Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
.
Bwana kweli utafute tiba. Una matatizo![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2219658
UKRAINE inamegwa utamu sana yaani daahSasa ni vita ya jumla ya Russia kuichukua sehemu yote ya jimbo la Donbas ili kuunganisha uzuri jimbo la Crimea na sehemu ya kusini mashariki.
Tayari kuna tishio duniani la upungufu wa chakula baada ya Russia kuizuia Ukraine kusafirisha vyakula kwenda sehemu mbalimbali duniani.
mnachafua uzi,mtu mzima unawekaje picha za kijinga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2219658
Angemuua tu nayeye[emoji35][emoji35][emoji35]Majeshi ya Russia yameunyeshelezea mji wa Odesa mvua ya makombora ktk siku na wakati ambao rais wa Umoja wa Ulaya kautembelea mji huo. Ilimlazimu rais huyo kwenda kujikinga na moto wa makombora hayo kwenye handaki (bunker)...asante sana Putin, lazima Rais wa Umoja wa Ulaya nae aonje ladha na shubiri ya mtikisiko wa mashambulizi yako.
Kwa maelezo zaidi na video toka DW fata link hapa chini
View attachment 2219134
![]()
Russian missiles batter Odesa – DW – 05/10/2022
The Ukrainian port city of Odesa was pounded by Russian missile strikes on the same day that European Council President Charles Michel visited. East of Odesa, soldiers in Mykolaiv are regrouping after Russia's most recent attempt to capture the area.www.dw.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa hawajai kua Serious na hawatokua Serious abadani... Wameanza kutumia pikipiki za Umeme [emoji23]. Hii ndio mara yangu ya kwanza kusikia matumizi ya pikipiki vitani [emoji847]
View attachment 2219229
Ama kweli "Ukraine is Winning"
View attachment 2219230
This is like being sentenced to death on a bike [emoji119], hata jeshi letu la mgambo lisingefanya hivi, hapo charge ikiisha ndio kwamba anatembea kwa miguu ama [emoji848]
Another bloody show, people dying for sh*t...
Umekula ban kisa nn MKUU'Hii ndo Mara yangu ya kwanza kuskia pikipiki vitani' alafu kuna kina Bwana Utam watakuja kulike hii post alafu waseme urussi imebarikiwa na wachambuzi. Jf imejaa wajuaji sana. View attachment 2219269View attachment 2219272
View attachment 2219261
Hakuna cha heshima wewe ni mweupe peee .Kwa jumla ninamheshimu mtu ambaye
1) anajua kutumia google
2) anaweza kutofautisha kati ya zile asilimia 90-99 takataka atakazokuta na habari zenye maana
3) anayeonyesha vyanzo vyake
Jitahidi kufanya vile!
Hujui kabisa hata kuchambuaJamani kwa nini tuna watu wengi vile wanaohitaji kupiga kelele juu ya mambo ambayo hawaelewi??? Hawezi kutafuta habari angalau kidogo kabla ya kujiaibisha hapa??
Basi: 1) pikipiki zinatumiwa hadi leo kijeshi; ningeshangaa kusikia habari za jeshi fulani lisilo na pikipiki.
2.) Pikipiki za umeme zina faida kubwa: hazina kelele ambayo ni faida kubwa kweli
3) Kama ungejua kwamba Kalashnikov inatengeneza pikipiki ya umeme kwa jeshi la Putin, ungetuambia jinsi gani Warusi ni genius kutumia tekinolojia hii; ilhali hujui kitu na unamwona Ukraine kwenye pikipiki unaleta ujinga wa kishabiki tena!
Basi ona yafuatayo:
Kalashnikov Is Making an Electric Motorcycle For Russian Military and Police
The Russian defense giant Kalashnikov, best known for manufacturing the AK-47 assault rifle and other military and civilian weaponry, recently unveiled an electric motorcycle for Russian military and police forces. Revealed at the Army 2017 International Military-Technical Forum in the Moscow area, the new motorcycle is available in a dirt bike model for the military and a supermoto-style bike for urban police forces.
The United States is also working to build an electric motorcycle for troops under a DARPA acquisitions program. Electric motorcycles have the advantage of stealth and versatility, allowing small groups of troops to access remote areas quickly and without the racket of internal combustion giving away their position.
Chanzo: Kalashnikov Is Making an Electric Motorcycle For Russian Military and Police
Halafu:
November 17, 2020
Heavy Metal Military Thunder: Meet the American Military Motorcycle
The motorcycle still provides transportation for soldiers today....
The Harley-Davidson version of the MT 500 wasn’t the only motorcycle to see use during Operation Desert Storm, as the U.S. military and its North Atlantic Treaty Organization allies had adopted the Kawasaki KLR650—known to its primary users, the United States Marine Corp as the M103M1. It could run on both diesel and jet fuel and get up to ninety-six miles per gallon. This go anywhere bike has a 651cc single-cylinder engine with forty-five horsepower.
It is unlikely—even with the near silent MMX—that the U.S. military will ever employ tens of thousands of bikes for combat, but even 100 years later the motorcycle still has a job to do and a well respected, well earned place alongside other military vehicles.
Sijui kwa nini ugonjwa wa makelele matupu unaambukiza sana marafiki wa Putin kwenye uzi huu??The National Interest: Blog
nationalinterest.org
Kwa kweli huna kitu ila ubishi na ushabiki. Nionyeshe jeshi ambalo halitumii pikipiki!Kwanza tofautisha bokoharam ambayo haina hata ndege ya maksratasi na nchi kijana
Tuletee video jamaa wakiwa wanapigana na RUSSIA wakiwa juu ya hizo jeneza zao basi!!!
Wakiwa uwanja wa vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi sasa sijaona haja kukupa heshima niliyotaja....Hakuna cha heshima wewe ni mweupe peee .
Jamaa wa Ukraine walitumia drone wakapiga kisiwa wakadhoofisha mfumo wa anga wa Russia kisha wakatuma ndege vita SU 27 na boti vita na helcopter na askari wa mwavuli vyote vikateketezwa usiku wa janaSielewi. Habari ya mwisho kuhusu Snake Island ni shambulio la ndegevita 2 za Ukraine zilizoshambulia kituo cha Warusi huko (ajabu kwamba waliweza kufika mbali vile na ajabu kwamba Warusi hawana ulinzi huko).
Hujui kitu wewe kadanganye vilaza wenzioHadi sasa sijaona haja kukupa heshima niliyotaja....
Alafu hiyo mbinu wamepewa na NATO .niliona sehemu nikacheka sana [emoji28]Jamaa wa Ukraine walitumia drone wakapiga kisiwa wakadhoofisha mfumo wa anga wa Russia kisha wakatuma ndege vita SU 27 na boti vita na helcopter na askari wa mwavuli vyote vikateketezwa usiku wa jana
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Unisamehe!Hujui kitu wewe kadanganye vilaza wenzio
Sidhani wamepewa na NATO. Walitumia mbinu huohuo wakati walipozamisha manowari ya Moscow: walituma kwanza droni upande wa mbali wa nchi, manowari ilianza kufyatulia risasi dhidi ya droni. Halafu ilipigwa kwa roketi kutoka nchi kavu.Alafu hiyo mbinu wamepewa na NATO .niliona sehemu nikacheka sana [emoji28]