mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 519
- 664
Kumbe hata wew unachangia urusi kufanya uovu kwa kuwapa hela!Urusi asahau hatuwezi fanya nae Tena biashara kwani tunampa pesa anazigeuza kua silaha kuua binadamu Tena watoto
Mwendawazimu mkubwa
Kumbe hata wew unachangia urusi kufanya uovu kwa kuwapa hela!Urusi asahau hatuwezi fanya nae Tena biashara kwani tunampa pesa anazigeuza kua silaha kuua binadamu Tena watoto
Mwendawazimu mkubwa
Hadi leo sijui mfano kwamba NATO iliingia nchi fulani. Ninachojua kuna nchi ambazo zimejiunga na NATO kwa hiari yao.Una msingi wowote wa kwanini NATO wanataka kutia maguu Ukraine!? Is it for justice!? Ni kwamba wanaipenda sana Ukraine au!?
Kwa nini Nato iliundwa!? Unaweza kunionesha ni kwa vipi Urusi itakuwa salama pamoja na upanukaji huu wa NATO kuelekea ulaya mashariki!?
Au unataka statement kbs ya wanato wenyewe kwamba wanataka kuivamia Urusi ndio uamini!?
Mshahara imepungua kwa asilimia 11 Kwa wafanyakazi,
Ni mwezi wa pili wamelipwa Robo Tatu,
Account za pesa za Urusi nje zimekuwa seized
Wa shirika wake kibiashara wameathirika zaidi na kusitisha baadhi ya biashara na Urusi
Hawategemei kutoa ajira mpya Kwa miezi 36 ijayo wataajiri Kwa vitengo maalumu tu!
Bloomberg: Russia’s economy deals with the worst recession in three decades.
Bloomberg cited an internal forecast by Russia's Finance Ministry.
Britanicca
Mshahara imepungua kwa asilimia 11 Kwa wafanyakazi,
Ni mwezi wa pili wamelipwa Robo Tatu,
Account za pesa za Urusi nje zimekuwa seized
Wa shirika wake kibiashara wameathirika zaidi na kusitisha baadhi ya biashara na Urusi
Hawategemei kutoa ajira mpya Kwa miezi 36 ijayo wataajiri Kwa vitengo maalumu tu!
Bloomberg: Russia’s economy deals with the worst recession in three decades.
Bloomberg cited an internal forecast by Russia's Finance Ministry.
Britanicca
Picha si kweli. Haionyeshi meals huu. Hakuna mgeni rasmi aliyefika kwa paredi. Menginevyo ninaombea Urusi hali yake isiwe vibaya jinsi ilivyo Korea Kaskazini.
Mie kasharudi na jana nlikua nae!!!Mshikaji wangu anarudi bongo alikua anafanya kazi kiwandani wamepunguza waafrica[emoji28][emoji28]
one time Russia will attack LPR after LPR wish to join NATO[emoji1238][emoji1263][emoji635]Talks on the recognition of the Lugansk People's Republic (LPR) are underway with Syria, Venezuela and a number of other countries, the LPR ambassador to Russia, Rodion Miroshnik, said in an interview with Sputnik.
Ni vyema kuuliza kama hujui.Hadi leo sijui mfano kwamba NATO iliingia nchi fulani. Ninachojua kuna nchi ambazo zimejiunga na NATO kwa hiari yao.
Ninajua nchi zilizoingiliwa kwa nguvu na Urusi. (CSSR 1968, Hungaria 1956, Georgia, Poland 1939, Latvia - Estonia 1940, sasa Ukraine).
Ninavyoelewa ilikuwa tabia hiyo ya Urusi iliyowafanya wengine kushikamana na kuanzisha NATO.
Unammaanisha putin huyu??Sema Putin! Tumia P kubwa
Kwa nini unaandika sasa NATO / USA? Unafikiri ni kitu kimoja?Ni vyema kuuliza kama hujui.
Nchi zilizoingiliwa kinguvu na NATO/US huzijui!? Ama kweli
Nato ilianzishwa kwa sababu ya urusi au USSR!?
Ushoga ni kosa kisheria ndani ya shirikisho la Urusi kama hujui vitu uwe unauliza au ukae kimia.Bwana Putin anatawala tangu miaka 20. Hadi leo hajaleta sheria inayopiga marufuku matendo ya kishoga ambayo so marufuku Urusi. Tafadhali tusitangaze mambo yasiyo na msingi.
URUSI SIO USSRNi vyema kuuliza kama hujui.
Nchi zilizoingiliwa kinguvu na NATO/US huzijui!? Ama kweli
Nato ilianzishwa kwa sababu ya urusi au USSR!?
Tena mji mmoja ambako watu wengi wanaongea kirusi. Tena Warusi Waukraine wanaofundishwa na Putin kwamba anakuja kuwaokoa, wapende wasipende, hata kama ni lazima kuwaua.
Mwone Comrade Brezhnyew (kiongozi wa chama cha Urusi) akionyesha upendo kwa Comrade Honecker wa GDR .Ushoga ni kosa kisheria ndani ya shirikisho la Urusi kama hujui vitu uwe unauliza au ukae kimia.
Tafadhali utaje jina la sheria, tarehe yake na kifungu. Sidhani ni kweli. Mimi naona walikuwa na kifungu 121.1 katika sheria ya jinai iliyokataza kuingiliana kati ya wanaume. Kifungu kilifutwa mwaka 1993.Ushoga ni kosa kisheria ndani ya shirikisho la Urusi kama hujui vitu uwe unauliza au ukae kimia.
Unanijibu mimi auURUSI SIO USSR
Sifikiri ni kitu kimoja lakini ni kitu kimoja. Nato ni usa na usa ndio nato.Kwa nini unaandika sasa NATO / USA? Unafikiri ni kitu kimoja?
Marekani iliingia nchi kadhaa. Kumbuka wakati ilivamia Irak, nchi mbalimbali za NATO zilikataa zikapinga. Kuna mifano mingine.
NATO iliundwa kwa kusudi la kuteteana, kama mwanachama anashambuliwa.
Namaanisha Putin huyuhuyu ambaye mnamuogopa kizazi cha nato/usUnammaanisha putin huyu??
Tupe habari kamili North korea hali mbaya kivipi?? Sio unaleta habr nusunusu tupe uchambuzi