Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Heading inasemaje ? tujifunze kushirikisha akili vzr

Jifunze kwanza wewe kushirikisha akili yako ndipo awakumbushe wengine kufanya hivyo.

Yeye anadai jeshila Urusi lipo hoi lakini hajatuambia jeshi la Ukraine lipo hoi kiasi gani!!?----- yeye anamtaja mgonjwa aliyelazwa Wodini lakini hamtaji mgonjwa aliyelazwa ICU!!.
 
Hiyo comment hapo chini ya mdau dah 😂 hatare... Haya maongezi yote yangekuwa yanazungumzwa na sie humu ndani tungepewa majina ya kila rangi.
Screenshot_20220511-193003-01.jpeg
 
Hiyo comment hapo chini ya mdau dah [emoji23] hatare... Haya maongezi yote yangekuwa yanazungumzwa na sie humu ndani tungepewa majina ya kila rangi. View attachment 2220842

Sure kaka US anaprint pesa zake mwenyew na ahad nyingi anazotoa hatekelezi. US ni taifa linaingozwa kipropaganda. Ila huyu mdau katisha sana[emoji28][emoji28]
 
Russia anaingia hapo Finland na hakuna hao UK watakachofanya. Tusubir tuone ni suala l muda tu kama hajajifunza ya ukraine asubir kichapo
Unadhani UK ikikaa kimya ina cha kupoteza basi? Haina sababu haipigwi mabomu, Putin akiendelea kuvamia nchi baada ya nchi USA ataendelea kupata masoko yake ya silaha na mikopo inayotokana na vita. Hakuna wrong move anayofanya Putin kama kuvamia, nyinyi msifieni ila kwa maoni yangu angeachana na kutoa utando na amtafute huyo bui bui kama kweli yeye na USA ni maadui.
 
Wakati taratibu za kuijunga nato zikiendelea UK na Sweden washafanya yao [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]haya urusi kazi kwake
  1. UK PM Boris Johnson has signed a security declaration with Sweden, pledging UK support should its military come under attack
  2. He is expected to make the same commitment to Finland later; the PM is visiting both countries as they consider joining the Nato defence alliance
  3. Russia has warned there will be consequences if they join Nato, whose members see an attack on one as an attack on all.
Ahadi za Uingereza hazina lolote hizo ndo zime mponza Zelensky kupuuzia peacetalks na kuingia vitani na Baba ake mlezi, Uingereza kasha onywa kutoendelea kutuma silaha Ukuraini otherwise atakua legitimate target ya Russia, akapunguza kiherehere na kuufyata, baada ya independent daily news kufanya uchambuzi kwamba, ndani ya dakika 30 kombora la Urusi la spersonic with nuclear warhead likitua mji wa London nusu ya jiji inateketezwa na kuisha kabisa.

Kwahiyo hawezi kumchezea Mrusi tena iko kimya sasa anaanza kudaganya wezie Sweden na Finland kwamba atawasaidia wakati huo ubavu hana, hata kifa cha ku-detect kimbora la suposornic la Urusi hana so she is vulnerable.

Sasa hivi Nato wamesha gundua kwamba hawamuezi Mrusi kivita wakienda full-scale war, will be the losers wameanza kufanya diversion tricks kwa kutegeneza ma andui wapya wa Urusi ili hasiwashughurikie wao kwanza wajipange kwanza, hiyo inaitwa military political strategy.

Ukweli ni kwamba Ukuraini is agona case will never be the same ila suali muhimu kwasasa ni baada ya Ukurain whose next?

The West is ni total panic, wana weza kua legitimate target wa Urusi kwasbb wame expose all their weapons kwa kumpa Ukurain the losing side, Mrusi amewapima na kuwaona kama hawana jipya ku'counter attack his Russian military supremancy, wakati yeye kasema katumia 30% ya military capability

Nacho jua Finland au Sweden sio wajinga kama Zelensky ku mchokonoa Putin wakati jeshi lake tayari liko on move, militarily ni cheap kwa Russia kuendeleza vita kuliko kurudi nyumbani tena anza upya vita baada ya miazi sita au mwaka therefore yoyote atakae onekana a threat kwa existence ya Republic of Russia anaweza akawa next target.

kwenye victory day Putin hakuongelea malengo na mwisho wa hi special oparation aliseme jambo moja kwamba the West wanataka ku-destroye au kusabaratisha Urusi, kwahiyo iko tayari kuilinda Urusi kwa gharama zote warusi wakashangilia, ilo linamanisha oparation itakua endelevu sio mwaka ila miaka paka potential Russian threats ziishe zote.
 
Hey Ladies and Gentlemen,

One of the most pathetic and dangerous signs of our times is the growing number of individuals and groups who believe that no one can possibly disagree with them for any honest reason.

What happened to debate teams/competitions in high school? When we used to teach each others how to argue both sides of an argument? Now we just have all of this one-sided crap with no one actually debating (or afraid to, I.e. just block them).

Msitukanane, tubishane kwa hoja, sisi wasomaji tujifunze kupitia majadiliano yenu.
 
Unadhani UK ikikaa kimya ina cha kupoteza basi? Haina sababu haipigwi mabomu, Putin akiendelea kuvamia nchi baada ya nchi USA ataendelea kupata masoko yake ya silaha na mikopo inayotokana na vita. Hakuna wrong move anayofanya Putin kama kuvamia, nyinyi msifieni ila kwa maoni yangu angeachana na kutoa utando na amtafute huyo bui bui kama kweli yeye na USA ni maadui.

Unalizungumzia soko lipi? Unajua US soko lake limeporomoka sana na operation hii ndo ametia aibu sana hizo javellina soko lake ndo bhs, kuna zile drones zake??

Angepeleka na zile ndege zake na airdefense pale ukraine Russia aendelee kumtia aibu.
IMG_3032.jpg
 
Back
Top Bottom