Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jibu kile ulicho ulizwa, au umeishiwa hoja ndugu yetu tukusaidie. Wametumia miaka 20, haya mjibuni swali lake la pili kuhusu hiyo Time frame ya Operation ya Russia kama mnayo ambayo mnaitumia kutoa reference kua Russia kashindwa Operation yake.
Na Mimi naongeza wamekaa Afghanistan miaka 20 na walipoondoka TU ,Taliban wakarudi madarakani.
 
Unajua kwanini ilionekana failure, ni kwasababu wengi walipinga US kuondoa vikosi vyake ikiwemo hata washirika wengine wa NATO, wengi walitaka US iendelee kuwa kule.

Lakini usisahau jambo lililo mpeleke kule alifanikiwa kwa miaka yote hiyo Yuko huko so Biden alisema haoni haja ya US troops kuendelea kuwa kule kwani hakuna sababu ya msingi na vifo vitakuwa havina sababu.

And trust me, angekuwa hajafanikisha Jambo lake mpk sasa Taliban asingeshika nchi[emoji419]

I recommend uende ukasome zaidi..br[emoji16]

Ask Q
Huoni kama unajitekenya then unacheka mwenyewe?

When Russia withdraw jeshi lake Kyiv mlizungumza nini? Hamkusema Russia kashindwa kuiteka Kyiv?

Ok so you are admitting vita ilikuwa bado inaendelea? So you are admitting that kama wasingetoka hivi sasa wangekuwa wanatafta mwaka wa 21 wakipigana na kikosi cha wa Taliban?

Yet you are admitting that, kama ukitoka hujamaliza ulichokusudia that means umeshindwa? If not kwanini walitoka kama hawajamaliza walichokwenda kukifanya Afghanistan?

If Russia today announce a withdrawals ya jeshi lake nchini Ukraine, kwa madai ya kuepusha wanajeshi wa Russia wasiendelee kuuwawa, Can you tell us what that means?

Screenshot_20220512-152323-01.jpg
Do you know what even Biden saying when they retreat from Afghanistan?

You tell us they win while themselves saying Afghanistan was a Failure, Hey buddy so who to believe? You or them?

1. How America Failed in Afghanistan

2. US failed in Afghanistan campaign must withdraw forces

3. Coming to terms with Americas undeniable failure in Afghanistan.

So hao wooote wamezungumza uongo, Wewe ndio unazungumza ukweli?

Napenda kujadiliana na watu kwa hoja. But nyie hamna hoja bali ushabiki which are far very far from reality.

Thanks for your time. Let's stop here.
 
Huoni kama unajitekenya then unacheka mwenyewe?

When Russia withdraw jeshi lake Kyiv mlizungumza nini? Hamkusema Russia kashindwa kuiteka Kyiv?

Ok so you are admitting vita ilikuwa bado inaendelea? So you are admitting that kama wasingetoka hivi sasa wangekuwa wanatafta mwaka wa 21 wakipigana na kikosi cha wa Taliban?

Yet you are admitting that, kama ukitoka hujamaliza ulichokusudia that means umeshindwa? If not kwanini walitoka kama hawajamaliza walichokwenda kukifanya Afghanistan?

If Russia today anaounce a withdrawals ya jeshi lake nchini Ukraine, kwa madai ya kuepusha wanajeshi wa Russia wasiendelee kuuwawa, Can you tell us what that means?

View attachment 2221702 Do you know what even Bide saying when they retreat in Afghanistan?

You tell us they win while themselves saying Afghanistan was a Failure, Hey buddy so who to believe? You or them? How America Failed in Afghanistan

Napenda kujadiliana na watu kwa hoja. But nyie hamna hoja bali ushabiki which are far very far from reality.

Thanks for your time. Let's stop here.
Ni dhahiri Marekani mwishowe walishindwa Afghanistan.
Ni dhahiri pia Urusi kuna uwezekano mkubwa itashindwa Ukraine.
 
Unajua kwanini ilionekana failure, ni kwasababu wengi walipinga US kuondoa vikosi vyake ikiwemo hata washirika wengine wa NATO, wengi walitaka US iendelee kuwa kule.

Lakini usisahau jambo lililo mpeleke kule alifanikiwa kwa miaka yote hiyo Yuko huko so Biden alisema haoni haja ya US troops kuendelea kuwa kule kwani hakuna sababu ya msingi na vifo vitakuwa havina sababu.

And trust me, angekuwa hajafanikisha Jambo lake mpk sasa Taliban asingeshika nchi[emoji419]

I recommend uende ukasome zaidi..br[emoji16]

Ask Q
Ww uta bilingika una fanya ufanyavyo ila ukweli Marekani alishindwa vita maana walienda kuiangusha serikali ya Talban kwa hoja ya kuwa unadhani ugaidi lakini wameondoka wamewaacha haohao wadhamini wa ugaidi wakiwa madarakani.

kwani Talban wangeamuwa kusalimu amri na kutopigana Marekani angekimbia? alikimbia kwa sababu wanajeshi wake walikuwa wanauawa na silaha zao kuharibiwa na walikuwa wanapata hasara.

Haya ngoja tuachane na Afghanistan vipi kuhusu Vietnam ambapo Marekani alipigana zaidi ya miaka 8 akashindwa kuteka hata kijiji akaishia kupata kipigo cha mbwa koko akakimbia bila hata kuaga.
 
Huoni kama unajitekenya then unacheka mwenyewe?

When Russia withdraw jeshi lake Kyiv mlizungumza nini? Hamkusema Russia kashindwa kuiteka Kyiv?

Ok so you are admitting vita ilikuwa bado inaendelea? So you are admitting that kama wasingetoka hivi sasa wangekuwa wanatafta mwaka wa 21 wakipigana na kikosi cha wa Taliban?

Yet you are admitting that, kama ukitoka hujamaliza ulichokusudia that means umeshindwa? If not kwanini walitoka kama hawajamaliza walichokwenda kukifanya Afghanistan?

If Russia today announce a withdrawals ya jeshi lake nchini Ukraine, kwa madai ya kuepusha wanajeshi wa Russia wasiendelee kuuwawa, Can you tell us what that means?

View attachment 2221702 Do you know what even Biden saying when they retreat from Afghanistan?

You tell us they win while themselves saying Afghanistan was a Failure, Hey buddy so who to believe? You or them?
How America Failed in Afghanistan



So hao wooote wamezungumza uongo, Wewe ndio unazungumza ukweli?

Napenda kujadiliana na watu kwa hoja. But nyie hamna hoja bali ushabiki which are far very far from reality.

Thanks for your time. Let's stop here.
Kaka unateseka Bure ...... Huyo jamaaaa ni mgumu Kuelewa na akielewa tu mwepesi kusahau unaanza tena kuelimisha kilekile.
 
Ww uta bilingika una fanya ufanyavyo ila ukweli Marekani alishindwa vita maana walienda kuiangusha serikali ya Talban kwa hoja ya kuwa unadhani ugaidi lakini wameondoka wamewaacha haohao wadhamini wa ugaidi wakiwa madarakani.

kwani Talban wangeamuwa kusalimu amri na kutopigana Marekani angekimbia? alikimbia kwa sababu wanajeshi wake walikuwa wanauawa na silaha zao kuharibiwa na walikuwa wanapata hasara.

Haya ngoja tuachane na Afghanistan vipi kuhusu Vietnam ambapo Marekani alipigana zaidi ya miaka 8 akashindwa kuteka hata kijiji akaishia kupata kipigo cha mbwa koko akakimbia bila hata kuaga.
Umeipunguza jomba [emoji23] Vietnam nako ni 20 kasoro... Wamepishana na hawa Afghanistan kwa miezi kama mitano tu hivi.
 
Majibu yasiyo rasmi:

No. 1 nahisi ila sina uhakika ni  MUDA ulikuwepo Jamiiforums tangu kujiunga kwako.

No. 2 Alama ya tiki ✅ inamaanisha uko verified yaani umethibitishwa na Uongozi kwasababu flani flani au mmeshawasiliana na kupewa muongozo na umeufuata.

Bongo Systems zina utaratibu mreeefu. Wakati kwingine huko ni suala la System yenyewe inafuata vigezo ukivitimiza unajikuta You're Verified Already.✅
2.sio kweli, ukiwa verified unaitwa....
a)Member
b)Senior Member
c)Expert Member
d)Platinum Member +(✔)

Je ili kuwa PLATINUM Member ni kwa vigezo gani na hiyo tiki ni ya nini?
 
Askari wa Urusi wafariki na kuachwa bila kuzikwa huko Donbas baada ya Daraja kulipuliwa na UKRAINE.Chini ni maoni ya mchangiaji🤔
I wonder how many Russians are killed on this silly attempted crossing. Somebody please show this pics and video to Putin so he will know his boys are losing terribly in Donbas, Ukraine. He really needs to see this one, but I heard that Russian military doesn’t really take home their dead soldiers in Ukraine which means Ukraine will have to kill Russian soldiers and burry them too so they won’t contaminate and pollute lovely Ukraine. This is shameful and sad!!!

FB_IMG_1652362677008.jpg


FB_IMG_1652362683137.jpg


FB_IMG_1652362691139.jpg
 
Can you submit your claim here so as they can change what a history have written? War in Afghanistan (2001–2021) - Wikipedia

So as they can write again fo the people to read that US/NATO defeat Taliban, now Taliban doesn't exist anywhere in the world?
Amerika ilivamia Afghanistan kulipiza kisasi kwa waliopanga 911 na kuhakikisha shambulizi kama hilo halitokei tena. 20 years later hakuna shambulizi kama hilo limetokea tena na Osama bin Laden na wenzake wameuliwa. Huo ni ushindi mkubwa kwa raia wa amerika, Tanzania na Kenya ambao hawana tena hofu ya kulipuliwa na Al qaeda.
Nakukumbusha kwamba hao unaowatetea walifanya shambulio la kigaidi nchini kwako na Kenya 1998 na kama sio juhudi za Amerika kufanikiwa, wangeendelea kututesa. Chuki zako kwa amerika zisifanye uungane na watu ambao wakikupata popote wanakukata kichwa. Nairobi 1998👇👇
images (1).jpeg

Do you think your wishful thinking can change a reality that US/NATO failed in Afghanistan? Have Failed to eliminate Taliban in Afghanistan? 20yrs? Don't mention Phase 1 and 2.

You want us to believe you kua US and all It's allies took 20 yrs to teach Afghans namna ya kuongoza nchi yao? Walikuwa wakiwafundisha punguani sio vichwa ngumu kuelewa to the extent after 20yrs Taliban waendelee kutawala?

Ooooh come on, try a little to make your argument worth a read buddy. You can't twist a reality that's known to everybody for your wishful thinking.
For 20 years amerika ilikua ikiilinda serikali ya Afghanistan, ikitoa mafunzo na kupigana na Taliban sleeper cells, wakijaribu Ku regroup wanapigwa na vitu vizito. Hii ndio sababu Taliban inayotawala haiwezi kujaribu ule ujinga wa 911. Amerika ilijiondoa baada kuona Taliban sio tena tishio kwao.
Libya pale? How long did they took to defeat Gaddafi? One day right? In case you don't know its 7 Month. A bunch of Clowns fighting against one Man Gaddafi without a tiny support from other nations.

Have you ever imagine all those countries if they gotta Support like what Ukraine is receiving now, Invaders will they able to make it?
Kilichoanzisha vita Libya ni maandamano ya Arab Spring ambayo yenyewe yalianza Tunisia na kusambaa Nchi kiarabu. NATO iliingia wakati UN security Council ilipiga kura kuwe na intervention ya kuzuia raia wasiendelee kuuawa na vikosi vya Gaddafi. Kura zilikua 10 walikubali, 5 hawakupiga na 0 walipinga. Russia na China zenye Veto Power waliabstain kura, the whole freaking world was against Gaddafi.

NATO kwa idhini ya UN wakaweka 'No fly Zone' Libya lakini hawakutuma wanajeshi wa ardhini. Kazi ilikua kulepua military assets za Gaddafi ambazo zina wahangaisha wananchi. Na mwishoe Gaddafi akadakwa na rebels akijificha chini ya mtaro na wakamuua. NATO haikua the main party katika vita hivyo kwa hio lawama zako ziko misguided.
images (6).jpeg
images (4).jpeg
images (3).jpeg


Waarabu wenzake kina UAE na Qatar walimgeukia Gaddafi wewe mtanzania unaanzaje kumsapoti. Hivi hujui kwamba yeye ndo alimpa silaha Idi Amin wa Uganda awavamie Kagera. Msipokua makini mtasapoti adui zenu kwa chuki kwa Amerika.
 
Back
Top Bottom