Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Huyu jamaa kacharuka asee
Na bado akaja kuanzisha uzi..Kwamba source ya taarifa yako ni Ukraine au mie sijasoma vizuri [emoji848]!!! Halafu na wewe ukaamini du kweli tuna safari ndefu!!!
Yaleyale ya Zelensky. Aliamini NATO wangemsaidia. Nchi imegeuka magofu. Ndio kwanza Western wanachochea moto. Badala ya kuuzima.Wakati taratibu za kuijunga nato zikiendelea UK na Sweden washafanya yao 👇👇👇👇👇haya urusi kazi kwake
- UK PM Boris Johnson has signed a security declaration with Sweden, pledging UK support should its military come under attack
- He is expected to make the same commitment to Finland later; the PM is visiting both countries as they consider joining the Nato defence alliance
- Russia has warned there will be consequences if they join Nato, whose members see an attack on one as an attack on all.
[emoji23] ah wp, miaka kenda rudi.Sawa mkuu hzo pesa Ukraine atalipa lini??[emoji28][emoji28]
Hili pia aulizwe na MKUU TshSawa mkuu hzo pesa Ukraine atalipa lini??[emoji28][emoji28]
Utakuja kuambiwa ni Dem vs RepHuyu jamaa kacharuka aseeView attachment 2220937
Ukitumia lugha ya matusi I will do the same...Polite reminder. ukinitukana nakutukana, no less no more.
Kherson is goneDuring his 8 minutes victory day speech, PUTIN didn't speak about the main objective of his military's special operations in Ukraine, as he had said on day one of the operation, to DE nazify Ukraine.
WHY.
THE OBJECTIVE IS UNATTAINABLE.
Ok so if sweden is under attack what can uk do!?Wakati taratibu za kuijunga nato zikiendelea UK na Sweden washafanya yao [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]haya urusi kazi kwake
- UK PM Boris Johnson has signed a security declaration with Sweden, pledging UK support should its military come under attack
- He is expected to make the same commitment to Finland later; the PM is visiting both countries as they consider joining the Nato defence alliance
- Russia has warned there will be consequences if they join Nato, whose members see an attack on one as an attack on all.
Ee nakumbuka kisha Miss flan hivi wa Kenya babe baby, akadai me najikuta mjuaji.Kwako &Galip vrl US huko wanalalamika na maisha kama ilivo bongo tu, nakumbuka ulishawai elezea hii few day agoView attachment 2220943