Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ndio inaitwa bampa to bampa sio unaambiwa ivi unaleta ngonjera.
Well done
okay zinatumika!! ndio ligi sasa kutumika au kutokutumika? okay zimeleta effect gan adi sasa ? hizo linkall za kuchaji? hiv unajua serekal tola 2014 ilikua inaua raiya wale yenywee kulle donbas?
 
🙌🙌🙌 Nisamehe nimekosa mm nisamehe....
m apo nimeona coco kajibu kibingwa baada ya galip kusema Ukraine wameanza kutumia pikipiki true akaja na fact kwamba pikipiki zinatumika battle field since way back.
Na ndivyo mjadala unakua mzuri
 
Back
Top Bottom