ili vinchi hivi viipige miji ya Hawaii, Nebraska, Iowa, Atlanta, Alabama, Michigani Milwaukee nk je USA angekubali?

Nahalalisha kusema hii ni vita ya haki kwa Urusi.
 
Back
Top Bottom