Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tafadhali utaje jina la sheria, tarehe yake na kifungu. Sidhani ni kweli. Mimi naona walikuwa na kifungu 121.1 katika sheria ya jinai iliyokataza kuingiliana kati ya wanaume. Kifungu kilifutwa mwaka 1993.
Acha ubishi usio kuwa na maana yeyote, sheria ya kupiga marufuku ushoga kwenye shirikisho la Urusi ililejeshwa mwaka 2014 na hili jambo lilizua mzozo na ukosoaji kutoka nchi za magharibi.
Na kutokana na hii sheria Marekani alisusia mashindano ya Olympic yaliyo fanyika kwenye jiji la Sochi nchini Urusi.
 
We all are already dying and we will be dead for too long. Au unahisi wewe hutokufa!?

NATO wanataka kuivamia Urusi ila hawawezi na hawatoweza. Couple of cowards bunching up won't scare the Bear
Bila Shaka mambo yanayoendelea ukraine ni proxy war since the westerners have been arming ukraine. Under this situation am curious with Russia's military superiority on her complain over western aggression. Does the victor complain?


 
Tafadhali utaje jina la sheria, tarehe yake na kifungu. Sidhani ni kweli. Mimi naona walikuwa na kifungu 121.1 katika sheria ya jinai iliyokataza kuingiliana kati ya wanaume. Kifungu kilifutwa mwaka 1993.
The Russian federal law "for the Purpose of Protecting Children from Information Advocating for a Denial of Traditional Family Values," also referred to in English-language media as the gay propaganda law[1] and the anti-gay law,[2][3][4][5] is a bill that was unanimously approved by the State Duma on 11 June 2013 (with just one MP abstaining—Ilya Ponomarev),[4] and was signed into law by President Vladimir Putin on 30 June 2013.
 
Ni vyema kuuliza kama hujui.
Nchi zilizoingiliwa kinguvu na NATO/US huzijui!? Ama kweli

Nato ilianzishwa kwa sababu ya urusi au USSR!?
Mkuu Kuna watu humu unaweza kuchemka kichwa kwa sbabu ya kuwajibu au kuwaelimisha,hawajui vitu lakini wanajifanya wanajua.
Kwa hiyo unaanza kuwapa historia ndipo unawapa majibu.
 
Samahanini nina swali.

Nilisikia May 9 Putin atatoa tangazo kuhusu hii vita na wengi waliamini anatangaza all out war.

Naomba kujua kama ametoa tangazo lolote
 
The Russian federal law "for the Purpose of Protecting Children from Information Advocating for a Denial of Traditional Family Values," also referred to in English-language media as the gay propaganda law[1] and the anti-gay law,[2][3][4][5] is a bill that was unanimously approved by the State Duma on 11 June 2013 (with just one MP abstaining—Ilya Ponomarev),[4] and was signed into law by President Vladimir Putin on 30 June 2013.
Asante, unathibitisha nilichoandika. Hakuna sheria inayokataza matendo ya kishoga nchini Urusi. Sheria iliyokuwepo ilifutwa 1994. Sheria ya mwaka 2014 inahusu kulinda familia ya kimila ilikataza kutangaza au Kusini hadharani njia mbadala za kuishi pamoja.
Natumaini tofauti inaeleweka.
 
Je una msingi wowote kwamba NATO inataja kuvamia Urusi? Kwa shabaha gani??
Tafadhali tusilete hapa mambo yasiyo na msingi.
Haya yako ya kumpinga Putin ndio yenye msingi?
Yaani aseme Putin. Waliotuhumiwa hawajakanusha. Halafu mtu mmoja toka Buza kashiba chapati maharage aje yeye kupinga!!!!

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ni vita ya jumla ya Russia kuichukua sehemu yote ya jimbo la Donbas ili kuunganisha uzuri jimbo la Crimea na sehemu ya kusini mashariki.

Tayari kuna tishio duniani la upungufu wa chakula baada ya Russia kuizuia Ukraine kusafirisha vyakula kwenda sehemu mbalimbali duniani.
 
Hadi leo sijui mfano kwamba NATO iliingia nchi fulani. Ninachojua kuna nchi ambazo zimejiunga na NATO kwa hiari yao.
Ninajua nchi zilizoingiliwa kwa nguvu na Urusi. (CSSR 1968, Hungaria 1956, Georgia, Poland 1939, Latvia - Estonia 1940, sasa Ukraine).
Ninavyoelewa ilikuwa tabia hiyo ya Urusi iliyowafanya wengine kushikamana na kuanzisha NATO.
Kutokujua kwako hakuondoi ukweli wa NATO kuwa waharibifu wa dunia

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ni vita ya jumla ya Russia kuichukua sehemu yote ya jimbo la Donbas ili kuunganisha uzuri jimbo la Crimea na sehemu ya kusini mashariki.

Tayari kuna tishio duniani la upungufu wa chakula baada ya Russia kuizuia Ukraine kusafirusha vyakula kwenda sehemu mbalimbali duniani.
Leta source please
 
Ni vyema kuuliza kama hujui.
Nchi zilizoingiliwa kinguvu na NATO/US huzijui!? Ama kweli

Nato ilianzishwa kwa sababu ya urusi au USSR!?
NATO kuanzishwa ilikuwa shauri la USSR. Nchi nyingi kutaka kujiunga na NATO shauri la Urusi.
Maana Poland, Latvia, Lithuania, Estonia, Hungaria wote wanakumbuka jinsi walivyoshambuliwa na Urusi kabla ya kuwepo kwa USSR, kuwa koloni za Urusi, kushambuliwa tena na Urusi kwa jina la USSR, hawakuwa na hamu kuona marudio.
 
Kutokujua kwako hakuondoi ukweli wa NATO kuwa waharibifu wa dunia

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Unamjibu jamaa anayekupa mifano jinsi Urusi ilivamia nchi nyingine. Huna jibu.
Unajaribu kuficha udhaifu kwa kuleta mada tofauti. Je una mifano gani NATO kuvamia nchi ??

(Mimi nakumbuka Afghanistan pekee, ilikuwa jibu la kutetea Marekani iliyoshambuliwa kutoka Afghanistan, na hapa walikuwa na sababu ya kuingia ilhali kujitetea ni sababu inayokubalika. Lakini baadaye walifanya vibaya hawakuondoka na kusababisha vifo vingi. Tukumbuke ulikuwa uvamizi wa pili wa Afghanistan baada ya Urusi kuvamia 1979)
 
Back
Top Bottom