Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

US soko lake kubwa la silaha ni EU na NATO members. Kwanini mturuki alinunua airdefense systerm kutoka Russia???
Bado hunielewi. Namaanisha kila nchi itakayovamiwa na Urusi ili isijiunge NATO ni soko jipya la USA la silaha na mikopo na kwa sababu ni jirani na Urusi hivyo Urusi atajimegea kipande cha ardhi ya hiyo nchi, to me wanachofanya ts much more of a WIN WIN situation kuliko uadui maana raia wao wapo salama. Urusi kama kweli yeye na USA ni maadui basi Urusi apambane na tatizo halisi moja kwa moja.
 
US tells Zelensky it's important to ensure Western weapons in Ukraine don't fall into 'wrong hands' - Pentagon chief.

20220502_010825.png
 
Russia anaingia hapo Finland na hakuna hao UK watakachofanya. Tusubir tuone ni suala l muda tu kama hajajifunza ya ukraine asubir kichapo
muda mwalimu mzuri wahenga walisema
Ahadi za Uingereza hazina lolote hizo ndo zime mponza Zelensky kupuuzia peacetalks na kuingia vita na baba ake mlezi, Uingereza kasha onywa kutoendelea kutuma silaha Ukuraini akapungyza kiherehere na kuufyata, baada ya independent daily news kufanya uchambuzi kwa ndani ya dakika 30 kombora la Urusi spersonic with nuclear war likitua mji wa London nusu ya jiji inateketezwa na kuisha kabisa, kwahiyo hawezi kumchezea tena iko kimya sasa anaanza kudaganya mwezie kwamba atawasaidia wakati, huo ubavu hana, hana kifa cha ku-detect kimbora la suposornic la Urusi so she is vulnerable.

Sasa hivi Nato wamesha gundua kwamba hawamuezi Mrusi kivita wakienda full-scale war, will be the losers wameanza kufanya diversion tricks kwa kutegeneza ma andui wapya wa Urusi ili hasiwashughurikie wao kwanza wajipange kwanza, hiyo inaitwa military political strategy.

Ukweli ni kwamba Ukuraini is agona case will never be the same ila suali muhimu kwasasa ni baada ya Ukurain whose next?

The West is ni total panic, wana weza kua legitimate target wa Urusi kwasbb wame expose all their weapons kwa kumpa Ukurain the losing side, Mrusi amewapima na kuwaona kama hawana jipya ku'counter attack his Russian military supremancy, wakati yeye kasema katumia 30% ya military capability

Nacho jua Finland au Sweden sio wajinga kama Zelensky ku mchokonoa Putin wakati jeshi lake tayari liko on move, militarily ni cheap kwa Russia kuendeleza vita kuliko kurudi nyumbani tena anza upya vita baada ya miazi sita au mwaka therefore yoyote atakae onekana a threat kwa existence ya Republic of Russia anaweza akawa next target.

kwenye victory day Putin hakuongelea malengo na mwisho wa hi special oparation aliseme jambo moja kwamba the West wanataka ku-destroye au kusabaratisha Urusi, kwahiyo iko tayari kuilinda Urusi kwa gharama zote warusi wakashangilia, ilo linamanisha oparation itakua endelevu sio mwaka ila miaka paka potential Russian threats ziishe zote.
Muda mwalimu mzuri sana we unasema ahadi za uingereza hazina lolote? yaani kuwa silaha anazopewa ukraine na uk na misaada mingine haina lolote kwa ukraine.? kweli una mahaba na urusi mahaba ya chongo kuita kengeza, urusi alisema atakayemsaidia ukraine yatamkuta haya mpaka sasa urusi kafanya nini? ndiyo kwanza Boris Johnson na viongozi wengine wa western wanaenda Kyiev kila uchwao, misaada kama yote inamiminika ukraine, na majeshi ya urusi yamefurumushwa Kyiev na meli za urusi zinalipuliwa, mioto inazuka tu huku urusi.
 
The main thing from the new statement of the Russian Ministry of Defense about the American military biological program in Ukraine:

- its ideologists are the leaders of the US Democratic Party, who received additional money by involving controlled organizations in research;

- Through the American government agencies, a legislative framework was formed to finance these works directly from the federal budget. Clinton, Rockefeller, Soros, Biden funds were involved, as well as pharmaceutical companies, including Pfizer, Moderna, Merck;

- military biological projects in Ukraine are being implemented not only by the United States, but also by other NATO countries;

- In 2013, Germany launched its own program. Only from 2016 to 2019, epidemiologists from the Institute of Microbiology of the Bundeswehr took out 3.5 thousand samples of Ukrainian blood serum;

- the Polish Institute of Veterinary Medicine, together with one of the key contractors of the Pentagon, participated in research on the rabies virus in Ukraine;

- in 2020, in Ukraine, residents of the Slavyanoserbsky district (LPR) were deliberately infected with tuberculosis with high drug resistance. Organizers distributed infected counterfeit banknotes among children;

- Mariupol in Ukraine was used as a regional center for the collection and certification of the cholera pathogen;

- The Ministry of Defense has information about the preparation by Ukraine of provocations with the aim of accusing the Russian military of using weapons of mass destruction.
20220502_010825.png
 
Unalizungumzia soko lipi? Unajua US soko lake limeporomoka sana na operation hii ndo ametia aibu sana hizo javellina soko lake ndo bhs, kuna zile drones zake??

Angepeleka na zile ndege zake na airdefense pale ukraine Russia aendelee kumtia aibu. View attachment 2220896
Naam ila Mzee Champagnee hii ilikuwa before Special OP haijaanza. Now wanapiga pesa sio kitoto. Na ikumbukwe hawa jamaa sio Serikali bali ni Taasisi nyuma ya Serikali.

US government inawapa tenda tu, so hizo fedha zinaliwa na kikundi cha watu wala hazina manufaa kwa Raia wa kawaida hapo US.

Na hiki kikundi ni kile tulichokua tunakisema kua kazi yao kubwa ni kutengeneza ***** ***** maeneo tofauti duniani kisha wanafanya biashara maisha yanaendelea.

Kinachofurahisha walipomoroka baada ya wao kundoka pale afghanistan mwaka jana. Now it's booming again baada ya kujiingiza Rasmi Ukraine.
 
Bado hunielewi. Namaanisha kila nchi itakayovamiwa na Urusi ili isijiunge NATO ni soko jipya la USA la silaha na mikopo na kwa sababu ni jirani na Urusi hivyo Urusi atajimegea kipande cha ardhi ya hiyo nchi, to me wanachofanya ts much more of a WIN WIN situation kuliko uadui maana raia wao wapo salama. Urusi kama kweli yeye na USA ni maadui basi Urusi apambane na tatizo halisi moja kwa moja.

[emoji106]. US na Russia hawawezi kuingia vitani watapigana nyuma ya mgongo. Tunazungumzia powerfull Millitary Nations hii itakua vita ya dunia tu ndomana wanaishia maneno au kupigana mgongoni.
 
Unadhani UK ikikaa kimya ina cha kupoteza basi? Haina sababu haipigwi mabomu, Putin akiendelea kuvamia nchi baada ya nchi USA ataendelea kupata masoko yake ya silaha na mikopo inayotokana na vita. Hakuna wrong move anayofanya Putin kama kuvamia, nyinyi msifieni ila kwa maoni yangu angeachana na kutoa utando na amtafute huyo bui bui kama kweli yeye na USA ni maadui.
Kama kwakuuza silaha sawa ila kama kwa mkopo pole yake
Halaf huu mzozo wasasa tunashindwa kuelewa hapa kuna win win situation kwa US na RUSSIA
Ila zaidi kwa RUSSIA maana NISHATI hazikamatiki jamaa anatia kiasi chamaana sanaa
Haya tuje kwenye ngano na nafaka nyengine jamaa anatia pesa nzuri sana na bado akiueka ukanda wa pwani wa UKRAINE wote ukawa chini yake jamaa atazidi kupiga pesa kupitia hii OP yake inayoendelea
Shida wengi mnadhani kama jamaa kakurupuka au hakujipanga
Hapa la jamaa kumfata US ndio mnapokoroga kabisa US alimfata RUSSIA wakati alipokwamisha REGIME CHANGE zake pale SYRIA ama kule CARACAS au hujui maana ya PROXY WAR
Ila tuendelee kuupa muda nafasi yake maji na mafuta yatajitenga ila kwampaka muda huu RUSSIA kazichanga vyema karata zake
Mwisho FIN na SWED hawa hawatakaa waingie NATO mudautaongea!!!
 
In the LPR, the settlements of Yuzhny and Voevodovka were taken under control, the Zarya gunpowder factory was liberated, said the head of Chechnya Ramzan Kadyrov.
20220502_010825.png
 
muda mwalimu mzuri wahenga walisema

Muda mwalimu mzuri sana we unasema ahadi za uingereza hazina lolote? yaani kuwa silaha anazopewa ukraine na uk na misaada mingine haina lolote kwa ukraine.? kweli una mahaba na urusi mahaba ya chongo kuita kengeza, urusi alisema atakayemsaidia ukraine yatamkuta haya mpaka sasa urusi kafanya nini? ndiyo kwanza Boris Johnson na viongozi wengine wa western wanaenda Kyiev kila uchwao, misaada kama yote inamiminika ukraine, na majeshi ya urusi yamefurumushwa Kyiev na meli za urusi zinalipuliwa, mioto inazuka tu huku urusi.
Wewe jiulize kwa nini oparation yao on snake Island failed miserably na kupoteza ndege helicopter na meri wakati ili ongonzwa na kuratibiwa na Wingereza with 50 elite highly trained military personal
 
Naam ila Mzee Champagnee hii ilikuwa before Special OP haijaanza. Now wanapiga pesa sio kitoto. Na ikumbukwe hawa jamaa sio Serikali bali ni Taasisi nyuma ya Serikali.

US government inawapa tenda tu, so hizo fedha zinaliwa na kikundi cha watu wala hazina manufaa kwa Raia wa kawaida hapo US.

Na hiki kikundi ni kile tulichokua tunakisema kua kazi yao kubwa ni kutengeneza ***** ***** maeneo tofauti duniani kisha wanafanya biashara maisha yanaendelea.

Kinachofurahisha walipomoroka baada ya wao kundoka pale afghanistan mwaka jana. Now it's booming again baada ya kujiingiza Rasmi Ukraine.

Sawa mkuu hzo pesa Ukraine atalipa lini??[emoji28][emoji28]
 
The Armed Forces of Ukraine attacked the village of Administrative in the Kuibyshevsky district of Donetsk, two people were injured.

An elderly man and woman were hospitalized, said the head of the city administration Alexei Kulemzin. In addition, according to him, the glazing of the apartment building was damaged.

Today, the Armed Forces of Ukraine have already shelled the Kirovsky district of the city - a person was killed, five more were injured.

20220502_010825.png
 
They tried to infect residents of the Slavyanoserbsky region of the LPR in 2020 with tuberculosis, said Igor Kirillov, head of the radiation, chemical and biological protection troops of the Russian Armed Forces, speaking about the US biological program in Ukraine.

According to him, for this, leaflets in the form of counterfeit banknotes were distributed in the settlement of Stepovoe.
20220502_010825.png
 
The Russian Ministry of Defense has data on US experiments on patients in mental hospital No. 1 in the village of Strelechya, Kharkov region.

“The main category of experimental subjects was a group of male patients aged 40-60 with a high stage of physical exhaustion,” said Igor Kirillov, head of the radiation, chemical and biological protection forces of the Russian Armed Forces.

20220502_010825.png
 
Back
Top Bottom