Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine yaiangukia Russia baada ya wanajeshi na wapiganaji wa Ukraine kuzingirwa na majeshi ya Russia na kupigwa na njaa na majeraha kwa wiki kadhaa.

Russia imekubali (baada ya kuombwa sana na Ukraine) kuwachukua wanajeshi majeruhi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko kiwandani Azovstal, Mariupol na kuwapeleka hospitali ktk maeneo yanayotawaliwa na Russia nchini Ukraine (Donetsk na Luhansk).

Kuna wanajeshi zaidi ya 600 wa Ukraine waliojeruhiwa waliokuwa wamejificha mashimoni kama panya huko Azovstal, Mariupol.

Habari hiyo imeripotiwa na chombo cha habari cha Ukraine hapa chini

View attachment 2227172View attachment 2227174View attachment 2227173
Walidondoshewa mabomu ya Phosphorus...

Mabomu ya Phosphorus yanasababisha high temperature kama zaidi ya 2,000 °c... Kwa hiyo huko kwenye maandaki kulikuwa panawaka Moto tu.

Ndio maana wakaona isiwe shida...
 
When you fed up with Propaganda of your own Government 🤗

Colleagues, they will try to hide the losses by any possible means. Coronavirus is an excellent reason to write off the death of a soldier, whose family should not then be paid "posthumous" and combat.

 
Another one

Colleagues write that the first soldiers from Azovstal surrendered, although at that moment the functionaries of the Office of the President launched a message that this was a fake.
Before that, information appeared in insider telegram channels that the Office of the President leaked the national battalion Azov.


Kumbe wakati wanatolewa Zelensky alikuwa busy kuutangazia Umma kua hizo ni Russian Propaganda, Hola hola Verily he's best comedian.

The media technologists of the Office of the President were not ready to surrender the defenders of Azovstal, they wrote all day that this was a fake of the Russian special services, and now this is an indisputable fact.

Now Zelensky will have to play the situation back and tell everyone that he decided to save the lives of the soldiers, and what prevented him from doing this a week ago and why were the wives of AZOVites sent to the government offices?
 
"Zrada"! Oh I don't know its meaning 🤣, anyone there atusaidie

⚡️⚡️⚡️Inside Info
📝 Our source in the OP said that an urgent meeting was held in the Office of the President on the case of the surrender of the defenders of Azovstal. At Bankova, they decide how to present this situation to society, so that it does not look like “zrada”.
 
If its true, basi we may call it good news 🤗

📝 Interesting information about China's plans in preparing a military operation against Taiwan. At this pace, 2022 will be a big test for our planet, and the international system will change dramatically.
 
"Zrada"! Oh I don't know its meaning 🤣, anyone there atusaidie

⚡️⚡️⚡️Inside Info
📝 Our source in the OP said that an urgent meeting was held in the Office of the President on the case of the surrender of the defenders of Azovstal. At Bankova, they decide how to present this situation to society, so that it does not look like “zrada”

"Zrada"! Oh I don't know its meaning 🤣, anyone there atusaidie

⚡️⚡️⚡️Inside Info
📝 Our source in the OP said that an urgent meeting was held in the Office of the President on the case of the surrender of the defenders of Azovstal. At Bankova, they decide how to present this situation to society, so that it does not look like “zrada”.
Zrada=treason/betrayal
 
Usiombee hicho kitu kitokee labda kama husimi majarida ya wachambuzi. Putin atakinukisha dunia mzima kuliko aanguke pekee yake. Kimasihala sihala kuna mru atagongwa nuke Moja I;I akili ziwakae sawa
Hizi silaha za nuke hazikutengenezwa ziangaliwe tu kama bibi harusi.Putin atazitumia kweli na tusingependa afanye hivyo kwani athari zake zitazidi kuenea dunia nzima lakini kwa vile ana haki kuzitumia hatutomlaumu.Mtu anakuchokoza kila mara na kila ukimuonya anakufanya mjinga.Nini cha kufanya hapo ni kumrushia kofi la nguvu sana halafu uone kama atarudia.Wa kwanza anayestahiki kurushiwa hicho kitu ni UK ambao wana maneno mengi na wa pili ni Finland ili watu wake kwa mara ya mwanzo waonje shida za maisha kama wenzao duniani,
 
Now hali ngumu wanaanza kulegeza vikwazo wenyewe.

UN Secretary General Guterres proposes to ease restrictions on the export of potash fertilizers from the Russian Federation and Belarus in exchange for the passage of ships with grain from Ukraine.

Bosi hanuniwi 😂
 
Walidondoshewa mabomu ya Phosphorus...

Mabomu ya Phosphorus yanasababisha high temperature kama zaidi ya 2,000 °c... Kwa hiyo huko kwenye maandaki kulikuwa panawaka Moto tu.

Ndio maana wakaona isiwe shida...
Ukraine wanaupiga mwingi sana [emoji23], ila 2000°C mbali sana Mzee... 40 tu binadam inamtesa hiyo 2000°C si unayeyusha chuma kabisa.
 
Nafaka zimekua dhahabu, Miezi mitatu hali tete. Miaka kadha wataweza? Hola hola 🤗 tuwapelekee majembe wakalime.

⚡️⚡️⚡️Inside
Our source in the OP said that the Office of the President is discussing with the UN the possibility of granting international status to the blocked ships in the ports of the Odessa region with humanitarian cargo in order to withdraw grain.

From Ukrainian Channel
 
Now hali ngumu wanaanza kulegeza vikwazo wenyewe.

UN Secretary General Guterres proposes to ease restrictions on the export of potash fertilizers from the Russian Federation and Belarus in exchange for the passage of ships with grain from Ukraine.

Bosi hanuniwi [emoji23]
[emoji23]

Eti bosi hanuniwi, hapo itapendeza ka Belarus na Russia wakiwagomea.
 
Amerika ilivamia Afghanistan kulipiza kisasi kwa waliopanga 911 na kuhakikisha shambulizi kama hilo halitokei tena. 20 years later hakuna shambulizi kama hilo limetokea tena na Osama bin Laden na wenzake wameuliwa. Huo ni ushindi mkubwa kwa raia wa amerika, Tanzania na Kenya ambao hawana tena hofu ya kulipuliwa na Al qaeda.
Nakukumbusha kwamba hao unaowatetea walifanya shambulio la kigaidi nchini kwako na Kenya 1998 na kama sio juhudi za Amerika kufanikiwa, wangeendelea kututesa. Chuki zako kwa amerika zisifanye uungane na watu ambao wakikupata popote wanakukata kichwa. Nairobi 1998👇👇
View attachment 2221733

For 20 years amerika ilikua ikiilinda serikali ya Afghanistan, ikitoa mafunzo na kupigana na Taliban sleeper cells, wakijaribu Ku regroup wanapigwa na vitu vizito. Hii ndio sababu Taliban inayotawala haiwezi kujaribu ule ujinga wa 911. Amerika ilijiondoa baada kuona Taliban sio tena tishio kwao.

Kilichoanzisha vita Libya ni maandamano ya Arab Spring ambayo yenyewe yalianza Tunisia na kusambaa Nchi kiarabu. NATO iliingia wakati UN security Council ilipiga kura kuwe na intervention ya kuzuia raia wasiendelee kuuawa na vikosi vya Gaddafi. Kura zilikua 10 walikubali, 5 hawakupiga na 0 walipinga. Russia na China zenye Veto Power waliabstain kura, the whole freaking world was against Gaddafi.

NATO kwa idhini ya UN wakaweka 'No fly Zone' Libya lakini hawakutuma wanajeshi wa ardhini. Kazi ilikua kulepua military assets za Gaddafi ambazo zina wahangaisha wananchi. Na mwishoe Gaddafi akadakwa na rebels akijificha chini ya mtaro na wakamuua. NATO haikua the main party katika vita hivyo kwa hio lawama zako ziko misguided.
View attachment 2221775View attachment 2221776View attachment 2221777

Waarabu wenzake kina UAE na Qatar walimgeukia Gaddafi wewe mtanzania unaanzaje kumsapoti. Hivi hujui kwamba yeye ndo alimpa silaha Idi Amin wa Uganda awavamie Kagera. Msipokua makini mtasapoti adui zenu kwa chuki kwa Amerika.
Hata wewe unaandika upupu huu eti Wananchi waliuliwa?? KWAMBA NATO haikua katika ile vita???? Haya tuonyeshe serikali ya Libya sasaiv Baadabya Gadafi ...Wewe ni mweupe sana kichwani hamna kitu....
 
Ukraine yaiangukia Russia baada ya wanajeshi na wapiganaji wa Ukraine kuzingirwa na majeshi ya Russia na kupigwa na njaa na majeraha kwa wiki kadhaa.

Russia imekubali (baada ya kuombwa sana na Ukraine) kuwachukua wanajeshi majeruhi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko kiwandani Azovstal, Mariupol na kuwapeleka hospitali ktk maeneo yanayotawaliwa na Russia nchini Ukraine (Donetsk na Luhansk).

Kuna wanajeshi zaidi ya 600 wa Ukraine waliojeruhiwa waliokuwa wamejificha mashimoni kama panya huko Azovstal, Mariupol.

Habari hiyo imeripotiwa na chombo cha habari cha Ukraine hapa chini

View attachment 2227172View attachment 2227174View attachment 2227173

Russia ana huruma sana aseee
 
Back
Top Bottom