ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Una akili za kitoto! uko too lowPutin ni kama mwanamke, alikuwa anapiga kelele eti nato isijipanue zaidi eastern europe na kwamba waondoe majeshi yao, wakati huo sweden na finland walikuwa hawataki kujiunga nao,
leo, eastern europe is the most militarized region in the world,
finland and sweden will soon be nato members.
an opposite of what putin wanted.