Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi wana mapokeo ya kitaifa: akishindwa vitani, mtawala anaondolewa baada ya muda mfupi. Warusi wanatunza mapokeo ya kitaifa sana!
Na putin anaelekea kushindwa, hii ni dhahiri. Kyiv alipaswa kukimbua, Donbas anakwama . . . . manowari zake zinapungua, roketi zake pia . . .
Kila siku anaelekea kushindwa, mara atakufa na bla blah kibao... acheni utabiri angalieni uhalisia.
 
Kila siku anaelekea kushindwa, mara atakufa na bla blah kibao... acheni utabiri angalieni uhalisia.
Sijaongea kuhusu kufa kwake... Kwa nini niache kutabiri? Wenzetu marafiki wa Putin wanatabiri kila siku mara nyapi, wanatuambia maono yao...
Mwishoni tutaona tu, kwa hiyo tutulie na tutabiri kidogo...
 
Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Sioni ni pigo kubwa. Itaharakisha jitihada za nchi za Ulaya kuachana na gesi ya Urusi. Labda itasaidia kulainisha kiburi cha Hungaria.....
Ona:
The immediate practical impact of Wednesday’s gas cutoff was likely to be limited since much of the gas can be directed through another pipeline, gas analyst Zongqiang Luo at Rystad Energy said.
Preliminary flow data suggested that was already happening, though Russia’s state-owned giant Gazprom indicated some drop in supply. It said it was sending gas supplies to Europe through Ukraine in the amount of 72 million cubic meters, apparently down 25% from the day before.
 
Sielewi. Habari ya mwisho kuhusu Snake Island ni shambulio la ndegevita 2 za Ukraine zilizoshambulia kituo cha Warusi huko (ajabu kwamba waliweza kufika mbali vile na ajabu kwamba Warusi hawana ulinzi huko).
Hawanaga akili wao Warubuza
 
Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Hapo itakuwa total war
 
Karibu wanajeshi 26,350 wa Urusi wameuawa, yasema Ukraine

Urusi imepoteza wanajeshi 26,350 tangu ilipoivamia Ukraine tarehe 24 Februari, Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ilisema katika sasisho lake la hivi punde.

Ukraine inadai jumla ya hasara iliyopata Urusi ni pamoja na:

Vifaru 1,187

Magari 2,856 ya kivita

Mifumo 528 ya kivita

Mifumo 185 ya kurushia roketi

Mifumo minane ya ulinzi wa anga

Ndege 199

Helikopta 160

Ndege 290 zisizo na rubani

Makombora 94 ya meli

Meli 12 au boti

Magari 1,997 na malori

Vitengo 41 maalum vya vifaa

20220511_153712.jpg
 
View attachment 2220563

Ili iwe balanced story Pia Weka sambamba na hasara aliyokwishapata ukraine.
 
Putin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu.
 
Karibu wanajeshi 26,350 wa Urusi wameuawa, yasema Ukraine

Urusi imepoteza wanajeshi 26,350 tangu ilipoivamia Ukraine tarehe 24 Februari, Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ilisema katika sasisho lake la hivi punde.

Ukraine inadai jumla ya hasara iliyopata Urusi ni pamoja na:

Vifaru 1,187

Magari 2,856 ya kivita

Mifumo 528 ya kivita

Mifumo 185 ya kurushia roketi

Mifumo minane ya ulinzi wa anga

Ndege 199

Helikopta 160

Ndege 290 zisizo na rubani

Makombora 94 ya meli

Meli 12 au boti

Magari 1,997 na malori

Vitengo 41 maalum vya vifaa

View attachment 2220563
Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Wakati watu hapa Odessa hatulali
 
Putin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu.
Alikiri kupitia wapi? Ukiweka source yako ya info itapendeza sana
 
Back
Top Bottom