Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani hiyo gesi inaenda nchi gani,kama ni nchi zinazompa msaada,wataanzaje?
Kwani wamempa msaada ni wote .Sio wote nchi za Europe ziko around 44 wanaopata gas kwa urusi ni nusu yake .Wanaomsupport na kumsaidia Zelensky hazifkki 10 so how wengine watatia akili kama Putin
 
Oyaaaa [emoji23] mji wa Kherson unajiandaa kupiga kura ya kujiunga na Urusi rasmi[emoji116][emoji116]

#Breaking The Kherson region will appeal to Putin to let them join Russia -say the deputy head of the military-civilian administration Kirill Stremousov.
 
Putin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu

Putin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu.
Unafahamu ni sababu gani zilifanya Russia kuondoka Kyiv na kuelekea mashariki mwa ukrein ?🤔
 
Oyaaaa [emoji23] mji wa Kherson unajiandaa kupiga kura ya kujiunga na Urusi rasmi[emoji116][emoji116]

#Breaking The Kherson region will appeal to Putin to let them join Russia -say the deputy head of the military-civilian administration Kirill Stremousov.
Wamesema hamna haja ya referendum wao wanajiunga kabisa na Russia chap. Urraaaaa
 
Oyaaaa [emoji23] mji wa Kherson unajiandaa kupiga kura ya kujiunga na Urusi rasmi[emoji116][emoji116]

#Breaking The Kherson region will appeal to Putin to let them join Russia -say the deputy head of the military-civilian administration Kirill Stremousov.
RUSSIA hii OP anapoteza vibayaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo itakuwa total war
Watu hawajui kuwa vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi .Na ninachokiona USA walitaka hii vita ipiganwe at any costs ili ku stabilise uchumi wa dunia baada ya COVID Kuna mmarekani mmoja ameniambia uzuri nyie mnaangalia vita kwenye majengo,wakimbizi,vifaru nk wao wanaangalia kwa mtazamo tofauti na effect yake na what CIA is doing behind the scenes itaonekana after 6months onwards.
 
Aibu yake sijui ataificha wapi maana uwezo wa vikosi vyake kusonga mbele unaonekana nimdogo licha ya kupiga makombola mengi na ndege lakini bado wamekosa control.
Hypersonic missile zake zimefeli vibaya hovyo, na baada ya tathmini ya awali ya jeshi la Urusi, Putin amegundua maji yanataka kuzidi unga, zile tambo zake za mwanzoni hazipo tena
 
Leo nimeona reporter mmoja anaonesha mili ya askari wa urusi ikiwa imeoza, inaumiza sana kama askari umetumwa kwenye operation mbovi kama hii askari wanapigana bila morale. " Without a fighting morale the battle field become diserster’'
Kwani unadhani walienda vitani/operation kucheza mziki au kufanya maigizo ya filamu?🤔
 
Alikiri kupitia wapi? Ukiweka source yako ya info itapendeza sana
Huu ndo tunauita upumbavu, tafuta thread mwezi march utaona, au laaah tembelea ile thread ya LIVE inahusu hii vita, utakuta mpaka hiyo speech ya putin.
 
Mashabiki wake wanafura kwa hasira kila siku,mbaya zaidi siku ya May 9 walijua atakuja na mbwembwe za hotuba kali,matokeo yake mwanzo mwisho Mzee analia na NATO
Ujue Putin hajui hata anachopigania ujue .Mara NATO ,mara Cremia,Luhansk nk anataka yawe huru ,mara yajiunge na Urusi ,mara serikali ya Ukraine iondoke ,mara Ukraine intergenerational referendum, mara maramara yaani hajui hata anachokitaka kwa hii vita .Na uwezi kuwapa watu uhuru au kuchukua nchi za watu kwa vita.Mashabiki wa Putin msaidieni kwa hili
 
Leo nimeona reporter mmoja anaonesha mili ya askari wa urusi ikiwa imeoza, inaumiza sana kama askari umetumwa kwenye operation mbovi kama hii askari wanapigana bila morale. " Without a fighting morale the battle field become diserster’'
Mbaya zaidi anaenda vitani akijua familia yake nyumbani ina vikwazo kila eneo.
 
Back
Top Bottom