mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Mi mwenyewe nina boss wangu yeye kasema kabisa siku PUTIN akivamia tu POLAND basi kwa furaha yake iyo siku atununua ng'ombe watu wale nyama
sikutegemea kama atakuwa anafuatilia huu mgogoro kiundani.