Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

India yaripoti kuwa ujinga wa Zelensky umeigharimu pakubwa Ukraine baada ya Zelensky kushauriwa na Uingereza kutuma kikosi maalumu kwenda kukomboa Snake Island (kisiwa cha Ukraine) toka mikononi mwa majeshi ya Russia hali iliyopelekea kikosi hicho maalumu kuangamizwa chote pamoja na kuharibiwa vyombo na zana zao za kivita.

Ktk operesheni hiyo ya Zelensky iliyofeli vibaya, Ukraine imepoteza drone 30, ndege 14 (helicopta 10 na ndegevita 4), melivita 3 na wanajeshi wake bora zaidi ya 50.

Screenshot_20220511-092312_Chrome.jpg
Screenshot_20220511-092805_Chrome.jpg

Screenshot_20220511-092416_Chrome.jpg
 
India yaripoti kuwa ujinga wa Zelensky umeigharimu pakubwa Ukraine baada ya Zelensky kushauriwa na Uingereza kutuma kikosi maalumu kwenda kukomboa Snake Island (kisiwa cha Ukraine) toka mikononi mwa majeshi ya Russia hali iliyopelekea kikosi hicho maalumu kuangamizwa chote pamoja na kuharibiwa vyombo na zana zao za kivita.

Ktk operesheni hiyo ya Zelensky iliyofeli vibaya, Ukraine imepoteza drone 30, ndege 14 (helicopta 10 na ndegevita 4), melivita 3 na wanajeshi wake bora zaidi ya 50.

View attachment 2220161View attachment 2220163

View attachment 2220162
Balaaaaaa
 
Hawajah na hawatokuja kaa kua serious hata siku moja, kuwaelewa hawa watu hadi ujichetue akili kwanza. Em Imagine A War So Horrific, So Destructive, So Inescapable kama wanavyodai kwenye vyombo vyao vya habari, that hawa jamaa "U2" Can Fly Into The Capital And Perform A Concert.

IMG_20220511_111751_186.jpg

Na wakati haya yanaendele kule Jeshi lao linakufa ka nzige...

Baadae ataja tangaza tembeza bakuli lake la michango... Slava Ukraine 😪

IMG_20220421_154501_831.jpg
 
Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
 
Hapo atapigwa vibaya sana Ukraine
 
Walijua wameharibu mfumo wa SU 300 Kumbe mfumo uliotumika hauko pale kisiwani wamepoteza bayktar drone 30 usiku mmoja ndege tatu helikopta mbili boat 3 askari 50

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Nakumbuka kipindi cha vita ya kagera Jwtz walikuwa wanaangaika kuvuka mto kagera kwa wiki nzima kila wakijaribu wanakutana na mizinga ya vikosi imara vya uganda

Captain mmoja akajaribu kuvuka usiku kwa mitumbwi akakutana na mizinga ya vikosi imara vya uganda pia akapoteza askari 11
Majerali wa jwtz wakakasirika mno kupoteza askari 11 per one night katika hatua za mwanzo wa operation chakaza wakamtimua yule captain aliyepoteza askari 11 kutoka mstari wa mbele akapelekwa kuwa mkuu wa mahusiano kati ya jeshi na raia sasa hao wanaopoteza askari 50 kwa usiku mmoja kisa kiande cha jiwe baharini si wakalime tu
 
Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Hiyohiyo gesi ya Urusi ndio inaendesha viwanda vya silaha vya nchi za magharibi ambazo anazipokea ili aweze kupambana na Urusi.
 
Back
Top Bottom