MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Mimi naona Bora alivyoacha kushiriki maana naona kampeni ya mashoga tu
Ni sawa kabisa, hizo ni kadhia na changamoto za kivita.Baada ya majeshi ya Urusi kuamua kutowaingilia kwenye mahandaki yao ila kuwazuia wasitoke, hatimaye baada ya kuona wameishiwa na silaha na chakula serikali yao imewaamru wasalimu amri. Hapo wametoka kama wafungwa wa kivita. Wagonjwa wamepelekwa kutibiwea.
Timu Putin Dunia nzima ni watu wenye akilia ,wastaarabu na waungwana sana.nimegundua muda huu baba yangu naye ni team putin, muda ametoka kumpigia simu rafiki yake baada ya kumaliza kusikiliza dw. "wale panya 240 wote wamejisalimisha na 50 kati yao wamefanyiwa vipimo vya x ray, ultrasound, ct scan na vyenginevyo hapo hapo kiwandani. wengine wamekutwa na minyoo". Halafu akawa anacheka
[emoji23][emoji23][emoji23] wale panyanimegundua muda huu baba yangu naye ni team putin, muda ametoka kumpigia simu rafiki yake baada ya kumaliza kusikiliza dw. "wale panya 240 wote wamejisalimisha na 50 kati yao wamefanyiwa vipimo vya x ray, ultrasound, ct scan na vyenginevyo hapo hapo kiwandani. wengine wamekutwa na minyoo". Halafu akawa anacheka
sikutegemea kama atakuwa anafuatilia huu mgogoro kiundani.Timu Putin Dunia nzima ni watu wenye akilia ,wastaarabu na waungwana sana.
Hongera kwa kua na baba muelewa.
Hadi kichef chefu, hapa nasubir kuona solidarity ya waarabu kama kweli wana misimamo ya tamaduni zao.View attachment 2228373nakumbuka urusi alisema mwaka huu kombe la dunia linaweza lisifanyike baada ya timu ya urusi kutolewa na FIFA
Mimi naona Bora alivyoacha kushiriki maana naona kampeni ya mashoga tu
zelensky alisema wataupambania mji wa mariupol hata kama itachukua miaka 10 lakini hawatojisalimisha kwa adui. wanasiasa wana akili za kuku, anachokipinga asubuhi ndicho atakachokifanya mchana
nimegundua muda huu baba yangu naye ni team putin, muda ametoka kumpigia simu rafiki yake baada ya kumaliza kusikiliza dw. "wale panya 240 wote wamejisalimisha na 50 kati yao wamefanyiwa vipimo vya x ray, ultrasound, ct scan na vyenginevyo hapo hapo kiwandani. wengine wamekutwa na minyoo". Halafu akawa anacheka