Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

#Caption Challenge to Pro Russia,

Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.

Picha ya kwanza
View attachment 2228449

Picha ya pili
View attachment 2228451

Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.

This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni 🤗
picha namba 1 medvedev anamwambia putin: muheshimiwa yale mafuta ya nazi kutoka zanzibar yameshafika
 
#Caption Challenge to Pro Russia,

Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.

Picha ya kwanza
View attachment 2228449

Picha ya pili
View attachment 2228451

Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.

This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni 🤗
picha namba 2 putin anamjibu kiutani: hayo mambo unayoyawaza anafanyiwa biden, hayo mafuta yangu nitayatumia kwa massage
 
Kwa hivyo Mr Tyang whatever ,word/ opinion is gospel truth? Putin has miscalculated big the worlds reaction to his unprovoked invasion of Ukraine. Leo yupo Kremlin anajuta uvamizi.
Umejuaje hayo?Au wewe ni mtu wa Karibu wa Putin?
 
IMG_20220517_212035_426.jpg
IMG_20220517_212038_351.jpg


President Zelensky signed an order that say TB2 "Bayraktars" not to be sent in a potentially dangerous area,so there would not be used in propaganda purposes....
 
Haikubaliki kama kweli ukraine inapewa misaada na USA na UK ya silaha halafu silaha hizo zinapiga miji ya Russia basi Russia anapigana vita ya haki. Ana haki ya kuipiga ukraine yote na kuiteka nzima nzima kwasababu tayari rafiki wa adui yako ni adui yako pia. Imagine ingekuwaje kama russia anatoa misaada kwa Cuba au venezuela ili vinchi hivi viipige miji ya hawaii nebraska iowa atlanta alabama michigani milwaukee nk je USA angekubali? Nahalalisha kusema hii ni vita ya haki kwa russia.
Hapa bongo tuna matatizo kama ya Urusi na Ukraine. Wacha tumelize kwanza yetu. Hao wameshiba.
 
Haikubaliki kama kweli ukraine inapewa misaada na USA na UK ya silaha halafu silaha hizo zinapiga miji ya Russia basi Russia anapigana vita ya haki. Ana haki ya kuipiga ukraine yote na kuiteka nzima nzima kwasababu tayari rafiki wa adui yako ni adui yako pia. Imagine ingekuwaje kama russia anatoa misaada kwa Cuba au venezuela ili vinchi hivi viipige miji ya hawaii nebraska iowa atlanta alabama michigani milwaukee nk je USA angekubali? Nahalalisha kusema hii ni vita ya haki kwa russia.
Kwahiyo wewe hauamini kwamba “Ukraine is a sovereign nation”?

Unasema Russia anapigana vita vya haki. “Denazification”?
 
#Caption Challenge to Pro Russia,

Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.

Picha ya kwanza
View attachment 2228449

Picha ya pili
View attachment 2228451

Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.

This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nijaribu

Caption ya kwanza...
Putin: Unawasikia hao Morons bwana Mdogo 'Sanctions you get sanctions everyone gets sanction', wanawashwa eh?

Medvedev: Ha ha Bro dawa yao ndogo, tuwawekee vikwazo kwenye vikwazo vyao ili waweke vikwazo huku hivo vikwazo vikiwa back fire wenyewe.

Naongezea kidogo...

Putin: Good Idea, ndio maana nikakufanya uwe naibu mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi. Uko smart, Sasa tuanze na Ruble.
Medvedev: Smart as you, our hero, Viva Z viva V, Viva Babushka, Viva Urrraaa... Ruble ni pigo kwao kuliko all sanctions combined.

Version ya Pili.
Putin: Hawa jamaa ndio walikuwa hawataki kulipa kwa Ruble?
Medvedev: Ha ha umewashika pabaya Bro...

Version ya Tatu.
Putin: Kijana wangu unawakumbuka hawa umoja wa wakina mama kabla ya hii operation? Walisema watachukua Drastic Against us kama tukifanya hivo.
Medvedev: Ndio Mr, President. Kitu kikubwa wanachoweza kujishaua nacho hawa ni Sanction, bahati mbaya this time around wanajichapa vikwazo wenyewe.
 
Turkey wanajua kutumia Fursa

❗️Bloomberg published Turkey's demands for approval of Sweden and Finland joining NATO:

⚫ Declaration by Sweden and Finland of the Kurdistan Workers' Party and its derivatives as terrorist organizations;

⚫ Approval of a new package of purchases of F-16 fighters;

⚫ Re-entry into the F-35 fighter program;

⚫ Lifting of the arms embargo;

⚫ Lifting of sanctions against the S-400 air defense system.
 
Turkey wanajua kutumia Fursa

[emoji779]️Bloomberg published Turkey's demands for approval of Sweden and Finland joining NATO:

[emoji835] Declaration by Sweden and Finland of the Kurdistan Workers' Party and its derivatives as terrorist organizations;

[emoji835] Approval of a new package of purchases of F-16 fighters;

[emoji835] Re-entry into the F-35 fighter program;

[emoji835] Lifting of the arms embargo;

[emoji835] Lifting of sanctions against the S-400 air defense system.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
#Caption Challenge to Pro Russia,

Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.

Picha ya kwanza
View attachment 2228449

Picha ya pili
View attachment 2228451

Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.

This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni 🤗
Putin : Oyaa ! Nisikilize basi na nmimi si wale panya wameshaanza kufufuka kutoka shimoni.
Medvedev : mmmh ! si ilikuambia ni kuwazingira huku na kule kimtindo tu
 
Afrika tuko na Ukraine hata kama hatujatangaza hadharani..

Namhakikishia bwana Zelensky uungwaji mkono kwa Niaba ya Waafrika wapenda amani na tulaani vikali uvamizi wa Mtoto wa Shetani bwa.Putini 👇

View attachment 2227840
Labda wewe na familia yako ,usitu semee tusio yataka binafsi Mimi siungi mkono ,na nipo nyuma ya jemedari Putin ,
 
Labda wewe na familia yako ,usitu semee tusio yataka binafsi Mimi siungi mkono ,na nipo nyuma ya jemedari Putin ,
Ma inzi yamepewa status ya terrorist's sio POWA ( Prisoners of War) Wana hali ngumu hawa waliwaua sana Russian speakers Wana kesi ngumu

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Hadi kichef chefu, hapa nasubir kuona solidarity ya waarabu kama kweli wana misimamo ya tamaduni zao.

Dah hii ndio Democracy inayolazimishwa duniani. Af nashangaa kwanini Recently hii mambo inapigiwa chapuo wazi wazi tena kwa nguvu mno... kuna nini?
Ni swali la kujiuliza sana,kuna nini nyuma ya pazia?, Hii inawezekana zile hadithi za us kutumia mashetani wakuu katika majukumu yao ya future moja ya maagano walio wekeana ni haya.Kwa maana haingii akilini kinyume na hapo.
 
#Caption Challenge to Pro Russia,

Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.

Picha ya kwanza
View attachment 2228449

Picha ya pili
View attachment 2228451

Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.

This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni
1 Mkuu unaupiga mwingi mapaka panyarodi wamesarenda wenyewe
 
Back
Top Bottom