Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sidhani wamepewa na NATO. Walitumia mbinu huohuo wakati walipozamisha manowari ya Moscow: walituma kwanza droni upande wa mbali wa nchi, manowari ilianza kufyatulia risasi dhidi ya droni. Halafu ilipigwa kwa roketi kutoka nchi kavu.
Nilimsikia jenerali wa NATO aliyesema Ukraine walibuni njia nzuri kutumia vifaa vichache walivyo navyo.
Hujui kitu kaa kimya
 
T-14 Armata - kifaru cha paredi
Wakati wa paredi ya 9 Mei mjini Moscow tuliweza kuona tena vifaru 3 vya aina T-14 Armata.
Kifaru hiki kilitangazwa na kusifiwa tangu kilipoonyeshwa mara kwa kwanza mwaka 2015.
Lakini hakikuonekana vitani.
Wakati ilipotangazwa viongozi wa kijeshi wa NATO walionyesha hofu kuwa kifaru hicho kitakuwa tatizo yaani data zake zilionyesha ina faida juu ya Abrams ya Marekani na Leopard II ya Ujerumani.
Sasa hofu hizo zimepotea - kwa sababu hali halisi T-14 Armata haipo. Au tuseme: inapatikana mara 20 hivi, si zaidi.

Urusi imeshindwa kukitengeneza. Kwa nini?
Baada ya mashambulio ya kwanza mwaka 2014 (Luhansk, Donetsk na Krim) nchi za magharibi zilianzisha vikwazo vya kwanza dhidi ya Urusi.
T-14 Armata iliundwa kwa tekinlojia ya kisasa kabisa - ambayo haipo Urusi penyewe, walinunua sehemu muhimu Marekani au EU. Vipuli hivi havipatikani tena kwa Urusi.
Basi nakala 20 zimepatikana - hakuna nyongeza.
Kifaru cha paredi.
Kweli Urusi si Zimbabwe!
Hili jamaa Siyo Zima kichwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1255] Ukraine admitted to large-scale export of wheat abroad

Despite the unsuccessful sowing campaign, Kyiv massively exports grain from the Odessa and Nikolaev regions in order to pay for lend-lease, and also accuse Russia of a new Holodomor along the way.

Trucks stuffed with Ukrainian grain have already been seen heading to the Moldovan port of Giurdulesti on the Danube.

Now the Ukrainian operational command "YUG" has called all this the grain export plans envisaged by Ukraine.
 
Kuhusu mashambulio dhidi ya mji wa Odessa:
1. Tunaona hekima ya ajabu kwamba Urusi inaleta uharibifu tena katika mji wa Ukraine ambako lugha kuu ni - Kirusi!
2. Tunasikia walitumia makombora bora aina ya Iskander. Walirusha Iskande 4 - sijui wapi msingi wa kujadili "mvua wa roketi" jinsi marafiki wa Putin walitangaza hapa?
3. Waliharibu hoteli 2, nyumba wa wakazi wa watu na shopping mall. Kumbe wanatumia hypersonic kuharibu miundombinu wa utalii wa Odessa??? Kweli?? Ama hawajui wanapolenga, au wanashindwa kulenga shabaha za kijeshi, au hypersonic yao ni hovyo??
 
Hivi Ule msafara wa kilometa 64 wa vifaru vya Urusi uliokuwa ukienda Kyiv umeishia wapi?
Unajua kama hamjui taktik za vita Bora mnyamaze, target ya Mrusi ilikuwa kuteka miji ya east Ukraine. Ile msafara ulikuwa ni kutia pressure Wana target ya kuivamia Kyeiv lakini Nia ya Mrusi ilikuwa sio Kyeiv na angeitaka angeibeba Kuna sehemu Ukraine alijipanga kama Malurpol mbona kaiteka.

Kama umelala basi endelea kulala utamka tu, we hujui eastern Ukraine ndio Kila kitu afu Kuna Sheria Kisha toa Mrusi Jana ukimrushia Scud tu anakupiga Nuclear sababu wanajitea Kwa kusema National Security Yao IPO hatarini, hapo Ukraine IPO kwenye hatari kutoweka kwenye map. Pia Nchi ambazo zinaleta hatari kwake hata USA na Muingereza wako hatarini pia.

Kule USA Wamarekani wanalia wanasema Biden kawaingiza kwenye vita,Jana USA wanasema Russian wamejipanga vita ya mda mrefu na ndio nilicho kuwa nawambia humu Kila vita ikichukua mda ni faida Kwa Mrusi.
USA walidhani Mrusi atapigana Siku Tatu au maximum mwezi sa kaukalia moto alidhani atakuta majivu.
 
IMG_20220511_060612.jpg
 
Back
Top Bottom