Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2218343

🔥🔥🔥Ukraine is winning 🔥 🔥 🔥
Jamani niye marafiki wa Putin mnatumia akili ya ajabu. Unataja goli za upande mmoja pekee, tayari unatangaza hitimisho.
Kumbe: "YANGA - SIMBA 2: ? ". USHINDIIII! (ya nani??)

Tujifunze: ukisoma propaganda nyingi mno tena kila siku, unabaki na athari za kudumu
 
Mshahara imepungua kwa asilimia 11 Kwa wafanyakazi,

Ni mwezi wa pili wamelipwa Robo Tatu,

Account za pesa za Urusi nje zimekuwa seized

Wa shirika wake kibiashara wameathirika zaidi na kusitisha baadhi ya biashara na Urusi

Hawategemei kutoa ajira mpya Kwa miezi 36 ijayo wataajiri Kwa vitengo maalumu tu!



Bloomberg: Russia’s economy deals with the worst recession in three decades.

Bloomberg cited an internal forecast by Russia's Finance Ministry.





Britanicca
 
Mshahara imepungua kwa asilimia 11 Kwa wafanyakazi,

Ni mwezi wa pili wamelipwa Robo Tatu,

Account za pesa za Urusi nje zimekuwa seized

Wa shirika wake kibiashara wameathirika zaidi na kusitisha baadhi ya biashara na Urusi

Hawategemei kutoa ajira mpya Kwa miezi 36 ijayo wataajiri Kwa vitengo maalumu tu!



Bloomberg: Russia’s economy deals with the worst recession in three decades.

Bloomberg cited an internal forecast by Russia's Finance Ministry.





Britanicca
Yaani source yako ni tweet ya mtu anaejiita @kyiv independent, kwahiyo nawe umegeuka great thinker wa kuleta huu uharo humu jukwaani duh!. Yaani ni sawa na mie pro- Putin nitweet au nipost insta kuwa Putin ameichukua Odessa halafu mpuuzi Kama wewe aje afungue thread humu aseme Odessa imechukuliwa tayari halafu source ni fantasy tweet yangu au post yangu ya insta. Hao ndo wabongo.!!!
 
UPDATES:

Neo-Nazi Azov Battalion Ordered by Pentagon to Never Surrender Because of US, UK, French and NATO Officers Trapped in Azovstal
Mathanzua tena! (na habari zake potovu anazonakili kwenye tovuti za kibiashara za Marekani zinazouza nadharia za njama - kama juzi kuhusu jenerali wa Kanada huko Azovstal aliyekamatwa na Warusi lakini kwa sababu ambazo bado ni siri kabisa Warusi hawamwonyeshi wala kumtangaza!)
 
IMG_20220509_233045_143.jpg
IMG_20220509_233041_083.jpg
IMG_20220509_233038_582.jpg
IMG_20220509_233034_482.jpg
IMG_20220509_233114_450.jpg
IMG_20220509_233104_295.jpg
IMG_20220509_233050_326.jpg
IMG_20220509_233031_928.jpg


May 9, 2022. Donetsk. captured Ukrainian equipment
 
Spertsnaz Nilisoma nao wawili hawa jamaa huwa wanakula misumari kama karanga
Some time wakichoka kubeba kichwa huwa wanakikata wanakiweka kwenye begi kisha wanaendelea na safari

Sema kuna watatu walijaribu kuingia anga zangu aaaah kichapo nilichowapa acha kabisa kwanza nilikuwa nawapa vifuti the nawarusha juu kama mpira wakiwa juu nawafata huko huko kwa tik tak

Sent using Jamii Forums mobile app
Bollywood
 
Yugoslavia haikuvamiwa na yeyote. Yugoslavia ilikuwa shirikisho la jamhuri na sehemu zake ziliachana mwaka 1992. Serbia ilijaribu kwa muda kutwaa maeneo ya jamhuri jirani kama Kroatia na Bosnia, na hapo sehemu za jeshi lake zilianza kuua Waislamu wengi wa Bosnia. Hapo nchi za Ulaya ziliingia kati, lakini hazikuvamia, zilitumia jeshi la anga.

Sasa eleze wewe kwa nini unaleta Yugoslavia nikitaja mfano wa mkataba wa Helsinnki kuhusu usalama na ushirikiano katika Ulaya ambako ncho zote za Ulaya zilipatana
1) mipaka ndani ya Ulaya isibadilishwe tena kwa nguvu
2) kila nchi ina haki kuamua yenyewe kama inataka kushirikiana au kutoshirikiana na nchi nyingine.

Wakati ule Serbia (si Yugoslavia) ilivamia nchi jirani ikajaribu kubadilisha mipaka. Sasa Putin anavamia nchi jirani anajaribu kubadilisha mipaka.
Pamoja na kuzuia nchi jirani isichague ushirikiano wake na nchi nyingine.
bila mkaubaliano yyte , hiyo ndio logic kwann uamke uamue kubadilisha mipaka kimabav
 
Maoni yangu leo juu ya Tamasha la Victory Day la Russia Federation.

Nimeitizama kuanzia mwanzo hadi mwisho, kuna kitu niliki'note ingawa sikutaka kukurupuka kukisema immediately baada ya tukio.

Ila kabla siku haijaisha wacha niseme ya Moyoni.

[emoji95] Katika wakati ambao dunia ipo katika "Chaos", isingekuwa busara ku-show off full military capabilities ya Vifaa vya kijeshi kwenye Gwaride kwani ingeleta tafsiri as if Russia anafanya vitisho to the rest of the world...

Na hiki tunafurah hakijatokea, this show how Russia inaongozwa na Viongozi wenye hekima na wako humble.

[emoji95] Media zote kubwa zilikuwa zikieneza habari kua Putin will make some major announcements hii leo kwenye Victory Day. Wengine walienda mbali zaidi kudai kua leo Putin ata'declare war wazi wazi kwa Ukraine.

Lakini kawa-outshine with their wrong predictions, katoa nice speech with zero announcements ya any kind related to War. None at all... Hapa kaonesha wazi namna alivo systematic kwa kutochanganya his military policy with Holidays.

[emoji95] Na katika hiki kipindi ambacho "Truth is first Casualty"... Kujizuia kutozungumza mengi kuhusu Ukraine zaidi ya kile kidogo alichozungumza kwangu mie naona ni busara ya hali ya juu...

Kwasababu kila neno lingebinuliwa na kubadilishwa uhalisia wake...

Na it look like western walikuwa wamejipanga kwenye hii Victory Day, maana ajab huko YouTube all western Mainstream Media I know zilikuwa live kurusha matangazo hayo moja kwa moja...

Ikumbukwe ni jana tu ahead of victory day walitangza kwamba Russia Army wameua watoto zaidi ya 600... Kama kawaida yao ku-demonize RF na ku'divert attention ndio Priority yao.

[emoji95] Kwa ufupi nilichokisia toka kwake katika hotuba yake kaeleza sababu haswa za kuendesha military operation hapo Ukraine, akapongeza advancement inayofanywa na jeshi lake ila zaidi akipongeza achievement of the Soviet people during World War 2.

Na nahisi lau ka hizi MSM zingeiona hotuba yake kabla zingeunyuti [emoji23]... hapa naona kama wameishobokea huku walichokitarajia kama kauli za vitisho na chokochoko za kupamba headlines zao sicho walichokipata...

Life z too funny indeed [emoji847]
yote hayo hayaondoi ukweli kuwa Putin kazingua kuvamia Ukraine , hizo ni mambo za uvamiz zilipendwa
 
Tunatoka Jf mpaka tiktok falla sana wewe mtoto. Huko tiktok ndo unapatia taarifa zako ndo unazileta humu jf. Dogo inaishusha hadhi jf huku kuna critical thinkers afu unataka niamin kwmba akili yako ipo sawa. Endelea kujitiktok dogo mimi ni mzee mzima situmii hiyo mitandao.

Ndomana tunasema daily huu uzi umevamiwa na watoto msio na uelewa wowote na vita, kama tiktok ndo source ya taarifa zako dogo nenda jukwaa la mapenzi tu huku hakukufai kabisaa unajaza uzi tu.
hahaaa jukwaa la mapenz ? hahahaaaaa
 
Kumbe kushambulia nchi nyingine kwa mashambulizi ya anga sio uvamizi?

Kama Nato walikuwa na haki ya kuzihami kosovo iweze kujitenga ili kuondokana na unyanyasaji wa Serbia, basi na Urusi ina haki ya kuihami Dombas ili iondokane na uonevu wa Ukraine.
ndan ya donbass kuna hamasa ya urusi kushinikiza ijitenge ila wapo raia wengi wanaipinga kujitenga
 
Back
Top Bottom