Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baada ya kusaidiwa kuondolewa majeruhi wao 264 Ukraine imesema imebwaga manyanga Mariupol katika kuutetea mji huo wa bandari.Hao majeruhi wamepelekwa upande wa Urusi na wala sio nyumbani kwao.Hiyo ni moja ya makubaliano waliyoridhia Ukraine ili kupata msaada huo.
1652780029189.png

1652780057052.png
 
Katika watu ambao sina iman nao pro NATO. Nyinyi ndo mlikua mnasema Russia hawez akahimili vita zaid ya week?? Mkaja week2?? Mkaja mwezi?? Sahv naona kimya huu wimbo mmeacha. Mkaja na propaganda ya Russia hana chakula cha kuwapa askari wake mara mafuta. Sahivi mmekuja na wimbo hana uwezo wa kupigana na nchi za ulaya.

Nyie Pro NATO mmeshajazwa propaganda za west nyie ndo mlikua mnasema Russia taifa maskini. Acheni kuichukulia poa Russia, hili taifa kubwa sana. Russia ndo ameshikilia uchumi wa Ulaya na dunia.

Bila shaka dunia imeona Ukubwa na umuhim wa Taifa la Russia duniani. Dunia imeona EU wanamtegemea mrussi, dunia inashuhudia Russia anagawa dozi ukraine changanya na NATO.

Bila kusahau Dunia imeona US ni takataka kwa Russia [emoji635] [emoji38][emoji38][emoji38]

GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
LAbda utukumbushe. Nani alisema Urusi haiwezi kuendelea zaidi ya wiki 1???
 
Russia ni Taifa maskini mbele ya Ulaya... Hadi Sasa hakuna objective yoyote aliyofanikiwa tangu aanze vita Donbas.

Pili hakuna direct confrontation kati ya Russia na NATO Hadi Sasa... Na ungesaidia kumsema Putin lini atashambulia Silaha za mataifa ya Ulaya Zikiwa Poland au German.

Tatu Russia mwenyewe anajua hawezi kuhimili vita conventional na West Ndio Maana anatishia Nuclear deterrence, hii situation ni sawa na jambazi amteke raia alafu awe anatishia Police kuwa wakisogea anamuua
Wewe ndio maskini sasa
Yaani unaichukua RUSSIA taifa moja halaf unaingalisha na ULAYA nzima ambayo ni bara lenye nchi zaidi ya 50 tena nchi tajiri zishindane na nchi moja
Ama kweli !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia ni Taifa maskini mbele ya Ulaya... Hadi Sasa hakuna objective yoyote aliyofanikiwa tangu aanze vita Donbas.

Pili hakuna direct confrontation kati ya Russia na NATO Hadi Sasa... Na ungesaidia kumsema Putin lini atashambulia Silaha za mataifa ya Ulaya Zikiwa Poland au German.

Tatu Russia mwenyewe anajua hawezi kuhimili vita conventional na West Ndio Maana anatishia Nuclear deterrence, hii situation ni sawa na jambazi amteke raia alafu awe anatishia Police kuwa wakisogea anamuua
Halaf kwa nini NYUKLIA mnaziogopa sana si nisilaha!!?
US ndio mpuuzi wa kwanza kuzitumia baada yakuona mambo yanaenda kombo na hao NATO ikibidi zitatumiwa dhidi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika tuko na Ukraine hata kama hatujatangaza hadharani..

Namhakikishia bwana Zelensky uungwaji mkono kwa Niaba ya Waafrika wapenda amani na tulaani vikali uvamizi wa Mtoto wa Shetani bwa.Putini 👇

View attachment 2227840
Kwa hiyo huyu jamaa alituweka nyuma sana nchi za Africa!!.?
alishoboka na umoja wa nchi za NATO?
anakumbuka shuka asubuhi!!??
akwende zake
 
Hakuna hata mtu mmoja kwenye Jamii ya watu waliostaarabika anaye unga mkono vita ya kipuuzi aliyoanzisha Russia.

Uturuki anaouwezo wa kuzuia Meli kuingia au kutoka black sea na Tayari ameshazizua meli za Urusi.

Uturuki ni moja ya Mataifa yanaisaidia Ukraine Silaha.

Uturuki ni moja ya Mataifa yanayopinga na hayako tayari kuona Urusi anaingiliaga Uhuru wa Taifa lingine.

Uturuki anashare mpaka Kati ya Ukraine na Russia pia amekuwa na mahusiano mazuri ya kijamii kati ya hizi nchi mbili, ikiwemo Idadi ya watu wa Jamii ya Tartar wanaishi Crimea. Ndio Maana anataka wasuluhishe kwa mazungumzo.

Inaonekana huna records sawa, Uturuki na Russia wako katika Proxy war Syria ambayo Uturuki anafanya kazi nzuri ya Ulaya Magharibi na hata siku moja Uturuki imewahi kuangusha ndege ya Urusi na hakuna kitu Russia alifanya sababu ya NATO assurance ya kuilinda Uturuki.

Uturuki ana hifadhi makombora 30 ya Nuclear ya Marekani.

Madai ya Uturuki ni juu ya PKK na YPG tu
Wee jamaa bana
Unajua baada ya ile ndege kilitokea nini baina ya ANKARA na MOSCOW!!?
Toka baada ya lile tukio mahusiano ya MISCOW na ANKARA
Yakakua nakukua nakuzidi kukua

Sent using Jamii Forums mobile app
 


🔥🔥🔥"This is not a surrender, this is a tactical maneuver." 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
 


The British mercenary managed to be on the front lines for only one night, after which he surrendered

A captured British mercenary from the "Foreign Legion" told RT correspondent Igor Zhdanov that he did not have time to arrive at the front when artillery fire was opened on them. The Briton was wounded, many of his group died, he decided to quickly surrender.
 

Ukraine's security service hunts the spies selling information to Russia:​

Sloviansk, Ukraine (CNN)On a dusty street in the eastern Ukrainian town of Sloviansk, a man in a long-sleeved black shirt and cargo pants smokes a cigarette. He's being watched.
"He's ours," a man says into a radio from his car down the road. "Here he goes."
From the other direction, a van swerves, and two men in combat fatigues and face coverings jump out. The man in black drops to the ground, as if by instinct. The officers -- from Ukraine's security service, or SBU -- pat him down and retrieve their prized evidence: His mobile phone.


In eastern Ukraine, the thuds of duelling Russian and Ukrainian artillery are a near-constant presence. Much of the Russian shelling is indiscriminate, but some is aimed at high-value targets like military encampments, arms depots, or the SBU's own headquarters in Kramatorsk, which was partially destroyed in the opening weeks of the war.
1652782359167.png
 
IMG_20220517_131156_844.jpg


Scotland's First Minister Nicola Sturgeon announced tentative plans to hold an independence vote in 2023 as residents remain displeased about the U.K. leaving the EU, the Associated Press reported.

She also spelled out her firm belief that Scotland must join NATO and the EU if the country votes for independence.
 
Kitu kama hiki hiki ndicho kama sababu ya MBS kuzichunia simu za Ikulu ya Marekani.

Hawa jamaa ni wanafiki sana hawachelewi kufanya ukiwapa kisogo.

Hii operation itabadilisha mengi sana kwenye mahusiano ya kimataifa. Hivi sasa nchi za kiarabu hapo kati zinazidi kuimarisha mahusiano yao. Iran na UAE wanazidi kua Pa1... Syria nae aliyekuwa kama katengwa uhusiano na wenzao unarudi kwa kasi.

Jana hapo ikasemwa kuhusu Cuba na Iran,
Huko Asia vile vile walimgomea Biden kuilaani Russia kwenye maadhimisho yao ya hivi juzi kama sikosei, mbali zaidi Nchi za Amerika kusini nako hivo hivo hapa kasoro Afrika tu kawaida yetu sie wa mwisho kwa kila jambo.
Kilichotokea Egypt miaka ile na juzi Pakistan ni fundisho.

Sasa hivi viongozi wa nchi nyingi wanakuwa makini na urafiki wa kimagharibi. Hawaaminiki hata kidogo.

Nguvu za kijeshi za Russia na nguvu za kiuchumi za China ni vizingiti vigumu sana kwa western sasa hivi.
 


Ukrainian trench getting hit by Russia artillery. I wonder if the hole in the ground protected him?
 
Russia ni Taifa maskini mbele ya Ulaya... Hadi Sasa hakuna objective yoyote aliyofanikiwa tangu aanze vita Donbas.

Pili hakuna direct confrontation kati ya Russia na NATO Hadi Sasa... Na ungesaidia kumsema Putin lini atashambulia Silaha za mataifa ya Ulaya Zikiwa Poland au German.

Tatu Russia mwenyewe anajua hawezi kuhimili vita conventional na West Ndio Maana anatishia Nuclear deterrence, hii situation ni sawa na jambazi amteke raia alafu awe anatishia Police kuwa wakisogea anamuua
We Jamaa una uwezo Mdogo Sana Wa akili,sio kila kitu lazima utoe maoni yako,kama kitu hujui sio dhambi kukaa kimya
 
Back
Top Bottom