East
JF-Expert Member
- May 9, 2022
- 603
- 1,725
aje atusaidie kuchangamsha Royal tour hukuZelensky mkuu .Comedian wetu.
aje atusaidie kuchangamsha Royal tour hukuZelensky mkuu .Comedian wetu.
Kama hawamsaidii anakata wote mpaka Putin utashangaa anaungana na Zelensky soon haaaa watu wanaomshabikia Putin hawataki hii habari
Tatizo washabiki wa mapenzi ya jinsia moja baada ya kuona Zele anakula kichapo bila majibu,mmeona mumshauri kwa njia hii.Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Ninacho maanisha ni kwamba kufunga mabomba ya gesi ya Urusi yanayo kwenda ulaya ni sawa na Ukraine kujitia kidole.Mbinu baba ,Zelensky kaamua kama iwe mbwa na iwe wote watashangaa kupigana na comedy. Maana mpaka Tz inashangaa mafuta juu na hatupigani na shangaa kwa nini hatutafuti Rubi kulipa ya Urusi mweee dunia ngumu hii wala simlaumu Zelensky
Ndiyo maana nimesema inawezekana there is something serious we don't know....mtu mzima unatumia muda mwingi kuangalia michango au comments za watu humu JF haiwezekani iwe hivi hivi tu...haya endeleeni kufanya mnalofanya...but one thing is for sure..Nikiangalia michango yako - kuna mengi ambayo hujui, hata ukiendelea kuyajadili...
Haya ni maoni yako. Nadhani mtu wa kawaida anaona huyu anayeshambulia na kuanza kupiga ni mkosoaji.Ndiyo maana nimesema inawezekana there is something serious we don't know....mtu mzima unatumia muda mwingi kuangalia michango au comments za watu humu JF haiwezekani iwe hivi hivi tu...haya endeleeni kufanya mnalofanya...but one thing is for sure..
Ukraine inapigwa Sana thousands and thousands of Ukrainians are dying for nothing but kwa maslahi ya NATO in their doomed mission to contain Russia...
Baada ya vita hii kwisha debates zitazuka namna the west ilivyofanya hadaa na kusababisha vifo vya mamilioni ya Waukraine.. inatisha na kusikitisha...
Russia imejiandaa for a long war which means Ukraine itaharibiwa zaidi na zaidi...
Ndio mbinu zenyewe ujue vita ni vita tu hata kukifinga golf dakika ya 90 bado utahesabiwa mshindi hawasemi tena sijui ball possession nk.Tatizo washabiki wa mapenzi ya jinsia moja baada ya kuona Zele anakula kichapo bila majibu,mmeona mumshauri kwa njia hii.
Tatizo madhara ya njia hiyo ni makubwa kwa mabwana zake kuliko kwa Russia. We unadhani Zele angekuwa na uwezo huo alivyo na kiherehere si angekuwa ameshafanya hivyo!!!
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Hakuna anayeweza kumuondoa Putin
Yeye hataki bomba lipite kwake. Russia watafute njia mbadala ya kuhudumia wateja wake,kumbe makelele mengi na bomba kapitisha kwa jirani yake.Zelensiky ng'oa hilo Bomba,kila mtu ashinde mechi zake.Hapo atapigwa vibaya sana Ukraine
Ukraine anayajua yote hayo lakini ndiyo keshaamua Russia atoe bomba lake .Hiyohiyo gesi ya Urusi ndio inaendesha viwanda vya silaha vya nchi za magharibi ambazo anazipokea ili aweze kupambana na Urusi.
Urusi wana mapokeo ya kitaifa: akishindwa vitani, mtawala anaondolewa baada ya muda mfupi. Warusi wanatunza mapokeo ya kitaifa sana!Hakuna anayeweza kumuondoa Putin
Wanangoje nini c wapeleke majeshi yao kama walivyopeleka SYRIA IRAQ LIBYA nk....
DuhPutin ndio wanakazana kumwua au kumwondoa Mark my word. Najua washabiki wa Putin hawataki kusikia.
Upupu mtupu unamwagaUrusi wana mapokeo ya kitaifa: akishindwa vitani, mtawala anaondolewa baada ya muda mfupi. Warusi wanatunza mapokeo ya kitaifa sana!
Na putin anaelekea kushindwa, hii ni dhahiri. Kyiv alipaswa kukimbua, Donbas anakwama . . . . manowari zake zinapungua, roketi zake pia . . .
Omniscient [emoji854]Naive
Sherehe ilikuwa ya kinyonge na Putin ni dhaifu kweli kweli ki afya.Fafanua huo 'unyonge' uliouona wewe ' mtaalamu wa masuala ya magwaride ya kijeshi'
Hawana huu uwezoNaona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Mimi siamini mpaka nione, kalitoa hilo bomba maana itakuwa ni anguko la EU, urusi kashapata mbadala wa gas aliyokuwa anauza ulaya atauza china, swali bado sijaona mbadala wa gas ulayaNaona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Mashabiki wake wanafura kwa hasira kila siku,mbaya zaidi siku ya May 9 walijua atakuja na mbwembwe za hotuba kali,matokeo yake mwanzo mwisho Mzee analia na NATOPutin ndio wanakazana kumwua au kumwondoa Mark my word. Najua washabiki wa Putin hawataki kusikia.
Hapo akifanya hivyo atawauzi Hadi washirika wake maana atakua Kama kawawekea vikwazo vya gas na oilNaona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.