Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Walivyoanza na sasa wapo vitandani.
Zile kelele za biden za kutamka serikali yake itaruhusu usambazwaji wa mapipa million 1 au 10 ya mafuta utekelezaji wake umefikia wapi?.. Mbona shida ya mafuta bado ipo
Russia ni Taifa maskini mbele ya Ulaya... Hadi Sasa hakuna objective yoyote aliyofanikiwa tangu aanze vita Donbas.
Pili hakuna direct confrontation kati ya Russia na NATO Hadi Sasa... Na ungesaidia kumsema Putin lini atashambulia Silaha za mataifa ya Ulaya Zikiwa Poland au German.
Tatu Russia mwenyewe anajua hawezi kuhimili vita conventional na West Ndio Maana anatishia Nuclear deterrence, hii situation ni sawa na jambazi amteke raia alafu awe anatishia Police kuwa wakisogea anamuua
Nilisema huko nyuma kuwa nisuala tu la muda hao nguchiro wote waliojificha shimoni watatoka wenyewe. Comand ya putin ya kutaka walindwe hata nzi asiweze kotoroka ilikuwa nyepesi ila yenye impact kubwa sana, Sir Putin alijua kabisa hakuna shujaa wa njaa na majeraha hivo basi nisuala tu la muda njaa na maumivu vitawafanya watoke wenyewe bila shuruti, Muda umefika hatimae wameanza kujifukua wao wenyewe.[emoji779][emoji298]About 10 buses with Ukrainian military left the Azovstal plant in Mariupol, - Reuters
According to reports, about 300 militants surrendered and only 50 of them were injured.
Mkuu karibu sana, ujio wako umeongeza kitu kikubwa sana...[emoji122][emoji122][emoji122]Halafu ndo anatokea mla mihogo mikavu na maji ya kandolo anakwambia Russia ina jeshi dhaifu na imeshindwa vita.
Infact, ni mpumbavu pekee ndo anaweza kusema kuwa Russia anapigana Vita na Ukraine, ila kwa sisi wenye akili tunachojua nikuwa Russia yeye anaendesha operation ya kijeshi then Ukraine ndo yupo kwenye full scale war (rejea Marshall law iliyopitishwa na zelensky)
Kwahiyo kitaalamu tunasema ni War(Ukraine) Vs Special millitary operation (Russia).
Kama Urusi ingekuwa kwenye level ya vita isingejihangaisha kuzichukua hizo panya zilizojipeleka shimoni zenyewe kwenda kuzitibu kwa gharama zake na kujaza nafasi kwenye millitary base zake, badala yake angechochea tu mabomu humo shimoni ili hizo panya zote zigeuke kuwa majivu.
Nilichogundua Putin siyo mkorofi au katili kama propaganda za western zinavyomhubiri. putin ni miongoni mwa marais wenye hekima, busara, huruma na smart sana,
Kwanini nasema hivo; siku za nyuma kiongozi wa chenchen alimuomba putin awaruhusu wapiganaji watembeze kichapo heavy, putin hakukubali, huko Maripo Majeral wake walikuwa wamefikia hatua ya kutaka kuanza kumimina mabomu kwenye kiwanda cha chuma ili Azov wote waliojificha huko wageuke kuwa majivu, putin akatoa order ya kusitisha operation hiyo, badala yake akatoa order ya kuwalinda uhai wao ili atakae ona anataka kuendelea kuishi atajisalimisha mwenyewe na atake ona nibora kufa atajiua mwenyewe huko shimoni.
Sasahivi ametoa ruhusa tena ya majeruhi wote kutolewa na kwenda kuwatibu licha ya hao kumuita the butcher, the bastard, the terrorist na n.k. ukirejea hata kauli aliyoitoa leo kuhusu Finland na sweden kujiunga NATO utaona jinsi gani huyu mwamba alivyo smart na si mtu wa kupaniki.
Viva Hon. Putin the greatest leader in the world that shakes more than 40 leaders from 40 powerfull countries.
Atangaze wapi wakati saizi wameruhusu makampuni ya Ulaya kununua mafuta kwa masharti ya Urusi.[emoji3][emoji3][emoji3]Muda mrefu sijaisikia sauti ya bibi wa EU ikitangaza vikwazo. Mwenye taarifa zake anisaidie....uraaa
Package ya 6 wamekubali kutokukubaliana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muda mrefu sijaisikia sauti ya bibi wa EU ikitangaza vikwazo. Mwenye taarifa zake anisaidie....uraaa
Muheshimiwa Taarifa... Taarifa muheshi wa Miwa Taarifa pulizi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji3]
Utaombewa muongozo kwa spika,kwa kutoa maneno yenye kuudhi
Tunataka viongozi kama hao ili dunia ibaki salama na ya kuheshimiana.Jamaa anamsimamo mkali, yaani Al Shabbab tupa kule
Turkish president Recep Tayyip Erdoğan says envoys from Finland and Sweden "should not bother" visiting Ankara to try and convince Turkey to approve their requests to join NATO, Anadolu Agency reports.
Hata Russia mwenyewe hua hamwamini Uturuki kihivyo,yule Ni Kama Popo tu.Uturuki ipo NATO ila naonaga kama haieleweki hata NATO wenyewe hawana iman na uturuki.
Na kwenye kujazwa inategemea na nafasi ya "kuwekewa" [emoji23] kama ipo... Hawa wanayo kubwa mno wamejazwa hadi wamejaziwa....Katika watu ambao sina iman nao pro NATO. Nyinyi ndo mlikua mnasema Russia hawez akahimili vita zaid ya week?? Mkaja week2?? Mkaja mwezi?? Sahv naona kimya huu wimbo mmeacha. Mkaja na propaganda ya Russia hana chakula cha kuwapa askari wake mara mafuta. Sahivi mmekuja na wimbo hana uwezo wa kupigana na nchi za ulaya.
Nyie Pro NATO mmeshajazwa propaganda za west nyie ndo mlikua mnasema Russia taifa maskini. Acheni kuichukulia poa Russia, hili taifa kubwa sana. Russia ndo ameshikilia uchumi wa Ulaya na dunia.
Bila shaka dunia imeona Ukubwa na umuhim wa Taifa la Russia duniani. Dunia imeona EU wanamtegemea mrussi, dunia inashuhudia Russia anagawa dozi ukraine changanya na NATO.
Bila kusahau Dunia imeona US ni takataka kwa Russia [emoji635] [emoji38][emoji38][emoji38]
GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
Pro Russia kama Pro Russia...Halafu ndo anatokea mla mihogo mikavu na maji ya kandolo anakwambia Russia ina jeshi dhaifu na imeshindwa vita.
Infact, ni mpumbavu pekee ndo anaweza kusema kuwa Russia anapigana Vita na Ukraine, ila kwa sisi wenye akili tunachojua nikuwa Russia yeye anaendesha operation ya kijeshi then Ukraine ndo yupo kwenye full scale war (rejea Marshall law iliyopitishwa na zelensky)
Kwahiyo kitaalamu tunasema ni War(Ukraine) Vs Special millitary operation (Russia).
Kama Urusi ingekuwa kwenye level ya vita isingejihangaisha kuzichukua hizo panya zilizojipeleka shimoni zenyewe kwenda kuzitibu kwa gharama zake na kujaza nafasi kwenye millitary base zake, badala yake angechochea tu mabomu humo shimoni ili hizo panya zote zigeuke kuwa majivu.
Nilichogundua Putin siyo mkorofi au katili kama propaganda za western zinavyomhubiri. putin ni miongoni mwa marais wenye hekima, busara, huruma na smart sana,
Kwanini nasema hivo; siku za nyuma kiongozi wa chenchen alimuomba putin awaruhusu wapiganaji watembeze kichapo heavy, putin hakukubali, huko Maripo Majeral wake walikuwa wamefikia hatua ya kutaka kuanza kumimina mabomu kwenye kiwanda cha chuma ili Azov wote waliojificha huko wageuke kuwa majivu, putin akatoa order ya kusitisha operation hiyo, badala yake akatoa order ya kuwalinda uhai wao ili atakae ona anataka kuendelea kuishi atajisalimisha mwenyewe na atake ona nibora kufa atajiua mwenyewe huko shimoni.
Sasahivi ametoa ruhusa tena ya majeruhi wote kutolewa na kwenda kuwatibu licha ya hao kumuita the butcher, the bastard, the terrorist na n.k. ukirejea hata kauli aliyoitoa leo kuhusu Finland na sweden kujiunga NATO utaona jinsi gani huyu mwamba alivyo smart na si mtu wa kupaniki.
Viva Hon. Putin the greatest leader in the world that shakes more than 40 leaders from 40 powerfull countries.
Wewe jamaa, first thing first Western countries hawakutaka hii vita na Haikuwa na maanaWewe ndio uwe realistic
Kama Russia hana uwezo wa kupigana na nchi nyingine ya ulaya na Ukraine kwa wakati mmoja kwa nini nato ambao ni nchi 30 wasiingilie kwa pamoja kumaliza hii vita once and for all!?
Au wao mdio hawana uwezo!?
Haeleweki ni mnyama au ni ndege😁🤣☝️Hata Russia mwenyewe hua hamwamini Uturuki kihivyo,yule Ni Kama Popo tu.
Labda kama hao waliostaarabila wamekuwa wastaraabu baada ya vita up Ukraine. Kwani miaka ya nyuma kulikuwa hakuna wastaarabu wakati wa Libya Iraq etc.Hakuna hata mtu mmoja kwenye Jamii ya watu waliostaarabika anaye unga mkono vita ya kipuuzi aliyoanzisha Russia.
Uturuki anaouwezo wa kuzuia Meli kuingia au kutoka black sea na Tayari ameshazizua meli za Urusi.
Uturuki ni moja ya Mataifa yanaisaidia Ukraine Silaha.
Uturuki ni moja ya Mataifa yanayopinga na hayako tayari kuona Urusi anaingiliaga Uhuru wa Taifa lingine.
Uturuki anashare mpaka Kati ya Ukraine na Russia pia amekuwa na mahusiano mazuri ya kijamii kati ya hizi nchi mbili, ikiwemo Idadi ya watu wa Jamii ya Tartar wanaishi Crimea. Ndio Maana anataka wasuluhishe kwa mazungumzo.
Inaonekana huna records sawa, Uturuki na Russia wako katika Proxy war Syria ambayo Uturuki anafanya kazi nzuri ya Ulaya Magharibi na hata siku moja Uturuki imewahi kuangusha ndege ya Urusi na hakuna kitu Russia alifanya sababu ya NATO assurance ya kuilinda Uturuki.
Uturuki ana hifadhi makombora 30 ya Nuclear ya Marekani.
Madai ya Uturuki ni juu ya PKK na YPG tu
We jamaa wewe [emoji2956], au basi tu.Ukiwa na akili ndogo unaweza ukachelewa sana au usimuelewe kabisa Mr putin kabla ya muda ya kuona output za mipango yake haujafika.
Putin anajua kabisa Sweden na Finland haziwez kujiunga NATO na hata zikijiunga basi itachukua miaka mingi licha ya wao kutuma maombi.
Na putin anaelewa kabisa ili uwe mwanachama wa NATO inatakiwa nchi wanachama wote wakukubali sasa Putin ashaona kabisa kwanini atumie nguvu ya jeshi na kuua raia bure wakati uturuki ambaye nyuma ya pazia ni mshirika mkubwa wa Urusi ashasema atapinga Finland na Sweden kujiunga NATO.
na naomba tuelewe vizuri hapa, miongoni mwa nchi ambayo huwa hairudi nyuma kwenye maamuzi yake ni uturuki.
Tujikumbushe tu maamzi machache ya uturuki (as a NATO member) ambayo hayakuyumbishwa;
*Vita kati ya USA na Vyetenam - Uturuk iligoma magari vita na vikosi vya ardhini vya USA kutumia ardhi yake kuingia vyetenam.
*Uturuk ilitupilia mbali onyo la USA na NATO wenzie juu ya ununuz wa silaha kutoka Urusi (S400 na n.k)
*Uturuki iligoma kuungana na wenzie kuchochea mgogoro wa Ukraine badala yake ikasimama upande wa kusuluhisha.
*Uturuki ilifanya na bado inaendelea kufanya special operation huko iraq kupambana na magaidi bila ruhusa ya USA wala NATO.
*Uturuki ndo nchi pekee mpaka sekunde hii kati ya nchi 30 za NATO iliyotamka wazi kuwa itapinga Sweden na Finland kuingia NATO na haitabadilisha maamuzi.
Mwisho: Uturuk ndo nchi pekee ya NATO inayo aminika Urusi na ndo maana hao wake na ndugu wa wanajeshi wa Azov wameenda kuomba msaada kwa erdogan ili aongee na putin maana wanajua kwa ulaya ndo Rais mwenye akili smart kama putin ambae anaweza ongea jambo na putin na wakaelewana, nakweli baada ya miamba hiyo kuongea kiume, Urusi ikatoa order ya huruma ya kuwatoa majeruhi wakatibiwe.
Hiyo ndo Bond iliyopo kati ya Russia[emoji635] na Turkey [emoji1250] kwahiyo ukiona Putin katulia hivo juu ya Fin na Swed kujiunga NATO basi jua plan yote ya kuzikwamisha ishapangwa na hao miamba wawili na hakuna mtu wa kubadilisha misimamo yao.
UTURUKI SIYO ESTONIA NA URUSI SIYO BOSNIA.