Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

umeeleza fact kabisa mkuu,Ila kumbuka Russia anaijua mipango Yao yote ya wamagharibi,thus why unaona kila wakija na hiki jamaa anategua ,kirahisi!! ninachokiona mm uliyoeleza nikweli ndo lengo la US ,Ila US huwa hawezi kukamilisha mpango wake mpaka apate kampani na watu wa kumjoini ,Ila awamu hii imekuwa tofauti ,mataifa rafiki na US yameshtuka huu mchezo wa US ,na Kama unavyoona hawako tayari Kama mwanzo kumunga mkono kwenye mipango yake ,ambayo kimsingi haina faida zaidi ya kuleta giza kwa mataifa. mfano German alikataa bila kuficha hayuko tayari kuunga mkono vikwazo vya katazo la kununua mafuta ya russia ,kwa dalili hizi Basi US awamu hii ata feli Sana kukamilisha mpango wake dhidi ya russia .
Wanamuunga mkono,, fatilia vizuri nchi zinazotoa misaada kwa Ukraine, German, France, Poland, Italy, Uk, etc
 
Mataifa ya ulaya yameplan kununua gas kutoka algeria sasa leo waziri wa mambo ya nje wa urusi nae kaenda huko huko algeria.pia tuna bidi kujua algeria ni mshirika mkubwa wa urusi
Wanatapatapa kutokana na maamuzi ya kishoga.Unajuwa Ulaya ina maraisi na mawaziri mashoga tele.Hivyo daima mawazo yao yananuka shombo.
 
Sumu haijaribiwi kwa kulambwa

IMG_20220510_152257.jpg
 
Mataifa ya ulaya yameplan kununua gas kutoka algeria sasa leo waziri wa mambo ya nje wa urusi nae kaenda huko huko algeria.pia tuna bidi kujua algeria ni mshirika mkubwa wa urusi
Wanasema every one has a plan until they are punched on their face [emoji41] Tusogezee hizo Popcorn tuendelee kutafuna maana show inazidi kunoga.

Russia has shown us namna hizi sanctions zilivo bluff. Western wamepoteana... Insanity is doing the same thing over and over huku ukitaraji matokeo ya tofauti. Na hiki ndicho wanachofanya, it's beyond embarrassing.
 
Huku masahibu yanayoipata Ukraine yakiwa wazi kwa ulimwengu kutokana na maamuzi yaliyokuwa hayakuwa ya ulazima wala hekima,Finland nayo kila siku inasisitiza kutaka kujiunga na umoja wa NATO. Nasikia raisi wa nchi hiyo ni mwanamke.
Hiyo nchi Waziri mkuu ndio mwenye nguvu ndiye anayeongoza serikali ni dada Nadhani wa around 35 years. Haitakuwa mara ya kwanza kuchapana walishapigana enzi za USSR
 
Mbona unalitetea kwa nguvu sana hili jambo inaonekana na ww ni mdau nn?

Urusi ilishapiga marufuku ushoga tangu 2014 ww utabisha lakini huo ndio ukweli, maana hizo habari zilitangazwa na vyombo vyote vya habari duniani na tulisikia huwezi kumdanganya mtu.
Hao jamaa hawapendi kusemwa. Tafadhali muache tusijewekewa vikwazo kwakuwabughudhi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Mataifa ya ulaya yameplan kununua gas kutoka algeria sasa leo waziri wa mambo ya nje wa urusi nae kaenda huko huko algeria.pia tuna bidi kujua algeria ni mshirika mkubwa wa urusi

Algeria ni mdau wa Russia hawawezi pale aseee. Unaona [emoji1427][emoji1427] walivoanza kumtishia Algeria
IMG_2981.jpg
 
Russia acts and take actions with the main Goal of not affecting Raia wa kawaida na nchi zote zilitakiwa zifanye hivyo, ila ajab hii hali wenye akili finyu wanaitafsiri kama udhaifu kwa Russia.

Katika zama tulizonazo its rarely kuona ama kupata viongozi wanaojali well being ya Raia wao.

Nchi ni kubwa kuliko kiongozi aliyepo madarakani. Kutofautiana kwa viongozi kisha mapambano kuelekezwa kwa Raia ni utoto wa hali ya juu. Ugonvi uanzishwe na wengine kisha mapambano wapambane wengine na hiki ndicho kinachowakumba Raia wa Europe.

Hali ilivo sasa ni mbaya, je vipi kama nae PUTIN angekuwa na utoto kama wa viongozi wa magharibi aanze kushambuliana nao kwa vikwazo like tapping Off Gas supply. Ambao wangeumia zaidi ni wakina nani? Viongozi au Raia wa kawaida?

But kwasabab Russia kuna watu wazima, restraining from that basi watoto wa mtaa wa pili wanaona kama ni udhaifu.

Hivi sasa wapo kwenye janga lile lile la Inflation, bei ya bidhaa ziko juu hivo kumuathiri zaidi Raia wa kawaida. On top of that wanatangaza kuongeza tariffs kwa bidhaa worth around £1.4B toka Russia. Kikawaida hata kwa hesab za chini kabisa. Tariffs huwa zinakuwa reflected kwa Importers na watumiaji wa mwisho na sio kwa Exporters.

Hapo watumiaji wa mwisho ni Raia wao wenyewe, so hii ni kama kuwapiga sanctions Raia wao wenyewe, Ase hivi Ukraine na hao Azov wako worth kufanya suicide ya namna hii?

Kwa mfano hapa TZ, Ushuru wa bidhaa kutoka nje ukiongezwa maana ake ni kua bidhaa hizo hizo kwa mtumiaji wa mwisho ambae ni Raia wa kawaida atavinunua kwa bei juu... Sasa je hapo ni kumkomoa mleta hizo bidhaa au mtumiaji wa hizo bidhaa?

Kuna jamaa mmoja aliwahi sema kua "Every bad institutions in this world ends by Suicide"... Hiki ndicho tunachokishuhudia hivi sasa.
 
Unautetea sana ndomana nikakuuliza
Wewe unaonekana mmoja wa hao wanaoshindwa kujadili mada yoyote bila kuingiza maneno kama shoga au gay. Unaonekana unalazimishwa. A sign of inner tendency well known in clinical psychology. A tragic situation for affected person lakini usumbufu mkubwa kwa watu katika mazingira yake. Kawaida lakini kwa compulsive personality.
Nakuambia, bwana: umeshaonyesha wewe u mmoja wa washoga katika uzi huu. (sikubagui wala kukutukana, nasema zu)
 
Majeshi ya Russia yameunyeshelezea mji wa Odesa mvua ya makombora ktk siku na wakati ambao rais wa Umoja wa Ulaya kautembelea mji huo. Ilimlazimu rais huyo kwenda kujikinga na moto wa makombora hayo kwenye handaki (bunker)...asante sana Putin, lazima Rais wa Umoja wa Ulaya nae aonje ladha na shubiri ya mtikisiko wa mashambulizi yako.

Kwa maelezo zaidi na video toka DW fata link hapa chini

SmartSelect_20220510-160147_Gallery.jpg


 
Wewe unaonekana mmoja wa hao wanaoshindwa kujadili mada yoyote bila kuingiza maneno kama shoga au gay. Unaonekana unalazimishwa. A sign of inner tendency well known in clinical psychology. A tragic situation for affected person lakini usumbufu mkubwa kwa watu katika mazingira yake. Kawaida lakini kwa compulsive personality.
Nakuambia, bwana: umeshaonyesha wewe u mmoja wa washoga katika uzi huu. (sikubagui wala kukutukana, nasema zu)
Kukereka kwako na kujitetea kwako ni dalili tosha kwamba huenda we ni mmoja wao

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Majeshi ya Russia yameunyeshelezea mji wa Odessa mvua ya makombora ktk siku na wakati ambao rais wa Umoja wa Ulaya kautimbelea mji huo. Ilimlazimu rais huyo kwenda kujikinga na moto wa makombora kwenye handaki (bunker)...asante sana Putin, lazima viongozi wa Umoja wa Ulaya nao waonje ladha na presha ya mtikisiko wa mashambulizi yako.

Kwa maelezo zaidi na video toka DW fata link hapa chini

View attachment 2219134

Angevunjika japo mguu huyo shetani

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom