Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa heri Russia,karibu unemployment 😆😆

Screenshot_20220517-091624.png
 
Russia ni Taifa maskini mbele ya Ulaya... Hadi Sasa hakuna objective yoyote aliyofanikiwa tangu aanze vita Donbas.

Pili hakuna direct confrontation kati ya Russia na NATO Hadi Sasa... Na ungesaidia kumsema Putin lini atashambulia Silaha za mataifa ya Ulaya Zikiwa Poland au German.

Tatu Russia mwenyewe anajua hawezi kuhimili vita conventional na West Ndio Maana anatishia Nuclear deterrence, hii situation ni sawa na jambazi amteke raia alafu awe anatishia Police kuwa wakisogea anamuua
Uko timamu kichwani????
 
Afrika tuko na Ukraine hata kama hatujatangaza hadharani..

Namhakikishia bwana Zelensky uungwaji mkono kwa Niaba ya Waafrika wapenda amani na tulaani vikali uvamizi wa Mtoto wa Shetani bwa.Putini 👇

Screenshot_20220517-091532.png
 
Afrika tuko na Ukraine hata kama hatujatangaza hadharani..

Namhakikishia bwana Zelensky uungwaji mkono kwa Niaba ya Waafrika wapenda amani na tulaani vikali uvamizi wa Mtoto wa Shetani bwa.Putini [emoji116]

View attachment 2227840
Afrika ipi inayounga mkono Ukraine?
Waafrika tuko na Rusia ndo maana the Comedian Zelensky anatubembeleza tuongee naye nasi hatutaki.
 
Katika watu ambao sina iman nao pro NATO. Nyinyi ndo mlikua mnasema Russia hawez akahimili vita zaid ya week?? Mkaja week2?? Mkaja mwezi?? Sahv naona kimya huu wimbo mmeacha. Mkaja na propaganda ya Russia hana chakula cha kuwapa askari wake mara mafuta. Sahivi mmekuja na wimbo hana uwezo wa kupigana na nchi za ulaya.

Nyie Pro NATO mmeshajazwa propaganda za west nyie ndo mlikua mnasema Russia taifa maskini. Acheni kuichukulia poa Russia, hili taifa kubwa sana. Russia ndo ameshikilia uchumi wa Ulaya na dunia.

Bila shaka dunia imeona Ukubwa na umuhim wa Taifa la Russia duniani. Dunia imeona EU wanamtegemea mrussi, dunia inashuhudia Russia anagawa dozi ukraine changanya na NATO.

Bila kusahau Dunia imeona US ni takataka kwa Russia [emoji635] [emoji38][emoji38][emoji38]

GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
I will fight slowly and calmly to earn slow but steady advances and reduce casualty.

Putin anataka vita iende taratibu kama Nato walivyotaka ili kuonyeshana makali . Hapo anataka miezi ya baridi ifike maadui wafe wenyewe kwa bàridi KGB HUYO

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Now hali ngumu wanaanza kulegeza vikwazo wenyewe.

UN Secretary General Guterres proposes to ease restrictions on the export of potash fertilizers from the Russian Federation and Belarus in exchange for the passage of ships with grain from Ukraine.

Bosi hanuniwi [emoji23]
RUSSIA sio ZIMBABWE [emoji23][emoji3][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika watu ambao sina iman nao pro NATO. Nyinyi ndo mlikua mnasema Russia hawez akahimili vita zaid ya week?? Mkaja week2?? Mkaja mwezi?? Sahv naona kimya huu wimbo mmeacha. Mkaja na propaganda ya Russia hana chakula cha kuwapa askari wake mara mafuta. Sahivi mmekuja na wimbo hana uwezo wa kupigana na nchi za ulaya.

Nyie Pro NATO mmeshajazwa propaganda za west nyie ndo mlikua mnasema Russia taifa maskini. Acheni kuichukulia poa Russia, hili taifa kubwa sana. Russia ndo ameshikilia uchumi wa Ulaya na dunia.

Bila shaka dunia imeona Ukubwa na umuhim wa Taifa la Russia duniani. Dunia imeona EU wanamtegemea mrussi, dunia inashuhudia Russia anagawa dozi ukraine changanya na NATO.

Bila kusahau Dunia imeona US ni takataka kwa Russia [emoji635] [emoji38][emoji38][emoji38]

GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom