Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizo ni kelele tu za kisiasa hawana huo ubavu kila siku ndo habar yako hii. Hizo kelele zimeanza march tuko may sasa ila hakuna maajabu tutafika june bado kelele hizohzo
Wakati taratibu za kuijunga nato zikiendelea UK na Sweden washafanya yao 👇👇👇👇👇haya urusi kazi kwake
  1. UK PM Boris Johnson has signed a security declaration with Sweden, pledging UK support should its military come under attack
  2. He is expected to make the same commitment to Finland later; the PM is visiting both countries as they consider joining the Nato defence alliance
  3. Russia has warned there will be consequences if they join Nato, whose members see an attack on one as an attack on all.
 
Watu hawajui kuwa vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi .Na ninachokiona USA walitaka hii vita ipiganwe at any costs ili ku stabilise uchumi wa dunia baada ya COVID Kuna mmarekani mmoja ameniambia uzuri nyie mnaangalia vita kwenye majengo,wakimbizi,vifaru nk wao wanaangalia kwa mtazamo tofauti na effect yake na what CIA is doing behind the scenes itaonekana after 6months onwards.

Hii vita ya kiuchumi inawaumiza wao wenyewe sasa, wametoa sanctions kwa Russia mwisho wa siku zimekua kilio kwao uyo US ameongeza supply ya crude oil kutoka Russia, fertilizer nk una hio taarifaa??

Unajua kuwa hao EU pamoja na kelele zote ila bado wananunua bidhaa zote muhimu kutoka Russia??

Kwenye hii vita ya kiuchumi US anazionea nchi maskini tu kama vikwazo vilishindwa work Iran vitawork Russia??. Mpaka sasa kwenye hii vita ya kiuchumi US pamoja na EU ni loosers na wametia aibu dunia kwanza wenyewe wanasema vikwazo vimeshindwa kufanya kazi Russia.

Unajua mataifa mangapi yanainyemelea Gas na mafuta kutoka Russia??China kasema kama EU watasitisha mkataba yuko tayar kuchukua gas yote ilokua inakwenda EU. Upande wa pili India kaongeza import ya crude oil, Iran nao hawako nyuma walisema wako tayar kuchukua mafuta kutoka Russia na watamsaidia kuuza.

Kwanini mpaka sasa EU wanashindwa kukubaliana kuhusu kuban import ya energy kutoka Russia?? Ni kwasababu sifuatazo

1. Nishati kutoka Russia ni cheap sana, hawa EU wananunua gas, oil, coal nk nk kwa bei poa sana yaani kwa dunia EU ndo walikua wanapata nishat kwa bei poa yani hata sisi Tanzania tulikua tunanunua gas bei juu kuliko EU.

2. Ufikaji wa Nishati kutoka Russia ni rahisi sana kuliko sehem yoyote kumbuka Russia anasupply nishat zake kwa pipes tu fasta sasa kutoa nishat sehem nyingine itawacost sana ile amount walokua wanalipa Russia inaweza kudouble au triple kabisa. Usione wanakosa solution kuna mambo mengi yapo nyuma ya pazia. Usifikiri kureplace nishat kutoka Russia ni rahis kama watu wanavyopiga ngonjera humu ndani.

Marekani alisema atapeleka LNG yake kwnda EU kafikia wapi?? ndo ujue kwanini sahiv kimya na zile kelele zake?? Unafikir ni simple sana. Kelele wanazopiga ni siasa tu.

Vikwazo kwa nchi yenye natural resources kama Russia haviwezi kufanya kazi hata kama atatetereka ni kidogo sana. Iran alipewa sanctions vipi hali ya uchumi wake ikoje?? bhs ushapata jibu tayari.

Toka February mpaka sasa tuko may EU pamoja na US wameshindwa kuban Nishat za Mrussi kila siku vikao lakini hakuna Action yoyote hapo ndo ujue tajir hanuniwi, Japan kashasema hawezi kuban energy kutoka Russia.

Inshort Russia ndo ameshikilia uchumi wa Ulaya na sio US. Gas Russia, oil Russia, Ngano Russia, coal Russia, mafuta ya alizeti Russia , Uranium Russia aiseee fertilizer pia Russia sijaja kwenye madini, hapo ndo utaona umuhimu wa Russia ulaya na dunia kwa ujumla. Vita inamiezi 3 tu tushanza kuonja joto huku tz ikifika mwaka hali itakuaje??

Ngoja nimalize tu, kwenye hii vita ya kichumi unayoongelea US kadondokea pua kafeli labd kama anataka kuua uchumi wa shoga zake EU hapo sawa ila kwa Russia kafeli aendelee kuwaonea venezuela nk. Russia ni dubwana kubwa sana haliwezi

IMG_2997.jpg

Hii ndo hali halisi ya huko US ukitaka evidence zaid ntakutumiaa.
 
On 21st April Putin declared his military to have won the war in Mariupol, Surprisingly, in his victory day speech, juzi, he neither mentioned Mariupol nor looked towards its direction.
 
View attachment 2220790

Hii ndo hali halisi ya huko US ukitaka evidence zaid ntakutumiaa.
aisee kweli bhana.
mwisho kuchkua kopo ngap sijui 2.
hiv kwan haya hayatengezwi huko huko yuropa? haya ambayo huku bongo ghali sana
Screenshot_20220511-190626.jpg
 
Elensky ni Rais wa hovyo sana ameshapoteza majimbo muhimu kwa uchumi wa Ukraine. Na kauli ya Russia wamesema hayo majimbo Ukraine ndo wasahau kabisaa.

Na kumbuka washaanza kutumia mitambo ya network kutoka Russia habari mbaya sana hizi kwa [emoji2380]
Wanatumia rubble na mishahara Pension kila kitu Russia inatumika gharama kwa permanent issue inakua Zanzibar chini ya Tz

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ujue Putin hajui hata anachopigania ujue .Mara NATO ,mara Cremia,Luhansk nk anataka yawe huru ,mara yajiunge na Urusi ,mara serikali ya Ukraine iondoke ,mara Ukraine intergenerational referendum, mara maramara yaani hajui hata anachokitaka kwa hii vita .Na uwezi kuwapa watu uhuru au kuchukua nchi za watu kwa vita.Mashabiki wa Putin msaidieni kwa hili

Dada akili yako ipo sawa kweli??
 
Wakati taratibu za kuijunga nato zikiendelea UK na Sweden washafanya yao [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]haya urusi kazi kwake
  1. UK PM Boris Johnson has signed a security declaration with Sweden, pledging UK support should its military come under attack
  2. He is expected to make the same commitment to Finland later; the PM is visiting both countries as they consider joining the Nato defence alliance
  3. Russia has warned there will be consequences if they join Nato, whose members see an attack on one as an attack on all.

Russia anaingia hapo Finland na hakuna hao UK watakachofanya. Tusubir tuone ni suala l muda tu kama hajajifunza ya ukraine asubir kichapo
 
Back
Top Bottom