Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa hujaona majibu kwenye hiyo article bro.. acha masihara[emoji1787]

We umeambiwa walienda takriban miaka 20 nyuma, na lengo la kuzuia terrorism kwenye maeneo yao yamefanikiwa Kwan over 2 last decade hakuna shida hiyo, do the math bro[emoji3]
Kwamba wewe unajua NATO walishidna ila Wikipedia wanajua Taliban walishinda... What a genius
Screenshot_20220509-130454-01.jpeg
 
Uturuki/Ottoman pia alishawahi kutawala sehemu kubwa duniani, Roman pia waajemi/persian uk ss hv kolo tu.

Hata hao Manhattan project utaalamu waliuiba kutoka kwa hitler ujerumani. Kwa sasa hivi nchi iliyopiga hatua kwenye silaha za nyuklia kuliko yote duniani ni Urusi. Russia has a nuclear superiority of 27 to one against British we unaongea nn!? Katika kila silaha moja ya nuclear bayo Uk wanayo urusi wanazo 27 na mimd you za urusi ndio kubwa na more advenced. Achilia mbali umiliki wa silaha bali pia kwenye deliverance urusi hana mpinzani hakuna taifa lenye maendeleo ya makombora kama urusi duniani hii. Uka ni katoto flani hivi kakupuuza

Kwa nini NATO wanahofia direct confrontation na Urusi!? Wao si ndio wapo wengi!? 1 vs 30!? Mnasingizia ustaarabu kwani mlichofanya Syria, Libya, hamkujua kwamba dunia imestaarabika!? Nyie (NATO) ni waoga PERIOD!!! na uoga wenu unastaajabisha pale mnayemuhofia yuko peke yake na nyie mpo wengi. Bunch of cowards! Kibaraka wenu anapigwa, nchi imeharibiwa wanajeshi wameuawa raia wamekimbia miji imekaliwa kinguvu na NATO wapo tu walichokifanya hakina tofauti na kutemea mate nyumba inayoungua eti kuizima. Spitting to a bushfire ain't gonna work uncle sam!

Us yupo wapi Syria!? [emoji1787] unachekesha. Syria yupo Assad bwana tena kwa hisani ya Putin na haendi popote any time soon! Na Venezuela yupo maduro. Crimea imekwenda, Donbass inakwenda na miji mingine nje ya donbass nayo itakwenda. Ukraine haitajiunga NATO na mateka wa kimagharibi hasahasa wa uingereza waliokamatwa donbass na mariupol hawaachiwi. Gesi mtanunua kwa rubo na hamna kitu mtafanya

Who is a looser now [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Ukraine yupo Zelensky na anampelekea moto putin hatareee na meli kailipua na Kyiev kamfurusha na wenye hela yaan western washampiga vikwazo vya nguvu urusi kabaki analialia tu.

Na urusi anaihara NATO hatareee ndo maana hataki ukraine ijiunge NATO maana anajua hatari yake. So kama manhataan waliiba germany so ni akili ya western hapo inatawala tena ya jews.

We unacheze na nchi kama US ambayo ina kambi za kijeshi nchi mbalimbali inafadhili miradi mingi ya maendeleo duniani. Haya Finland inayo inataka kujiunga NATO......
 
Toa hoja kwa lugha safi tukuone umestaarabika. We all know it zaidi ya vile unavojaribu kupindisha uhalisia.
View attachment 2221449

Rejea kwenye maswali yaliyoulizwa uyajibu kama yalivyoulizwa.
Achana nae bro, kwa hoja hawawezi kutulia ku'battle hata nusu saa... Umejionea mwenyewe wakina nani huwa waanzilishi wa matusi kwenye huu uzi wakikosa majibu ya kujibu
 
Tunachosema sisi ni kwamba, Russia objectives zake kafanikisha ama bado? Kwanza sidhani hata Kama mnajua malengo yao

Lengo moja wapo ambalo lilifanya NATO weende huko ni hilo la ku stop terrorism kwenye nchi zao kitu ambacho walifanikiwa Kwan toka mwaka huo mpaka walivyoondoka hakuna kilichotokea.

Sasa swali linarudi kwako, malengo ya NATo yalitimia baada ya muda gani ndugu mrusi!

Tunachosema sisi ni kwamba, Russia objectives zake kafanikisha ama bado? Kwanza sidhani hata Kama mnajua malengo yao

Is that not enough to show how unazungumzia kitu usichokifaham?

Can you answer please the second question katika maswali uliyoulizwa?

Do you have a time frame of Operation ambayo unaitumia kama reference ya kuelezea kushindwa kwa Jeshi la Russia Ukraine?

Unajua miaka 20 ni umri wa mtu kuzaliwa hadi kufikia utu uzima? Can you tell us how Taliban survive a war against those "Rich Nations" miaka yote 20?

All Intels of 30 Nation from NATO didn't able to break Taliban in 20yrs. Kwani Taliban alikuwa akipokea msaada kutoka kwa nani?

Hey, uko ready kubishana kwa hoja?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ajibu kila swali, asipindisheeeeeeeee
 
Weka round sehem ambayo wamesema wameshindwa, na ili ujue kashindwa lazima ujue malengo yao yalikuwa ni nini hasa kaka
Mmmmmh?

Unataka akuzungushie ili uone sehem iliyoandikwa? Are you serious?

Result - Taliban Victory

If you can't read just texts on a snapshot, can you really be able to make a strong sensible argument?
 
Tunachosema sisi ni kwamba, Russia objectives zake kafanikisha ama bado? Kwanza sidhani hata Kama mnajua malengo yao

Is that not enough to show how unazungumzia kitu usichokifaham?

Can you answer please the second question katika maswali uliyoulizwa?

Do you have a time frame of Operation ambayo unaitumia kama reference ya kuelezea kushindwa kwa Jeshi la Russia Ukraine?

Unajua miaka 20 ni umri wa mtu kuzaliwa hadi kufikia utu uzima? Can you tell us how Taliban survive a war against those "Rich Nations" miaka yote 20?

All Intels of 30 Nation from NATO didn't able to break Taliban in 20yrs. Kwani Taliban alikuwa akipokea msaada kutoka kwa nani?

Hey, uko ready kubishana kwa hoja?
Swali jepesi Taliban alitolewa kwenye power mwaka gani?

Ilichukuwa muda gani mpaka Taliban akatolewa madarakani since US kuingia Afghanistan?

Nataka unijibu mwenye hoja [emoji16]
 
Us Uk wana silaha za kisasa na zenye nguvu kubwa kama kweli wana nia ya kutoa msaada kwa Zelensky kwa nini wasipeleke silaha hizo ukraine!? Air defense systems eg. Patriot, THHAD. fighter jets F16 F18 F22 F35. cruise missiles kama matom hawk nk black hawk helicopters wapeleke mpaka manowari au nyambizi strategic bombers etc unapeleka javelin wakati nchi inapigwa makombora ya iskander na mahypersonic ndio zitasaidia nini!?
Jibu si vigumu.
1. Silaha hizi ndogo zilitosha kumaliza jeshi la putin katika kaskazini ya Ukraine. Ukraine in SAM300 chahce, zinatosha ili ndegevita za Urusi zinapaswa kupita chini sana na hapa Javelin zinazipata. Tokeo: jeshi la Anga la Urusi halina nguvu katika vita hii, isipokuwa kwa kurusha roketi kwa mbali.
2. Mifumo tata kama Patriot au ndegevita n.k. huwezi kutumia mara moja. Unahitaji kujifunza na kufanya mazoezi miezi, kwa mifumo tata zaidi miaka. Hii sababu NATO wametafuta silaha za Kirusi zinazopatikana kwenye soko la dunia na katika majeshi ya nchi za NATO kama Poland, Ucheki maana ni silaha zilezile ambazo wanajeshi wa ukraine wanajua tayari: vifaru T 72, SAM . . . .
3. Iskander hadi sasa haikuwa tishio kubwa, maana nguvu ya kombora la kasi kubwa ni kuepukana na mifumo ya kuzuia roketi, lakini hazina uharibifu mkubwa zaidi. Na kwa jumla inaonekana Urusi haina silaha nyingi za aina hiyo, hivyo tumeona mifano michache ya matumizi yake. Pia mfano wa juzi walipotumia makombora hayo Odessa, hawakulenga shabaha za maana bali kubomoa hoteli na supermarket. Mfano wa matumizi hovyo ya silaha hizo ambazo ni ghali. tuone akiba itaishia lini.
 
Nakazia

1.Huo u PLATINUM MEMBER unaupataje?

2.Na siku hizi kuna alama ya tiki✔ kwa baadhi ya Member, hiyo alama inamaanisha nini?
Majibu yasiyo rasmi:

No. 1 nahisi ila sina uhakika ni  MUDA ulikuwepo Jamiiforums tangu kujiunga kwako.

No. 2 Alama ya tiki ✅ inamaanisha uko verified yaani umethibitishwa na Uongozi kwasababu flani flani au mmeshawasiliana na kupewa muongozo na umeufuata.

Bongo Systems zina utaratibu mreeefu. Wakati kwingine huko ni suala la System yenyewe inafuata vigezo ukivitimiza unajikuta You're Verified Already.✅
 
Swali jepesi Taliban alitolewa kwenye power mwaka gani?

Ilichukuwa muda gani mpaka Taliban akatolewa madarakani since US kuingia Afghanistan?

Nataka unijibu mwenye hoja [emoji16]
Maswali yote niliyokuuliza hujayaona eh?

Discuss like a matured one, jibu maswali then uulize maswali.

Acha kuzunguka zunguka kuonesha udhaifu if really you are capable of arguing.
 
Urusi wana mapokeo ya kitaifa: akishindwa vitani, mtawala anaondolewa baada ya muda mfupi. Warusi wanatunza mapokeo ya kitaifa sana!
Na putin anaelekea kushindwa, hii ni dhahiri. Kyiv alipaswa kukimbua, Donbas anakwama . . . . manowari zake zinapungua, roketi zake pia . . .
Hiz taarifa unazitoa wapi
 
Back
Top Bottom