Hizo USA 800 million na hayo masiraha majuvenile walipeleka kwa maonyesho?Wewe jamaa, first thing first Western countries hawakutaka hii vita na Haikuwa na maana
Wenzako walijua ndio wanamumaliza Russia.
Hizo USA 800 million na hayo masiraha majuvenile walipeleka kwa maonyesho?Wewe jamaa, first thing first Western countries hawakutaka hii vita na Haikuwa na maana
Hiyo Picha juu atakuja kipofu Mzee flani ama kale ka baby babe "Miss Nairobi" hivi wa Kenya akwambie UKRAINE hakuna Nazi na hiyo Picha Russia wame-edit.
Anakwambia haikuwa na maana kwao huku wenyewe wanataka kutuma B40$ zile za mwanzo hazitoshi... Akiiiii [emoji23][emoji23][emoji23] hizi akili za Pro NATO ni za kindezi sana...Hizo USA 800 million na hayo masiraha majuvenile walipeleka kwa maonyesho?
Wenzako walijua ndio wanamumaliza Russia.
Sikio la kufa halisikii sindanoMpaka sasa naona Russia anapoteza muda tu huko Ukraine na wala haeleweki ni nini hasa anachokitaka huko.
Taasisi zingine za kimakuzi mno, Umechaguliwa na wananchi wako kwenye kaeneo uliopo. Unaanza kuingilia maamuzi ya Nchi nyingine zisizowahusu. Huo ni upuuzi.China: G7 Should Mind its own Business
China has responded to the G7’s request that Beijing cease support for Russia, stating that the country decides its own position and policy based on the “merits of the matter itself,” and that the seven member nations should focus on their own issues instead of intervening in other countries' internal affairs.
The statement came after the G7 FMs asked Beijing to “resolutely” urge Russia to stop the war in Ukraine and refrain from providing economic and military assistance to the Kremlin.
During a press conference on Monday, Chinese Foreign Ministry spox Zhao Lijian slammed the demands:
"We call on the G7 countries to truly focus on peace and development throughout the world, to stop applying double or even multiple standards, to stop sending military aircraft and ships to the borders of other countries with or without reason to demonstrate their strength," Zhao told reporters.
Mwaka 2016 kulikuwa na jaribio la kuipindua serikali ya Uturuki lililofeli. Kwa mujibu wa Uturuki wenyewe walidai jaribio hilo lilipangwa na kutekelezwa na wafuasi wa harakati za Gülen. 'Gülen movement' ni harakati zilizoasisiwa na msomi na mfanya biashara wa Uturuki aishie Pennsylvania Marekani. Ndie mmiliki wa shule za fedha kama sikosei. Hili kundi linatambulika kama harakati za kigaidi na serikali ya Istanbul.Hata Russia mwenyewe hua hamwamini Uturuki kihivyo,yule Ni Kama Popo tu.
Nimekuwa naziruka mada zinazohusu vita ya Libya na Iraq au hizi zinazotokana na Internal conflicts.Labda kama hao waliostaarabila wamekuwa baada ya vita up Ukraine. Kwani miaka ya nyuma kulikuwabhakuna wastaarabu wakato wa Libya Iraq etc.
Halafu huyo mstaarabu ni nani maana kila nchi iliona vyema kupeleka siraha sio kuchagiza mazungumuzo ya amani.
Na hao wastaarabu wanasaje juu ya Congo Mali Yemen Syria nk. Nani wamewekeea vikwazo.
Kitu kama hiki hiki ndicho kama sababu ya MBS kuzichunia simu za Ikulu ya Marekani.Mwaka 2016 kulikuwa na jaribio la kuipindua serikali ya Uturuki lililofeli. Kwa mujibu wa Uturuki wenyewe walidai jaribio hilo lilipangwa na kutekelezwa na wafuasi wa harakati za Gülen. 'Gülen movement' ni harakati zilizoasisiwa na msomi na mfanya biashara wa Uturuki aishie Pennsylvania Marekani. Ndie mmiliki wa shule za fedha kama sikosei. Hili kundi linatambulika kama harakati za kigaidi na serikali ya Istanbul.
Erdogan aliituhumu Us kwa kuhusika/kushirikiana na waliopanga mapinduzi hayo
"President Recep Tayyip Erdoğan said the head of United States Central Command, chief General Joseph Votel, was "siding with coup plotters"
Nchi wanachama wa NATO ujerumani na uk walipinga uhusika wa gulen movement kwenye hayo mapinduzi.
Unganisha dots
Jaribio la Mapinduzi limefanyika dhidi ya serikali ya Uturuki. Intelijensia ya Uturuki inasema Gulen movement ndio wanaohusika. Muasisi na mfadhili wa hiyo movement anaishi uhamishoni USA. Wafuasi wa hii harakati walioko turkey waliodaiwa kuhusika wakawekwa chini ya ulinzi. Marekani ikapinga (kukamatwa kwao) pamoja na ujerumani na uk (nato).
Alafu sasa unaambiwa hata hao nato members hawakuguswa kwa jambo lililotaka kumkumba member mwenzao kivile
"Russia's President Vladimir Putin called Erdoğan out of solidarity before all NATO member countries’ heads following the coup attempt."
Hapo NATO turkey yupo kimachale sana. Yupo kama hayupo vile. Wakati NATO wanapeleka silaha ukr Erdoğan alikuwa busy kusimamia mazungumzo.
Kwa haraka haraka wakimbizi wa Finland wataelekea wapi hapa napata picha ndio maana UK aliwaondoa wakimbizi wa kiislam kwenda RwandaIskanders zaonekana zikielekea Vyborg, mpaka wa Urusi na Finland. https://t.co/hodMCSNdlH
NB I don't what gonna happen
Mpaka sasa naona Russia anapoteza muda tu huko Ukraine na wala haeleweki ni nini hasa anachokitaka huko.
[/QUOTE
Ila ww unajua unachokita.
Kate huko ustaarabu ulitumika si ndio. Nchi hizo zimestaraabika sasaNimekuwa naziruka mada zinazohusu vita ya Libya na Iraq au hizi zinazotokana na Internal conflicts.
Tuanze na Iraq... First thing Vita ya Iraq haikuanzishwa tu Marekani ila chimbuko lake ni Sects tofauti ambazo zilikuwa zinamtazamo tofauti kati yao, Kuazia Ukabila, Hadi Udini, Hadi Marekani anaiondoa Serikali ya Sadam kabla yake Sadam alikuwa anaendesha vita za kipuuzi Kama za Putin anazowafanyia majerani zake Na watu wanaotofautiana na hata kufikia hatua ya Kutumia Silaha za sumu.
Tuje kwenye Vita ya Libya, hili halitaki hata uwe na PhD Kujua Ghadhafi aliondolewa na Walibya wenyewe (Usilete hoja za kipuuzi ukasema, Mamluki walipandikizwa) Hawa wao waliomba msaada wa NATO.
Vita ya Syria the same Watu wengi ndani ya Syria hawataki Utawala wa kifamilia na wanataka Uhuru wa kuchagua kiongozi wanayemtaka...
The same thing could happen hata huku Tanzania Watanzania na Vyama vya Siasa vinaweza kuamua kuitoa CCM, kwa sababu CCM wanajeshi, Watanzania wanaweza kuomba msaada hata wa kijeshi kokote wanakoona watapata.
Hakuna Watu waongo kama Hawa yaani ni Waongo wazushi balaa....Jinga kabisaMkiona idadi haieleweki mnajifanya hakuna anayejua idadi, enhe hawa BBC waneitoa wapi View attachment 2223556
Haya kaka mwenye akili kubwa ujifariji tu.Ukiwa na akili ndogo unaweza ukachelewa sana au usimuelewe kabisa Mr putin kabla ya muda ya kuona output za mipango yake haujafika.
Putin anajua kabisa Sweden na Finland haziwez kujiunga NATO na hata zikijiunga basi itachukua miaka mingi licha ya wao kutuma maombi.
Na putin anaelewa kabisa ili uwe mwanachama wa NATO inatakiwa nchi wanachama wote wakukubali sasa Putin ashaona kabisa kwanini atumie nguvu ya jeshi na kuua raia bure wakati uturuki ambaye nyuma ya pazia ni mshirika mkubwa wa Urusi ashasema atapinga Finland na Sweden kujiunga NATO.
na naomba tuelewe vizuri hapa, miongoni mwa nchi ambayo huwa hairudi nyuma kwenye maamuzi yake ni uturuki.
Tujikumbushe tu maamzi machache ya uturuki (as a NATO member) ambayo hayakuyumbishwa;
*Vita kati ya USA na Vyetenam - Uturuk iligoma magari vita na vikosi vya ardhini vya USA kutumia ardhi yake kuingia vyetenam.
*Uturuk ilitupilia mbali onyo la USA na NATO wenzie juu ya ununuz wa silaha kutoka Urusi (S400 na n.k)
*Uturuki iligoma kuungana na wenzie kuchochea mgogoro wa Ukraine badala yake ikasimama upande wa kusuluhisha.
*Uturuki ilifanya na bado inaendelea kufanya special operation huko iraq kupambana na magaidi bila ruhusa ya USA wala NATO.
*Uturuki ndo nchi pekee mpaka sekunde hii kati ya nchi 30 za NATO iliyotamka wazi kuwa itapinga Sweden na Finland kuingia NATO na haitabadilisha maamuzi.
Mwisho: Uturuk ndo nchi pekee ya NATO inayo aminika Urusi na ndo maana hao wake na ndugu wa wanajeshi wa Azov wameenda kuomba msaada kwa erdogan ili aongee na putin maana wanajua kwa ulaya ndo Rais mwenye akili smart kama putin ambae anaweza ongea jambo na putin na wakaelewana, nakweli baada ya miamba hiyo kuongea kiume, Urusi ikatoa order ya huruma ya kuwatoa majeruhi wakatibiwe.
Hiyo ndo Bond iliyopo kati ya Russia[emoji635] na Turkey [emoji1250] kwahiyo ukiona Putin katulia hivo juu ya Fin na Swed kujiunga NATO basi jua plan yote ya kuzikwamisha ishapangwa na hao miamba wawili na hakuna mtu wa kubadilisha misimamo yao.
UTURUKI SIYO ESTONIA NA URUSI SIYO BOSNIA.
Hivi nyie mnaosema Putin anaumwa mmempima?? Kuumwa Cancer kumeanza juzi?? WALISEMA hata Parade haitakuepo na hatakuja anaumwa watu waongo sana...Resources zote za Russia zitaguswa safari hii,Hadi kufikia December Putin atazidi kuchoka kwasababu nchi yake hivisasa IPO busy na vita, hujuma ndani ya nchi yake, vikwazo vya uchumi na ugonjwa wake WA cancer....
Kwa kifupi huyu Fala kuingia choo cha kike bila kujua
Chief hio story ya Gullen naifahamu vyema,na mwaka huo huo wa 2016 balozi wa Russia nchini Uturuki Andrei Karlov,Mwaka 2016 kulikuwa na jaribio la kuipindua serikali ya Uturuki lililofeli. Kwa mujibu wa Uturuki wenyewe walidai jaribio hilo lilipangwa na kutekelezwa na wafuasi wa harakati za Gülen. 'Gülen movement' ni harakati zilizoasisiwa na msomi na mfanya biashara wa Uturuki aishie Pennsylvania Marekani. Ndie mmiliki wa shule za fedha kama sikosei. Hili kundi linatambulika kama harakati za kigaidi na serikali ya Istanbul.
Erdogan aliituhumu Us kwa kuhusika/kushirikiana na waliopanga mapinduzi hayo
"President Recep Tayyip Erdoğan said the head of United States Central Command, chief General Joseph Votel, was "siding with coup plotters"
Nchi wanachama wa NATO ujerumani na uk walipinga uhusika wa gulen movement kwenye hayo mapinduzi.
Unganisha dots
Jaribio la Mapinduzi limefanyika dhidi ya serikali ya Uturuki. Intelijensia ya Uturuki inasema Gulen movement ndio wanaohusika. Muasisi na mfadhili wa hiyo movement anaishi uhamishoni USA. Wafuasi wa hii harakati walioko turkey waliodaiwa kuhusika wakawekwa chini ya ulinzi. Marekani ikapinga (kukamatwa kwao) pamoja na ujerumani na uk (nato).
Alafu sasa unaambiwa hata hao nato members hawakuguswa kwa jambo lililotaka kumkumba member mwenzao kivile
"Russia's President Vladimir Putin called Erdoğan out of solidarity before all NATO member countries’ heads following the coup attempt."
Hapo NATO turkey yupo kimachale sana. Yupo kama hayupo vile. Wakati NATO wanapeleka silaha ukr Erdoğan alikuwa busy kusimamia mazungumzo.
Kiustaarabu kwa mujibu wa fikra zako.Nimekuwa naziruka mada zinazohusu vita ya Libya na Iraq au hizi zinazotokana na Internal conflicts.
Tuanze na Iraq... First thing Vita ya Iraq haikuanzishwa tu Marekani ila chimbuko lake ni Sects tofauti ambazo zilikuwa zinamtazamo tofauti kati yao, Kuazia Ukabila, Hadi Udini, Hadi Marekani anaiondoa Serikali ya Sadam kabla yake Sadam alikuwa anaendesha vita za kipuuzi Kama za Putin anazowafanyia majerani zake Na watu wanaotofautiana na hata kufikia hatua ya Kutumia Silaha za sumu.
Tuje kwenye Vita ya Libya, hili halitaki hata uwe na PhD Kujua Ghadhafi aliondolewa na Walibya wenyewe (Usilete hoja za kipuuzi ukasema, Mamluki walipandikizwa) Hawa wao waliomba msaada wa NATO.
Vita ya Syria the same Watu wengi ndani ya Syria hawataki Utawala wa kifamilia na wanataka Uhuru wa kuchagua kiongozi wanayemtaka...
The same thing could happen hata huku Tanzania Watanzania na Vyama vya Siasa vinaweza kuamua kuitoa CCM, kwa sababu CCM wanajeshi, Watanzania wanaweza kuomba msaada hata wa kijeshi kokote wanakoona watapata.
Hii inaondoa ukweli wa kipigo suView attachment 2224494
Hii ni Picha ya Leo, leo tarehe 14/05/2022, Mwenye Picha kapiga Putin leo, au jana atupie hapa.
Sadam alinyongwa na Wairaq, Ghadaffi aliuawa na Walibya wenzake..Kiustaarabu kwa mujibu wa kwako.
Internal conflicts zinatatuliwa kwa kuwauwq viongozi hadharani. Kuua watu wasio wanajeshi kuweka vikwazo vinavyoumiza wananchi.
Ustaarabu ni kutaka narration zako zikubaliwe na kila nchi mfano Vietnam na communism.
Ustaarabu ni kuweka vikwazo kwa nchi kama Zimbabwe.
Ustaarabu ni kupeleka siraha sio kuchag8sha mazungumzo