desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,798
- 6,089
Machoko wa usa vip ukraine imebaki nusuNdugu warus wa kagongwa, vipi Putin kashamalizana na wanao toa msaada Ukraine?
Machoko wa usa vip ukraine imebaki nusuNdugu warus wa kagongwa, vipi Putin kashamalizana na wanao toa msaada Ukraine?
Itafahamika tuKaribu wanajeshi 26,350 wa Urusi wameuawa, yasema Ukraine
Urusi imepoteza wanajeshi 26,350 tangu ilipoivamia Ukraine tarehe 24 Februari, Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ilisema katika sasisho lake la hivi punde.
Ukraine inadai jumla ya hasara iliyopata Urusi ni pamoja na:
Vifaru 1,187
Magari 2,856 ya kivita
Mifumo 528 ya kivita
Mifumo 185 ya kurushia roketi
Mifumo minane ya ulinzi wa anga
Ndege 199
Helikopta 160
Ndege 290 zisizo na rubani
Makombora 94 ya meli
Meli 12 au boti
Magari 1,997 na malori
Vitengo 41 maalum vya vifaa
View attachment 2220563
Okey.Yote haya naelewa ila nataka wakijiunga NATO nijizwe MKUU
***** recognize ***** mwingine, yule baba yako ***** ameacha?Machoko wa usa vip ukraine imebaki nusu
Pale Mwanzo nilikuwa naamini hivyo but now kaka ni vita ya Marekani ,NATO ,uulaya Vs Russia.1. Waukraine wenyewe wanasema kwamba wanajitetea.
2. Macho yangu yananiambia wanajitetea
3. Hadi sasa Waukraine makumielfu waliuawa na jeshi la Urusi hivyo naona Urusi inapigana na Ukraine.
Picha za Hollywood zinawaongopea sana.US kuna maisha magumu sana sijui kwanini watu wanakukimbilia sana kule.
[emoji23]Kuna waziri moja wa waUkraine wa JF nadhani huyu hana tofauti na aliyekuwa waziri wa Habari wa Saddam Hussein wa Iraq. Ally Sahaf. Anazoa uchafu kule tweeter analeta huku. Huyu jamaa ni boya kabisa. Yeye anaokoteza vihabari uchwara anatuletea hapa. Angejua kuwa Ukraine ndio inameguka kwa kasi ya 5g asingekuwa analeta upupu wake hapa. Ana majina ya ma3 ya waxhezaji wa simba.
RUSSIA sio ZIMBABWE
Tushasahau hata nani katutawala na anayeendelea kuiibia Afrika hadi leo, Tupo katika illusion na tuna enjoy kuwa katika hali hiyo...View attachment 2220707 Milan Kundera: "The first step in liquidating a people is to erase its memory. Destroy its books, its culture, its history. Then have somebody write new books, manufacture a new culture, invent a new history. Before long that nation will begin to forget what it is and what it was..." The struggle of man against power is the struggle of memory against forgetting.
This is what majority of us here suffer from.
Mwenzio hajui geopolitics ...anajua ni Russia pekee itakayoumia ...hajui kuwa Hilo ni anguko la EU....Mimi siamini mpaka nione, kalitoa hilo bomba maana itakuwa ni anguko la EU, urusi kashapata mbadala wa gas aliyokuwa anauza ulaya atauza china, swali bado sijaona mbadala wa gas ulaya
By the end of september, latest, Nato will have expanded in the Finland and Sweden Membership, making Rusia to be sharing the longest geographical border with NATO.Nato won't expand towards east hata kwa hatua moja zaidi. Nobody wants to be ukraine.
Putin
Yaani very emptyHili jamaa Siyo Zima kichwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wewe jamaa ni concubine wa Putin nini? mbona uko emotional sana when it comes to Putin's personalities?Una akili za kitoto! uko too low
Hajakosea mkuu,hujui kitu kweliBasi nisaidie tupe hekima yako (ukitaja vyanzo tafadhali)
Ndio kilichokuwa kinamyima Zelensky kuingia NATO sio hayo majimbo auKherson is gone
Odessa loading...
Ongea wewe mkuu tujue unajua basiNi wewe hujui unachoongea...