Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Uraaa uraaaa
Uraaa uraaaa
Aiseee 🤣
This is scrap metal to say the least.Yaani the West wameifanya Ukraine kuwa damping ground for WWII obselete millitary hardware!Shameful indeed.View attachment 2218418View attachment 2218419View attachment 2218420View attachment 2218421View attachment 2218422View attachment 2218423View attachment 2218424View attachment 2218425
May 9, 2022. Donetsk. captured Ukrainian equipment
Unaxhezeshwa ngoma usiyo ijua. Inakupasa kama unasusa utengeneze bidhaa zako na sio uhame kutoka kwa beberu mmoja kwenda kwa beberu mwingine. Wote unao wasikia huko wanatetea maslahi yao. Hakuna anayetokwa povu huko ambaye yupo kwa ajili ya maslahi ya mwafrikaUrusi asahau hatuwezi fanya nae Tena biashara kwani tunampa pesa anazigeuza kua silaha kuua binadamu Tena watoto
Mwendawazimu mkubwa
Kumbe! Nisipokosei Ukraine iliweza kutumia hiyo "scrap" mara nyingi kuinua vifaru, ndegevita na kadhalika za Putin kufikia ngazi ya "scrap".This is scrap metal to say the least.Yaani the West wameifanya Ukraine kuwa damping ground for WWII obselete millitary hardware!Shameful indeed.
Nimekuuliza op yako 821kj hujanijibu naongea na mtu ambae hana exposure. Tatizo lako unakaza tu shingo but uwezo mdogo sana. Mtu mwenye defence mechanism eti ( msamie shemeji yako ) inaonekana jinsi ulivyo kilaza kuzani kuwa kila mtu anaishi kwa shemeji yake kama ulivyo wewe. Kwanza shika adabu yako mimi sina ushabiki wa kipumbavu eti "pro nato'' sina huo utoto. Unajifanya kichaa kujua kuwa mitandao yote ya kijamii ni rahisi mno kusambaza propaganda kuliko vyombo rasmi vya habari. Nyuma kidogo radio zilikuwa propaganda machine na magazeti hata kipindi cha Adolf Hitler magazeti yalitumika kuoneza propaganda za wanazi. Nchi nyingi zenye socialist elements wana propaganda sana include russia, mwanzoni Russia alifanya propaganda ( alifanya military drilling kalibia kabisa ni mipaka ya ukraine ) alipoambiwa anapanga uvamizi alikataa, mwisho kilichotokea mpaka leo kinaonekana. Note, kufanya propaganda ndani na nje ya uwanja wa vita nilazima kwa ajili ya kuongeza morale kwa askari.Jifunze kwanza uandishi una mihemuko sana. Critical thinker hana uandishi mbovu kama huu. Nilikuuliza simple tu nitajie Propaganda za Russia kwenye hii operation nipe na evidence umeishia kujambajamba unakuja na data/source za tiktok.
Kwa akili zako hizi halali kukuambia unakaa kwa shemeji au nyumbani manake mtu mzma anayejitambua hatumii hizo tiktok. Inaonesha wewe bado mtoto hujajitambua bado. Wewe ndo Mtu wa kwanza humu ndani kutuleta taarifa za kutoka tiktok[emoji28][emoji28]. Huon hata Pro NATO wenzako hawakupi like sababu unandika pumba. Msalimie shemeji
Jaribu kujifunza matumizi ya paragraphs.Nimekuuliza op yako 821kj hujanijibu naongea na mtu ambae hana exposure. Tatizo lako unakaza tu shingo but uwezo mdogo sana. Mtu mwenye defence mechanism eti ( msamie shemeji yako ) inaonekana jinsi ulivyo kilaza kuzani kuwa kila mtu anaishi kwa shemeji yake kama ulivyo wewe. Kwanza shika adabu yako mimi sina ushabiki wa kipumbavu eti "pro nato'' sina huo utoto. Unajifanya kichaa kujua kuwa mitandao yote ya kijamii ni rahisi mno kusambaza propaganda kuliko vyombo rasmi vya habari. Nyuma kidogo radio zilikuwa propaganda machine na magazeti hata kipindi cha Adolf Hitler magazeti yalitumika kuoneza propaganda za wanazi. Nchi nyingi zenye socialist elements wana propaganda sana include russia, mwanzoni Russia alifanya propaganda ( alifanya military drilling kalibia kabisa ni mipaka ya ukraine ) alipoambiwa anapanga uvamizi alikataa, mwisho kilichotokea mpaka leo kinaonekana. Note, kufanya propaganda ndani na nje ya uwanja wa vita nilazima kwa ajili ya kuongeza morale kwa askari.
Mshahara imepungua kwa asilimia 11 Kwa wafanyakazi,
Ni mwezi wa pili wamelipwa Robo Tatu,
Account za pesa za Urusi nje zimekuwa seized
Wa shirika wake kibiashara wameathirika zaidi na kusitisha baadhi ya biashara na Urusi
Hawategemei kutoa ajira mpya Kwa miezi 36 ijayo wataajiri Kwa vitengo maalumu tu!
Bloomberg: Russia’s economy deals with the worst recession in three decades.
Bloomberg cited an internal forecast by Russia's Finance Ministry.
Britanicca