Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
🔥🔥🔥The captain of the SBU of Poltava was liquidated on 07/05/2022 🔥🔥🔥
Ficha ujinga wako.
Juvelin ndio sababu Ukraine haijatekwa mpaka Leo. Hizi hotwizers ni offensive weapons ambazo Ukraine waliombaJuvelin imeshapoteza umaarufu wake,Sasa tunasubiri hii.
Jamani kwa nini tuna watu wengi vile wanaohitaji kupiga kelele juu ya mambo ambayo hawaelewi??? Hawezi kutafuta habari angalau kidogo kabla ya kujiaibisha hapa??Hawa jamaa hawajai kua Serious na hawatokua Serious abadani... Wameanza kutumia pikipiki za Umeme [emoji23]. Hii ndio mara yangu ya kwanza kusikia matumizi ya pikipiki vitani [emoji847]
View attachment 2219229
Ama kweli "Ukraine is Winning"
View attachment 2219230
This is like being sentenced to death on a bike [emoji119], hata jeshi letu la mgambo lisingefanya hivi, hapo charge ikiisha ndio kwamba anatembea kwa miguu ama [emoji848]
Another bloody show, people dying for sh*t...
Umaarufu wa nini?? Silaha haihitaji umaarufu inahitaji kufanya kazi yake, na hapa Javelin inaendelea kufanya vizuri.Juvelin imeshapoteza umaarufu wake,Sasa tunasubiri hii.
Walichofanywa Snake Island ni balaa. Russia anapiga strategic area yaani pigo moja linagusa vifaa vita na kundi la wanajeshi. Ukraine wanajificha kwenye trenches wanavizia vifaru viwili wanapiga picha. Mauripol jana zaidi ya askari 1000 wa Ukraine chali na bado inasemekana yapo mengiUmaarufu wa nini?? Silaha haihitaji umaarufu inahitaji kufanya kazi yake, na hapa Javelin inaendelea kufanya vizuri.
Ktk Delta force ya chok noris pikipik yake inarusha hadi mabom[emoji41][emoji41][emoji41]Special force nyingi tu wanatumia pikipiki. SEAL nao pikipiki wanazo. Delta force pia zipo...
Nani kaanza kumshambulia mwenzake, na nani yupo ndani ya nchi ya mwenzake?Who told you Ukraine anajidefend?? Kwahyo mpaka Sasa unaamini Russia anapgana na Ukraine??
United Nations wana kasoro zao, lakini kwa jumla wanafanya kazi vizuri bila kupendelea upande wowote!Matilda Bogner, the head of the United Nations Human Rights Monitoring Mission in Ukraine, said there is “credible” information regarding the mistreatment of Russian prisoners by Ukrainian troops during the war.
“We have received credible information of torture, ill-treatment and incommunicado detention by Ukrainian Armed Forces of prisoners of war belonging to the Russian armed forces and affiliated armed groups,” Bogner said on Tuesday.
Soma juu #38,890 . Nadhani kila jeshi linatumia pikipiki. Si special forces pekee. Tena hao wenye uwezo hutumia sasa pikipiki za umeme kwa sababu zina faida ya ukimya. Warusi wanatumia, Marekani wanatumia, sijui nani katika NATO pia, ningeshangaa sana kama China hawana tayari...
Sielewi. Habari ya mwisho kuhusu Snake Island ni shambulio la ndegevita 2 za Ukraine zilizoshambulia kituo cha Warusi huko (ajabu kwamba waliweza kufika mbali vile na ajabu kwamba Warusi hawana ulinzi huko).Walichofanywa Snake Island ni balaa. Russia anapiga strategic area yaani pigo moja linagusa vifaa vita na kundi la wanajeshi. Ukraine wanajificha kwenye trenches wanavizia vifaru viwili wanapiga picha. Mauripol jana zaidi ya askari 1000 wa Ukraine chali na bado inasemekana yapo mengi
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Hii ndio inaitwa bampa to bampa sio unaambiwa ivi unaleta ngonjera.'Hii ndo Mara yangu ya kwanza kuskia pikipiki vitani' alafu kuna kina Bwana Utam watakuja kulike hii post alafu waseme urussi imebarikiwa na wachambuzi. Jf imejaa wajuaji sana.
View attachment 2219269View attachment 2219272
View attachment 2219261
Urussi kwisha habari yake, zana nzito zimefika donbass. Hii inaitwa M777s na inaweza kupiga sehemu yeyote ndani ya 40km radiusView attachment 2219221
Una uhakika june watajiunga?? Kila siku mnapeleka siku mbele
Juvelin imeshapoteza umaarufu wake,Sasa tunasubiri hii.
Jamani kwa nini tuna watu wengi vile wanaohitaji kupiga kelele juu ya mambo ambayo hawaelewi??? Hawezi kutafuta habari angalau kidogo kabla ya kujiaibisha hapa??
Basi: 1) pikipiki zinatumiwa hadi leo kijeshi; ningeshangaa kusikia habari za jeshi fulani lisilo na pikipiki.
2.) Pikipiki za umeme zina faida kubwa: hazina kelele ambayo ni faida kubwa kweli
3) Kama ungejua kwamba Kalashnikov inatengeneza pikipiki ya umeme kwa jeshi la Putin, ungetuambia jinsi gani Warusi ni genius kutumia tekinolojia hii; ilhali hujui kitu na unamwona Ukraine kwenye pikipiki unaleta ujinga wa kishabiki tena!
Basi ona yafuatayo:
Kalashnikov Is Making an Electric Motorcycle For Russian Military and Police
The Russian defense giant Kalashnikov, best known for manufacturing the AK-47 assault rifle and other military and civilian weaponry, recently unveiled an electric motorcycle for Russian military and police forces. Revealed at the Army 2017 International Military-Technical Forum in the Moscow area, the new motorcycle is available in a dirt bike model for the military and a supermoto-style bike for urban police forces.
The United States is also working to build an electric motorcycle for troops under a DARPA acquisitions program. Electric motorcycles have the advantage of stealth and versatility, allowing small groups of troops to access remote areas quickly and without the racket of internal combustion giving away their position.
Chanzo: Kalashnikov Is Making an Electric Motorcycle For Russian Military and Police
Halafu:
November 17, 2020
Heavy Metal Military Thunder: Meet the American Military Motorcycle
The motorcycle still provides transportation for soldiers today....
The Harley-Davidson version of the MT 500 wasn’t the only motorcycle to see use during Operation Desert Storm, as the U.S. military and its North Atlantic Treaty Organization allies had adopted the Kawasaki KLR650—known to its primary users, the United States Marine Corp as the M103M1. It could run on both diesel and jet fuel and get up to ninety-six miles per gallon. This go anywhere bike has a 651cc single-cylinder engine with forty-five horsepower.
It is unlikely—even with the near silent MMX—that the U.S. military will ever employ tens of thousands of bikes for combat, but even 100 years later the motorcycle still has a job to do and a well respected, well earned place alongside other military vehicles.
Sijui kwa nini ugonjwa wa makelele matupu unaambukiza sana marafiki wa Putin kwenye uzi huu??The National Interest: Blog
nationalinterest.org
Kwa jumla ninamheshimu mtu ambayeSema jamaa una google sana. Hujawai kwepesha una copy na kupaste kama kilivyo[emoji119]