stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,094
- 27,978
Akiweka nitag mkuu...Ili iwe balanced story Pia Weka sambamba na hasara aliyokwishapata ukraine.
Akiweka nitag mkuu...Ili iwe balanced story Pia Weka sambamba na hasara aliyokwishapata ukraine.
Kamla tayari, bado kumengenywa tu"Mbuzi kamla Mbwa" huu usemi nimeukopa kutoka kwa MDAU humu JF
Hizo mtaweka nyinyi pro RussiaIli iwe balanced story Pia Weka sambamba na hasara aliyokwishapata ukraine.
Mpaka sasa hivi kachanganyikiwa, kasha tumia hypersonic missile zaidi ya kumi lakini wapi ndo kwnz kumekuchaPutin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu.
Sisi hatuko vitani, taarifa tunachukua zilizohaririwa na kuwekwa mitandaoni.Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Wakati watu hapa Odessa hatulali
Hao hao kutwa nzima unashinda unawasikiliza na kuwafuatilia.Hawa ni BBC, VOA, REUTERS,CNN, DW [emoji1787][emoji1787]
😁😁😁Mwamba katulia,vijana afya iko poa wanapeleka Moto tuNaam,umetoka kwa Victory Day japo Mwamba anaonekana hali ya afya ni tete
Hizo mtaweka nyinyi pro Russia
na bado anachkua service fee yake kila mwez yan wanapigana ila anachkua malipo ya hiro mbomba kupita hapo.Kukata bomba la gas ni mbinu ya kivita?? Afu unajiita mchambuzi. Hawana kiburi cha kukata coz hiyo gas inakwenda kwa mashoga zake hawawezi mruhusu kufanya huo ujinga bado wanaihitaji gas ya mrussi. Hizo ni kelele tu hana hicho kiburi.
[emoji16][emoji23][emoji1787]Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Wakati watu hapa Odessa hatulali
Hawajanifanya niwe kama wewe kukubali hata propaganda tuHao hao kutwa nzima unashinda unawasikiliza na kuwafuatilia.
Removed by who? Putin sio Gaddafi.
Leo nimeona reporter mmoja anaonesha mili ya askari wa urusi ikiwa imeoza, inaumiza sana kama askari umetumwa kwenye operation mbovi kama hii askari wanapigana bila morale. " Without a fighting morale the battle field become diserster’'Putin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu.
Kwani hiyo gesi inaenda nchi gani,kama ni nchi zinazompa msaada,wataanzaje?Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Hapo safi kabisaHaya na mimi naweka takwimu:--
Wanajeshi wa Ukraine waliouawa ni ×4 ya hao wa Russia na vifaa vya Ukraine vilivyoangamizwa ni mara 10 ya hivyo vya Russia.
Hapo vipi??!![emoji1787]
Source: pravda.